Kamati kuu ya CHADEMA yakutana leo kwa dharura

CCM wamemtumia babu wa Loliondo kupata ahueni. Tunahitaji moto mwingine mkishakaa, tumechoka na habari za babu
 
Nashauri kikao kiongelee pia suala la katiba mpya, ili maandamano yakianza madai ya katiba mpya yawemo tusisahau
 
nchi haitatawalika kwa maandamano ya mfululizo
 


Hatuhitaji ushari wako wewe kikaragosi wewe futuka tumbo na huo mgao uliopewa na mafisadi. Freemanson ni wewe na hao maruhani wenzako ambao hamoni hata matatizo ya wananchi nyinyi kweni ucha Mungu ni kuabudu mafisadi. kwa mwenye akili atagundua nani ni freemason kati ya chadema na ccm watu ambao wanajali kuvimbisha matumbo yao tu na kujipangia mamishahara makubwa ilhali sisi tuendelee kuteseka!! Potelea kuzimu na mapochopocho yako ya aibu kama umetumwa hapa umechemsha kamwambie huyo shetani wako kuwa pale hapaendeki. Jinamizi mkubwa
 
Kama habari haikuhusu chapa lapa.
Subiri Kakalende atakuja kukwambai malapa yanatoka wapi kwenye internet?hawa watu sijui dizaini gani,nadhani wanalipwa si bure...Nilimwuliza mmojawao (Taso)Kwenye ile thread ya MKJJ vs. Kamati ya Zitto; kwanini anaongea kwa jazba?Kakalende akaja akasema haongei kwa jazba bali anatype kwa jazba.
 
CCM imeshindwa miaka 50 itaweza wap

Mmeshindwa miaka 50 mtaweza wapi miaka mitatu? Sasa hivi mtake msitake mtaondoka sababu hata huko vijijini kwenye ngome zenu wamewajua kuwa nyie ni wezi na hamuwezi uongozi wa kufuata sheria angalia PINDA v/s MAGUFULI saga.
 

ha ha ha! ha ha ha! ha ha ha!
 
Mr. Mak ni kama hauna kazi ya kufanya, udini unaoongea uko wapi hapa nchini kwetu mbona Wakristo wamepanga kwenye nyumba za Waislam vivyo hivyo kwa Waislam. Misiba inaudhuria bila kujali imani za kidini. Tazama ilivyo vema na kupendeza Kikwete mwenyewe leo ameudhuria kusimikwa kwa baba Askofu Nyaisonga sasa udini unaosema huko wapi?
 
Ahaahahaa cdm wasubiri hadi 2013 ili waone kama ccm wanatekeleza waliyoahidi! Mbona tangu uhuru wamepewa muda wanashindwa kutekeleza wanayoahidi?
walivyobanwa watajikuta wanatekeleza sera za CDM badala ya sera za CCM...
 
ikikuuma potezeeeeeeeeeeee km vp mkuu.
 

mkuu sijui inakugharimu nini ukiwaheshimu viongozi wa kidini? Mkuu laana unayoitafuta ni kubwa kuliko uliyonayo kwa sasa,ebu angalia maisha unayoishi!laana juu ya laana,unataka kuwa nani? Bwn ehe,acheni mambo yako hata kama uipendi dini ya Pengo!
 

Nimependa ulivyomjibu! Ni rahisi kuwaelewa hawa wa namna yake. Kama ni mwanafunzi anasubiri asomee mitihani! Hawaoni maana ya maandalizi, kujifunza! Ni kama wale wavivu wakao mijini wanawaona wakulima wakiwa na majembe wanaelekea kondeni, wanawacheka eti washamba. Wanapovuna hawa wa mjini unawakuta wakiomba na ole wao kama hawana pesa ya kununua mazao ya washamba. Nyerere alikuwa na kauli mbinu: WAKATI NI HUU! Wengine wameongeza SASA YA UKOMBOZI NI SASA! Tusubiri nini!
Ili JK asije akafadhaishwa na hoja yangu ni lazima niongeze CDM wanafanya maandalizi yetu ya 2015 na sio kumwondoa madarakani.
 
Nashauri tuache malumbano hapa na muda huo tuutumie kuiombea CDM na viongozi wake na mustakabali wa taifa letu. TUIOMBEE CDM. Ee mungu uipaishe juu CDM zaidi ya hapa ili mafisadi na vibaraka wao waumbuke zaidi ya hivi sasa. Amen!
 
Mr.Mak amesha sepa. Shenzi sana huyu!!!!!!!!!!nadhani ni mr makamba. Maana maandishi na maneno ya makamba ni sawasawa tu! much resemblance!
 
mr mark binafsi sioni tatizo la cdm kufanya maandamano na mikutano yao popote tanzania maadamu tu wanafuata taratibu. chama cha siasa lazima kiendelee na siasa wakati wote si kusubiria (kama ulivoshauri) wakae kwanza mpaka waone namna ccm ilivoshindwa kutekeleza ahadi zake ndo waanze mikutano. besides naaamini ni nzuri kwa ccm kuzidi kujipanga kwa ku deliver ili ifike mahali cdm na opp kwa ujumla wakose cha kushambulia. otherwise kuwaambia eti watulie kwanza ni ujinga
 

Nje mada tafuta daktari utibiwe mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…