Kamati Kuu CHADEMA kukutana Dar

Kamati Kuu CHADEMA kukutana Dar

NAKUJIBU:

Acha fikra MGANDO, siasa ni Dynamic na ni Game of Opportunity unatupa karata kulingana na mchezo.

Waulize CCM, Mahama ya KADHI iko wapi?
Walitumia karata hiyo 2005, leo ni miaka 10, na jamaa huyoooo!

Changanya maswali yako yote kwenye hili jibu, halafu kajiunge ACT usiende CDM.

Du mkuu ahsante kwa kuishusha pressure yangu maana ilikuwa juu kupita kiasi baada ya kuona maswali yake kwa Chadema, lakini kwa hilo jibu lako la ulaghai wa CCM wa Mahakama ya Kadhi dhidi ya Waislamu limeyazika maswali yake yote walau sasa napumua! Ahsante
 
Nivizuri wewe kunitukana japo sivyema kunitukana, nachokueleza mm mwenyewe nimzaliwa wa kigoma, ujiji mnaz mmoja, nikiwa shule NYARUBANDA shonge, Nimemfaham zitto tangu hajawa mgombea dhid ya KAHENA, Sinashaka na kusaidiwa na mtu kwan nikawaida ktk mafanikio huwezi kuyapata bila kupitia kwa mtu bak, mada ipo ktk utatuzi wa mgogoro unao pelekea kila siku majukwaani hakun lamaana zaid ya chuki na ztt, ww umekuja kunitukana ila mm kutukana mwiko.

Ndugu yanguZi-tto anatumika kuhujumu Upinzani.Ni mpenda Sifa na Madaraka.Asipochanga vizuri Karata zake,atapotea kwenye Ulingo wa Siasa.
 
Watu wa Kigoma asiliyao ni usaliti(vibaraka), iwe kwenye mapenzi, michezoni au kwenye siasa! Angalia kwenye siasa mlolongo wa wasaliti wote wengi wao wanatokea kigoma! Akina Dr Warid Amani Kaborou, akina Zitto Zuberi Kabwe, akina David Kafulila, akina Naseeb Abdul, akina Juma Kaseja, akina Nsanzugwako na wengine wengi tu kwenye tasnia tofauti!
 
Kila heri makamanda Mungu akawasimamie naona team ya ccm wameshaanza kupaniki.
 
quote_icon.png
By FaizaFoxy
Watamjadili Khalid Kagenzi?

si wangeandika mbona ajenda zipi hapo juu kwenye thread sitaki kuamini mtu mzima kama wewe faizay hujui kusoma
 
Ndugu yanguZi-tto anatumika kuhujumu Upinzani.Ni mpenda Sifa na Madaraka.Asipochanga vizuri Karata zake,atapotea kwenye Ulingo wa Siasa.
Kwazito kupotea ndugu halipo na hatakama ikitokea jua watapotea weng maana wamegeuza ku disgust kila jambo ambalo lipo tofaut na kile wakitakacho wao
 
[QUOT E=MOTOCHINI;12627925]Nivizuri wewe kunitukana japo sivyema kunitukana, nachokueleza mm mwenyewe nimzaliwa wa kigoma, ujiji mnaz mmoja, nikiwa shule NYARUBANDA shonge, Nimemfaham zitto tangu hajawa mgombea dhid ya KAHENA, Sinashaka na kusaidiwa na mtu kwan nikawaida ktk mafanikio huwezi kuyapata bila kupitia kwa mtu bak, mada ipo ktk utatuzi wa mgogoro unao pelekea kila siku majukwaani hakun lamaana zaid ya chuki na ztt, ww umekuja kunitukana ila mm kutukana mwiko.[/QUOTE]

Nduguyangu punguza mahaba kwanza ndio umpime mtu,hata mimi nilikuwa mshabiki sana Wa Zitto tena huenda kuliko wewe lakini alivyoanza mamboyake ya hovyo nikamwacha,Mimi ni muha tena Original na kamwe sintomuunga mkono mtu kwa sababu eti tunatoka pamoja isipokuwa kwa kutuweka pamoja Watanzania ambavyo Zitto badala yake anatugawa
 
Wakati fulani uwezo wa kufikiri huonekana kwenye uandishi wa mtu,kama hukurishwa matangopori pale mchikichini sijui,

Chadema wamekuwekea ajenda hapo juusi vinginevyo,kamati kuu inajadili mambo kulingana na uhitaji wake wakati ule,

Wakati mnajadili namna ya kupambana na chadema kupitia Act tawi lenu la chamwino,sisi tunajipanga kuhimiza watanzania kujiandikisha na tathmini ya mafunzo yanayoendelea nchi nzima basi

Endelea kuficha kichwa mchangani

Nisome tena nimeuliza:

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Watamjadili Khalid Kagenzi?

Kwazito kupotea ndugu halipo na hatakama ikitokea jua watapotea weng maana wamegeuza ku disgust kila jambo ambalo lipo tofaut na kile wakitakacho wao

Zitto akigombea Jimbo la watu Makini lazima akose Ubunge kwa sababu hawezi kupenya Nguvu ya UKAWA na CCM.Uchaguzi uliopita alimshida Mgombea wa CCM kwa kura chache sana.Mwaka huu za CCM zipo palepale na za kwake anagawana na UKAWA.
 
Watu wa Kigoma asiliyao ni usaliti(vibaraka), iwe kwenye mapenzi, michezoni au kwenye siasa! Angalia kwenye siasa mlolongo wa wasaliti wote wengi wao wanatokea kigoma! Akina Dr Warid Amani Kaborou, akina Zitto Zuberi Kabwe, akina David Kafulila, akina Naseeb Abdul, akina Juma Kaseja, akina Nsanzugwako na wengine wengi tu kwenye tasnia tofauti!
Huko nikujidanganya najua hapo umetusifia bila ya kueleza mojakwa moja, maana hayo ukitaka nikujibu hee ntakosea na kuudhi wengine kwa kufuata fikra zako hizo ok nieleze what's your verdict?
 
Back
Top Bottom