Kamati Kuu CHADEMA kukutana Dar

Kamati Kuu CHADEMA kukutana Dar

Kila laheri makamanda, Mungu awape kibari machoni pake. Tulianza na Mungu - Tutamaliza na Mungu
 
Big up ! Corrupted people don't like you. Keep it up claiming toward Real freedom economically,socially,politically
 
Wanajadili namna ya kupambana na ACT-WAZALENDO, wala Chadema hawana jipya tena.
 
Ccm wakisikia kuna kikao chadema, inya inagonga kyupi.
 
Magamba (c.c.m) matumbo hou wameanza kuweka booking.
Vyoo!
*chadema mpango wa mungu.
 
safi sana , siasa si kama mbio za mwenge , siasa ni mikakati .
 
OMBI MAALUM - ULINZI uimarishwe kuliko siku yoyote , lumumba hali ni mbaya mno !
 
Back
Top Bottom