Kamati kuu CHADEMA mnakosea sana

Kamati kuu CHADEMA mnakosea sana

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
4,486
Reaction score
4,875
Naandika kwa masikitiko makubwa sana.

Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?

Jambo la pili,sioni kama mna nia ya kufungua kesi mahakamani ili kuwashitaki wahusika wa sakata hili feki la kuwapeleka covid-19 bungeni.

Wito wangu: You need to be smarter in this war, otherwise you will lose before the war itself.
 
Sawa,,,umeeleweka ester bulaya...kamati kuu watashughulikia kilio chenu
 
Kuna kabila moja la WASUMBWA huko chato Linadai -Masaubwile maana yake ni USIKU MWEMA
 
Naandika kwa masikitiko makubwa sana.
Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula,iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?...
mkuu hivi unamjua mbowe au una msikia tu kwenye bomba? kitu kimesukwa hicho unafikiri ruzuku na pesa ya kila mwezi wanazochanga wabunge viti maalumu ni chache? angekula wapi?

kaa ukisubiri kikao cha kamati kuu mpaka miaka mitano itaisha waingie kwenye uchaguzi tena na siyo rahisi wele kuwa walijipeleka wenyewe bila mkono wa chadema kuhusika never mbowe anahusika mnyika alizungukwa na ndiyo maana mdee akamuambia wewe dogo umefaziliwa umekuja chadema na ndala na hakujibu kitu
 
Pilipili Mbuzi, umetoa ushauri wa maana kabisa, kweli kuna kiza hapa, kuhusu hili swala.

La kujiuliza, jee hawa kina DADA 19 ujasiri huu ni wao, au kuna mkono wa kichama nyuma yao. Tunajua Chama Changu cha CCM, kinaweza tumia mbinu zozote kuhakikisha mvurugano unatokea nfani ya CDM, tukiwacha hilo, Jee ubavu wanaopewa hawa kinadada na power ipi ndani ya CDM, hadi waka wakakamavu hivi.

Mbowe na CHADEMA wameweza kuwasambaratisha vigogo wenye mvuto mkubwa kama akina Marehemu CHACHA, ZITTO NA TIMU YAKE, Wenje na wengine wengi.

But never these ladies, acheni kuwaangalia hawa mademu, fanyeni uchunguzi ndani yenu. Wahenga walisema " KIKULACHO KII NGUONI MWAKO"
 
Watalose mara ngapi bwashee?

Akili ya Halima James Mdee ni kubwa kuliko akili za Mbowe na Mnyika ukizichanganya pamoja!
IMG_20210211_163253.jpg
 
Vigumu sana kupambana na Wanawake werevu ,wasomi na wenye support ya dola.
 
Yaani CDM waache kufanya mambo yao wahangaike na Delila wa Tanzania Halima Mdee na kundi lake .
 
chadema kupambana na kina mzee mdee ni kupoteza muda tu.
Kwa hiyo unashauri CHADEMA wafanyaje sasa? Viongozi waendelee kumute tu as if hakuna lililotokea? Baraza kuu lisikae kwa kuwa maamuzi yao hayana maana? BAWACHA waendelee kukaa bila viongozi wa kuchaguliwa?

Kutokuchukua hatua stahiki kwa kuwa tu unaamini eti utashindwa ni udhaifu mkubwa sana unless ofcourse na wewe ni part ya hiyo syndicate.
 
Kamati kuu inaelewa kuwa ni kujiabisha kupambana na kina mama.

Chadema wanajiabisha Sana kuwekeza muda na fedha kupambana na wakina mama tena 19 tu, je wangekua wanaume 5 si wangeomba wenyewe usajili wao ufutwe?? Chama goi goi Sana hiki.
 
Kwa hiyo unashauri CHADEMA wafanyaje sasa? Viongozi waendelee kumute tu as if hakuna lililotokea? Baraza kuu lisikae kwa kuwa maamuzi yao hayana maana? BAWACHA waendelee kukaa bila viongozi wa kuchaguliwa?

Kutokuchukua hatua stahiki kwa kuwa tu unaamini eti utashindwa ni udhaifu mkubwa sana unless ofcourse na wewe ni part ya hiyo syndicate.
Chadema washawafukuza hao wachumia tumbo 19.
 
Hivi bado Kuna chama kinaitwa CHADEMA ? Nadhani kilikufa zama za zito kabwe na Dr.slaa
 
Back
Top Bottom