Kamati kuu CHADEMA, haijajadili Ubunge wa Aida Khenan

Baada ya kusikiliza kile kilichoitwa maamuzi ya kikao cha kamati kuu haya ndiyo nimejionea.

1.Wamevuliwa uanachama wa Chadema kwa sababu hawajatokea kuhojiwa na kamati kuu na siyo sababu ya ubunge wa viti maalum.!

2. Wameambiwa wanaweza kuandika barua ya kuomba radhi ili warejeshewe uanachama wao.!

3. Ndani ya siku 30 wanaweza kukata rufaa kwa kupinga hukumu ya kamati kuu kwenye baraza kuu la chadema.!

4. Chadema iliwaandikia barua mara mbili kuwabembeleza wafike kuhojiwa na kamati kuu pia kamati kuu ililazimika kubadili eneo la kuwahoji kutoka makao makuu ya chadema hadi kwenye hoteli ya kitalii ili kulinda usalama wao.!

Mtu ambaye ni msaliti unaweza kumbembeleza kwa kumwandikia barua mbili na hadi kuingia gharama za kukodi hoteli ili kumuhoji?

Ni vipi msaliti aruhusiwe kuandika barua ya kuomba radhi tu na atarudishiwa uanachama wake?

Mbona Zito Kabwe na Kitila Mkumbo wakati wanafukuzwa hawakupewa nafasi ya kuomba radhi na kurudishiwa uanachama wao?

Hapa kuna sinema inachezwa na ndani ya siku 30 tutaona matokeo yake, kama mtu alikuwa tayari kutengeneza igizo la kuangushwa na konyagi na kisha kusingizia wasiojulikana, hapa kuna mengi yanakuja.
Another mpotoshaji. Waeleze hivyo CCM wenzako.
 
Vile hali ya jobu ilivyosasa baada ya sukari kushuka,poleni sana ccm uchungu wa leo lazima leba zijae wote mtazaaView attachment 1636378
Sasa nawewe mkuu inaonekana akili yako kama inatia mashaka.
Yani msiba utokee kwa CDM halafu Masikitiko yatokee kwa CCM!
Sasa mpaka sasahivi Kati ya CCM na CDM Nani kapoteza?

Halima mdee na wenzake 19 kwenye chama umhimu wao ni mkubwa Sana kuliko vijana wa ufipa wote waliopo huku Jf.

Ila sikushangai maana ndo akili zenu.
 
Leo Chadema imetoa uamuzi wa kuwapa wabunge wake 19 wa viti maalum nafasi ya kuomba msamaha ili waendelee kuwa wanachama.

Katika tamko lao, hawajakaripia wala kujitenga na mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenan.

Hapo awali, Chadema ilitoa amri kwa Aida Khenan kutokushiriki Bunge. Hata hivyo, Aida alihudhuria Bunge, akaapishwa sambamba na wabunge wengine.

Leo, ilikuwa ni fursa kwa Chadema kutoa kauli juu ya Ubunge wa Aida iwapo ingekuwa haiutambui. Ukimya wa Kamati Kuu ya Chadema, umetuma ujumbe rasmi kuwa Chadema imelegeza msimamo wake juu ya mbunge huyo.

Kwahiyo, mahesabu ya wabunge ya Chadema mpaka sasa ni 20 (mmoja anatambuliwa, 19 wamepewa nafasi ya kuomba msamaha)
Mkuu hilo la kusema chadema ilimuonya Aida kushiriki bungeni unaweza kuweka hapa hilo tamko rasmi la chama au unaweza kusema ni kiongozi gani wa Chadema alitoa hayo maelekezo kwa Aida? Au na wewe unafuata hearsay za mtandaoni?
 
Baada ya kusikiliza kile kilichoitwa maamuzi ya kikao cha kamati kuu haya ndiyo nimejionea.

1.Wamevuliwa uanachama wa Chadema kwa sababu hawajatokea kuhojiwa na kamati kuu na siyo sababu ya ubunge wa viti maalum.!

2. Wameambiwa wanaweza kuandika barua ya kuomba radhi ili warejeshewe uanachama wao.!

3. Ndani ya siku 30 wanaweza kukata rufaa kwa kupinga hukumu ya kamati kuu kwenye baraza kuu la chadema.!

4. Chadema iliwaandikia barua mara mbili kuwabembeleza wafike kuhojiwa na kamati kuu pia kamati kuu ililazimika kubadili eneo la kuwahoji kutoka makao makuu ya chadema hadi kwenye hoteli ya kitalii ili kulinda usalama wao.!

