Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Mkuu Dawa ya Malaria tuko pamoja we endelea kutujuza yanayojiri

inamaana leo ccm wamejipanga kiasi cha kutoata dondoo za mkutano toka uanze asubuhi? hebu wana jf achen utani tupen info angalau kidogo ili tulale!

I cant wait kuona Magamba leo tunawazika na sumu yao na kujenga Tanzania mpya yenye maadili na heshima.

CCM kwishenei itabakia Historia tutawakumbuka kwa kutuingiza kwenye Mikataba mibovu, Maisha Bora kwa Mafisadi na Ujinga wao mwingi. Asante CCM kwaheri by by

Nape na sita sio CCM wale ni Upinzani =CCJ,chukulia mfano wa Shibuda huwa akiongea kinyume na viongozi wenzake wa CHADEMA wanamjia juu,sitta tangu ahamie CCJ yuko CCM kupata benefits tu za viongozi wa kitaifa mf,kukaa nyumba ya serekali(SPIKA),magari,etc lakini haisaidii serekali kutatua kero yeye yuko busy kubomoa na kudhalilisha CCM mbele ya public as if he is not the part of the government which is true huyu ni CCJ -Upinzani.

ILa unafisi ndio tatizo kubwa kwa sitta maana angesimamia matamshi yake angejiuzulu uwaziri

ndani ya nyumba rostam bila kukosa magamba yashakuwa laini shaka ondoeni na kesi sahaauni.tujenge nchi kwa kusahau yaliyopita jamani

mmmmmmmmmmmmmmmwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

January Makamba has recently updated his twitter account

Makamba kasemaje leta habari hapa acha longo longo!

Mkuu hiyo no.9 haina ubishi kabisaa...lol magamba mmeishiwa kiasi hicho?

Gamba la kwanza ni Jk mwenyewe tena sio kwa CCM tu ni kwa nchi nzima

- According to the dataz, Chenge amejivua gamba leo rasmi huko CC, kikao kinaendelea mpaka sasa!

Willie @ NYC, USA.

Fafanua mkuu amejivua cc jee? Ubunge Gamba limegoma kutoka

wakuu hicho kikao hakina hata half time tupate japo tathimini ya ngwe ya kwanza yaliyojiri?

Kikao kinaendelea, JK hataki kumaliza kikao kwa kuwa hakuna muafaka mpaka sasa. Wajumbe wakali sana, nape kama hakujiuzulu baada ya kikao cha leo mtaniambia.

Jk kweli ni mwoga wa kufanya maamuzi magumu. Chenge ni Jeuri kweli, haonyeshi kabisa heshima hata kidogo kwa mwenyekiti wake, kifupi anamdharau sana. Nape kaongea mara moja tu, juu ya kuwasilisha taarifa ya hali ya kisiasa nchini.

Ila amepata upinzani mkubwa kutoka kwa wajumbe mbali mbali, mwenyekiti wa ccm mkoa wa dar es salaam ameonyesha dhahiri kwamba haungi mkono harakati zote za nape,
Kazi kweli kweli

Chenge kumdharau Jk ni sawa kwani c ndio wao wamekula nae madili kibao tuu? Mzizi endelea kuthabarisha sie na silali mpaka nijue mwisho wa magamba leo

na hapa kama Nape akijiuzulu Lowasa atakuja kuchukua nchi na Nape hatakuwa na Nguvu yoyote tena ndani ya ccm.. kuhusu JK kuwa legelege hilo kila mtu analijua ..JK hana ubavu wa kumwambia Lowasa aondoke ...

na hapa kama Nape akijiuzulu Lowasa atakuja kuchukua nchi na Nape hatakuwa na Nguvu yoyote tena ndani ya ccm.. kuhusu JK kuwa legelege hilo kila mtu analijua ..JK hana ubavu wa kumwambia Lowasa aondoke ...

Saint Ivuga naheshimu sana michango yako lakn kwa hili la Lowassa kua raisi ckusupport

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…