Kamati Kuu CHADEMA kukutana Dar

Kamati Kuu CHADEMA kukutana Dar

Makene anakusalimu Shigongo amesema nikueleze kuwa mbona umepotea?
 
Hapo ndo mwanzo wa kuvuja kwa siri ya mgombea wa ukawa
 
Wanajadili namna ya kupambana na ACT-WAZALENDO, wala Chadema hawana jipya tena.

Usijiite Dr. kwa sababu upeo wako wa kufikiri, kuchambua na kupembua mambo ni kama za mtoto wa shule ya msingi.
 
Katika uendeshaji wa Taasisi yeyote vikao ndiyo njia sahihi ya kujitathmini,ndiyo njia pekee ya kuona wapi uko nyuma,kipi kifanyike ili. kusukuma ajemda endelevu ili kufikia mafanikio muliyojiwekea
 
Nisome tena, kisha jibu swali, hivi shule ulienda kusomea ujinga?

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Watamjadili Khalid Kagenzi?

We ACTCCM, halafu inaonekana hushirikishi akili zako ipasavyo kabla hujaandika au kuongea jambo.
 
Wewe kichwa chako kimjaa mapovu, kasafishe uweze kufikiria kama binadamu wengine

Naona bavichaa mpaka sasa mnashindwa kujibu swali rahisi sana, jibu ni ndiyo au hapana.
 
Kamati Kuu ya CHADEMA inakutana jijini Dar kuanzia tarehe 3-4 kwa kikao cha siku mbili.

Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe na kitajadili mambo kadhaa kwa maslahi ya chama na nchi.=

=======

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa Kamati Kuu ya Chama, chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, itakutana Mei 3-4, katika kikao chake cha kawaida kwa mujibu wa Katiba ya Chama.

Katika kikao hicho cha siku mbili kitakachofanyika jijini Dar es Salaam, pamoja na masuala mengine ya kitaifa kuhusu hali ya kisiasa nchini kwa ujumla na mengine mahsusi yanayohusu uendeshaji wa chama, KK itapokea taarifa, kujadili na kufanya maamuzi kuhusu;

1. Maandalizi ya Chama kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

2. Taarifa ya ziara ya mafunzo kwa timu za kampeni, viongozi wa serikali za mitaa na chama, kukiandaa chama kushinda dola na kuongoza serikali baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

3. Taarifa za utendaji wa chama kupitia kanda zote 10, Tanganyika na Zanzibar.

4. Taarifa ya maendeleo ya mikakati ya kushiriki uchaguzi mkuu kwa kushirikiana na vyama 4 vinavyounda UKAWA.

5. Taarifa za mwenendo wa shughuli ya uandikishaji wa wapiga kura (upya) katika daftari la kudumu kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) na hatma ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Imetolewa leo Jumamosi, Mei 2, 2015 na;

Tumaini Makene

Mkuu wa Idara a Habari na Mawasiliano- CHADEMA

please muwaombe wawasaidie majibu ya maswali yaliyowashinda kujibu. Bavicha wote wamejikuta wako kwenye mtihani wa kutukana tukana yaani kwa ufupi wameshindwa kujibu sasa hao wakubwa wawasa
Idieni majibu ya maswali haya yaliyokwenye uzi ulioanza kwa maneno haya

Nataka kurudi Chadema mara baada ya .....

Nitayaamini maneno yanayotolewa na wanachadema siku siku haya maswali yakipatiwa majawabu

Natamani sana kuwa Kamanda lakini haya yananitatanisha,naombeni majibu ili nifanye maamuzi magumu.

1.Walituambia kuwa chama cha wananchi CUF ni tawi la ccm,wakaenda mbali kwa kuwaita kuwa ni chama cha Mashoga ghafla wakasahau matusi yao na wakaanza mashirikiano Mapya,Je ile tuhuma iliishia wapi?

2.Chadema walituaminisha kuwa Chama cha NCCR mageuzi kimejaa Usalama wa Taifa,wakaenda mbali wakamkejeli Mbatia, tena ndani ya Bunge kuwa,yupo Upinzani huku akiitumikia ccm,ghafla tu Mbatia ni Mshirika namba Mbili wa Ukawa bila watanzania kuelezwa kama zile tuhuma zilikuwa za kweli au za kutunga kwa nia ya kuwalaghai watu.

3.Chadema kwenye Ilani yake 2010 walituambia kuwa tukiwachagua hawatachukua posho kama hatua mojawapo ya kuonyesha kwa vitendo kuchukizwa na matumizi mabaya ya serikali.Je Kwanini wamekiuka Ilani yao?

4.Chadema Mwaka 2011 walikataa kushirikiana na vyama vya Upinzani ili kuunda kambi ya Upinzani yenye sauti na nguvu,wakatuambia kuwa Vyama vyote ni mawakala wa ccm isipokuwa Chadema,hivyo kushirikiana nao ni kurudisha nyuma harakati za ukombozi,ghafla tu baraza kivuli la mawaziri likavunjwa na wale vibaraka wa ccm wakaingizwa kwenye kambi ya upinzani bila sisi wafuasi kuambiwa ni lini ukibaraka wao umeisha mpaka wakaaminiwa.

