Kamati ya nini??Kuna kamati ya dharura imeundwa, wajumbe wanaendelea kusubiri! Jk yupo na Mzee Mwinyi waziri mkuu, Mukama, shein, na wengine wachache. Wajumbe wamezuiwa kutoka nje......
<br />Kuna kamati ya dharura imeundwa, wajumbe wanaendelea kusubiri! Jk yupo na Mzee Mwinyi waziri mkuu, Mukama, shein, na wengine wachache. Wajumbe wamezuiwa kutoka nje......
Kuna kamati ya dharura imeundwa, wajumbe wanaendelea kusubiri! Jk yupo na Mzee Mwinyi waziri mkuu, Mukama, shein, na wengine wachache. Wajumbe wamezuiwa kutoka nje......
<br />
<br />
BWM hakuhudhuria?
Asante kwa kutujuza mkuuu, bado hatujalala mpaka tujue wamemalizaje!!Chenge atang'oka, ila kwa masharti, ataachia nafasi zote ila si Ubunge, nape hatoendelea na moto wake ila kizungumkuti ni kwa EL kwani jamaa haongei bali anaongelewa na watu, ni wengi na wanaonyesha kutaka kufa nae, mwenyekiti imemtisha sana hiyo. Membe kimya sana, hajaongea hata kauli moja. Humu ndani ni kama mechi ya fainali kombe la dunia
Chenge atang'oka, ila kwa masharti, ataachia nafasi zote ila si Ubunge, nape hatoendelea na moto wake ila kizungumkuti ni kwa EL kwani jamaa haongei bali anaongelewa na watu, ni wengi na wanaonyesha kutaka kufa nae, mwenyekiti imemtisha sana hiyo. Membe kimya sana, hajaongea hata kauli moja. Humu ndani ni kama mechi ya fainali kombe la dunia

BMW hayupo
Membe ataongea vipi na yeye si mjumbe CC? wewe una uhakika kweli na chanzo chako????????
Dah, pole mkuu, niimaanisha pinda!
Taarifa kutoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinasema tayari chama hicho kimepanga kumuita Rostam katika mkutano wa Kamati Kuu (CC) uliopangwa kufanyika 30 Julai 2011 kwa lengo la kumwangukia. MwanaHalisi.
Nini kimejiri, amekubali kuhudhuria au kagoma tutaarifiane hapa jamvini.