Kamati Kuu CHADEMA kukutana Dar

Kamati Kuu CHADEMA kukutana Dar

Hivi kwa nini unapenda kutumi muda kwa ubishi usiokuwa na tija?

Unalazimisha agenda zako ziwekwe kwenye mkutano wewe nani?

Unajua kusoma. Umesoma agenda zote zitakazojadiliwa zimewekwa bayana.

Hiyo ya Kagenzi,Kwenye agenda za CHADEMA, haimo. Kama ni agenda yako, itisha wewe mkutano wako ujadili.

Clear?

Naona bavichaa mpaka sasa mnashindwa kujibu swali rahisi sana, jibu ni ndiyo au hapana.
 
Ndugu mambo gani aliyo yafanya zitto? hamja wai mtimua kafulila, hamjawai msema vibaya mbatia? hamjawai ikashfu cuf? leo yako wapi? tatizo lazito ni mbowe na si cdm hilo kubari

Mkuu ebu acha uvivu...Zitto alianzisha kikosi kazi cha mapinduzi akiwa bado ni kiongozi anayeaminika wa CDM...
Pengine ifike kipindi mshaurini Zitto atulie asuburi muda wake ukifika...pia apunguze umimi...??
 
Kwani Pro wa cdm ni nani?molemo au tumaini makene? au molemo ndio tumaini makene?
Cdm badilikeni,chama makini hufanya kazi Kwa umakini,sio kila mtu anakuwa msemaji wa chama.
Ni ushauri tu!
 
Mkuu ebu acha uvivu...Zitto alianzisha kikosi kazi cha mapinduzi akiwa bado ni kiongozi anayeaminika wa CDM...Pengine ifike kipindi mshaurini Zitto atulie asuburi muda wake ukifika...pia apunguze umimi...??
Zitto hana umimi kama angelikuwanao pangetosha, zitto nimwanasiasa mwenye busara sana, mmemsema sana lakin kamwe amejibu kiustadi kuliko huyo mbowe, kutulia ztt hawezi tulia kwani yeye ameumbiwa siasa na kwakuwa ninyi mmeamua siasa za chuki huoni akitulia mtaimaliza nchi kwa kuwapandikiza watu chuki
 
Hivi kwa nini unapenda kutumi muda kwa ubishi usiokuwa na tija?

Unalazimisha agenda zako ziwekwe kwenye mkutano wewe nani?

Unajua kusoma. Umesoma agenda zote zitakazojadiliwa zimewekwa bayana.

Hiyo ya Kagenzi,Kwenye agenda za CHADEMA, haimo. Kama ni agenda yako, itisha wewe mkutano wako ujadili.

Clear?

Povu lanini? mie nimeuliza tu.
 
Kwani Pro wa cdm ni nani?molemo au tumaini makene? au molemo ndio tumaini makene?
Cdm badilikeni,chama makini hufanya kazi Kwa umakini,sio kila mtu anakuwa msemaji wa chama.
Ni ushauri tu!
Tutaendeleni kuwaletea habari zinazotakiwa kuwafikia watanzania wote kwa ujumla kuhusu Chama chao pendwa Chadema

Cc. Tumaini Makene, Chadema Kwanza, Mwanahabari Huru, Crashwise, Standalone, Molemo
 
Kwanini iwe ndiyo au hapana

Mnakwepa hilo swali lakini ni muhimu sana.

Hivi huoni umuhimu wa Khalid Kagenzi na image ya chadema?

Kwa aliyofanyiwa makao makuu ya chadema, kuna Mtanzania mpenda maadili akaichaguwa chadema?

Nnawaza, jee, alikuwa utumwani?
 
Hatujadili watu chakavu hao wanajadiliwa na wale fisi wenu pale Lumumba
 
Hiyo issue ni kubwa kuliko unavyofikiria, hivi hataki kuwajulisha Watanzania kwanini mkafikia kumminya korodani Kagenzi ndani ya ofisini zenu za makao makuu?

Jee, Mwenyekiti alikuwepo ofisini wakati hayo yanafanyika? alihusika?
 
kawaulize wazee wa fisi maana ndio wanampa usakatonge kwa mda huu sisi tunakomboa nchi kutoka kwa mkoloni mweusi
 
Zitto hana umimi kama angelikuwanao pangetosha, zitto nimwanasiasa mwenye busara sana, mmemsema sana lakin kamwe amejibu kiustadi kuliko huyo mbowe, kutulia ztt hawezi tulia kwani yeye ameumbiwa siasa na kwakuwa ninyi mmeamua siasa za chuki huoni akitulia mtaimaliza nchi kwa kuwapandikiza watu chuki
Lazima mutumie thread zinazohusu chadema kumpromote maiti wa kisiasa duh anauzwa lakini hauziki Tanzania nzima na dunia nzima wamjua msaliti mroho wa madaraka mla rushwa
 
Kwani Pro wa cdm ni nani?molemo au tumaini makene? au molemo ndio tumaini makene?
Cdm badilikeni,chama makini hufanya kazi Kwa umakini,sio kila mtu anakuwa msemaji wa chama.
Ni ushauri tu!

Yote uliyosema kuhusu Molemo yanaweza kuwa majibu sahihi.
 
Last edited by a moderator:

Kamanda Molemo hawa ccm na michepuko yao wanataka sana kujua Molemo, Chademakwanza ni nani ninawambia hivi tutaendelea kuwajua kinacholetwa na chama makini na pendwa cha ukombozi wa kweli Tanzania nzima Chadema
 
Last edited by a moderator:
Kila La Kheri Makamanda, nasi huku vijijini tunazidi kukiuza chama kwa wapga kura, waalahi mwaka huu FISIccm hawana chao
 
This is too low from you Mpenzi

Hapo inaonesha ni jinsi msikuwa na uelewa na muono.

Too low? mtu kateswa makao makuu ya chadema na kesi ipo mahakamani?

You had better think twice.
 
Back
Top Bottom