5.Tuliambiwa kuwa David Kafulila ni mtu hatari kwa ustawi wa Upinzani hasa Chadema,tukaambiwa ni Sisimizi ambae hana umuhimu wowote ndani ya Chadema ,ghafla tu Sisimizi kageuka tembo,Mtu hatari kageuka Shujaa na sasa ananadiwa na viongozi wa Chadema kuwa ukawa imepata tuzo,Je ni lini kafulila alianza kuaminiwa ?

6.Tuliambiwa tena kuwa ,Serikali kutumia mashangingi huku Zahanati hazina dawa ni kiwango cha juu cha Ubinafsi,Mbowe akalikataa Shangingi la Kiongozi wa Upinzani....ghafla nimemuona Bukoba akiwa na Shangingi lenye maandishi KUB. Je ndio lilelile alilolikataa hadharani au ni lingine?

7.Mbowe alituahidi kwenda mahakamani,na kudai kuwa wanasheria wake wanaandaa mashtaka dhidi ya Zitto Kabwe baada ya Zitto kumtuhumu kuwa alipokea fedha toka kwa makada wa ccm na kuwa alicheza dili ns Kinana kuhusu deni analodaiwa na NSSF.Je taratibu za ufunguaji kesi ziliishia wapi ?

8. Chadema Mwaka 2011 ilitangazia Umma kutomtambua Rais Kikwete kwakuwa alishindwa na Slaa,ghafla wanatangaza kuomba mashauriano na Rais waliemkataa,wakafika Ikulu kujadiliana juu ya maswala mbalimbali ya Kitaifa,wakanywa Juice na kupiga picha,Je ni lini Chadema ilianza kumtambua Rais na kwanini sisi wananchi hatukuelezwa kuwa kuanzia sasa Kikwete ni Rais?
Sina nia ya kuibua Marumbano yasiyotujenga bali nataka mtu mwenye uelewa mkubwa kuliko mimi anaondoe Uvulivuli ili nami nijitambue.

Naomba nijibiwe hayo ili nami niwe Kamanda nitakaeitetea Chadema popote.

Hayo Majawabu yakipatikana,ndio utakuwa mwisho wa Chama cha ACT-Wazalendo maana umma utaiamini Chadema na hivyo kuiunga mkono.

Kama Maswali yakikosa Majibu basi Chadema itakosa uhalali wa kutuhumu ACT-Wazalendo na viongozi wake na hivyo wananchi wataendelea kujiunga na ACT-Wazalendo kwa kuamini kuwa maneno yoyote yanayotolewa na Chadema ni Ulaghai.

Karibuni kwa majibu Makamanda ili nasi tupate chakuwaambia wananchi ili waipuuze ACT-Wazalendo.
 
Chadema msiyakimbieni haya maswali leteni majibu msijilazimishe kuvaa koti lenye chawa kisa mnaikimbia Nguvu ya wazalendo. Jibuni haya

Mtaonekana wa maana sana kama mtajibu maswali yaliyoelekezwa kwenu. Huku mitaani cuf hawajasahau mlivyowaita ni mashoga sasa wanaulizana je wameshauacha au nanyi mmejiunga?
Haya maswali yakiwashinda kuanzia leo mbadirike muanze kufanya za hoja na siasa maji taka mnazojikita nazo mkidhani mnafanya siasa.

Watajiuliza kumbe ztt ana nafasiyake pale na watamlaum sana mbowe kwa kuendekeza chuki za kinafik

MOTOCHINI ebu jiweke kwenye nafasi ya juu kabisa kama kiongozi wa kitaifa wa CDM... Je; yote maovu aliyofanya Zitto akiwa CDM pamoja na washirika wake wewe ungechukua uamuzi gani...??
Nchi nyingine kama Russia, China, Kenya, Uganda, n.k ukijaribu kufanya ujinga alioufanya Zitto mara moja unapotezwa kwenye ramani ya dunia..!!
 
MOTOCHINI ebu jiweke kwenye nafasi ya juu kabisa kama kiongozi wa kitaifa wa CDM... Je; yote maovu aliyofanya Zitto akiwa CDM pamoja na washirika wake wewe ungechukua uamuzi gani...??Nchi nyingine kama Russia, China, Kenya, Uganda, n.k ukijaribu kufanya ujinga alioufanya Zitto mara moja unapotezwa kwenye ramani ya dunia..!!
Ndugu mambo gani aliyo yafanya zitto? hamja wai mtimua kafulila, hamjawai msema vibaya mbatia? hamjawai ikashfu cuf? leo yako wapi? tatizo lazito ni mbowe na si cdm hilo kubari
 
Back
Top Bottom