Mtu ambaye ni msaliti unaweza kumbembeleza kwa kumwandikia barua mbili na hadi kuingia gharama za kukodi hoteli ili kumuhoji?

Ni vipi msaliti aruhusiwe kuandika barua ya kuomba radhi tu na atarudishiwa uanachama wake?

Mbona Zito Kabwe na Kitila Mkumbo wakati wanafukuzwa hawakupewa nafasi ya kuomba radhi na kurudishiwa uanachama wao?

Hapa kuna sinema inachezwa na ndani ya siku 30 tutaona matokeo yake, kama mtu alikuwa tayari kutengeneza igizo la kuangushwa na konyagi na kisha kusingizia wasiojulikana, hapa kuna mengi yanakuja.
Wewe ni Lumumba fc, kama mnaweza kupiga MTU risasi utashindwa kughushi sahihi na muhuri, pumbavu kabisa
 
Mtu ushasikia ni mbunge wa Nkasi unategemea kuna mtu atakumbuka jina lake???
Leo Chadema imetoa uamuzi wa kuwapa wabunge wake 19 wa viti maalum nafasi ya kuomba msamaha ili waendelee kuwa wanachama.

Katika tamko lao, hawajakaripia wala kujitenga na mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenan.

Hapo awali, Chadema ilitoa amri kwa Aida Khenan kutokushiriki Bunge. Hata hivyo, Aida alihudhuria Bunge, akaapishwa sambamba na wabunge wengine.

Leo, ilikuwa ni fursa kwa Chadema kutoa kauli juu ya Ubunge wa Aida iwapo ingekuwa haiutambui. Ukimya wa Kamati Kuu ya Chadema, umetuma ujumbe rasmi kuwa Chadema imelegeza msimamo wake juu ya mbunge huyo.

Kwahiyo, mahesabu ya wabunge ya Chadema mpaka sasa ni 20 (mmoja anatambuliwa, 19 wamepewa nafasi ya kuomba msamaha)
 
Viongozi wa CDM na wanachama wake Wana swaga za kihuni Sana.

Wanawachukulia hatua Kali wabunge wa viti maalamu kwa sababu ya kutoutambua uchaguzi wa 28Oct2020 halafu wanamuacha Mbunge wao wa Nkasi Aendelee na Ubunge wake kwa bendera hiyohiyo ya CDM ambayo inasema haiutambui uchaguzi.

Ama kweli leo ndo nimeamini nyumbu ni nyumbu tu hata uitoe Serengeti na kuipeleka USA itabaki kuwa nyumbu tu.
Ndugu Mataga, huyo mbunge wa Nkasi aliteuliwa na Chadema kwenda Bungeni? Au kwa upeo wako unawalinganisha hao Covid 19 waliosema KM kapeleka majina yao NEC na huyu Mbunge wa Nkasi? Hakika wewe ni nyumbu kweli kweli kama ulivyojiita
 
Sasa nawewe mkuu inaonekana akili yako kama inatia mashaka.
Yani msiba utokee kwa CDM halafu Masikitiko yatokee kwa CCM!
Sasa mpaka sasahivi Kati ya CCM na CDM Nani kapoteza?

Halima mdee na wenzake 19 kwenye chama umhimu wao ni mkubwa Sana kuliko vijana wa ufipa wote waliopo huku Jf.

Ila sikushangai maana ndo akili zenu.
Wamefukuzwa wanachama wa Chadema ila maumivu wanasikia MATAGA, ajabu sana hii
 
Ndugu Mataga, huyo mbunge wa Nkasi aliteuliwa na Chadema kwenda Bungeni? Au kwa upeo wako unawalinganisha hao Covid 19 waliosema KM kapeleka majina yao NEC na huyu Mbunge wa Nkasi? Hakika wewe ni nyumbu kweli kweli kama ulivyojiita
Acha kukwepa hoja mkuu..
Hapa hoja kubwa nikuwa Kama chadema hautambui uchaguzi uliofanyika mwezi uliopita huyo Mbunge wa chadema yupo humo kwa uchaguzi upi?

Tanzania hakuna Sheria ya mgombea binafsi Bali Wagombea wote huwa wanakuwa chini ya chama na ndo maana hata Kama ulichaguliwa na wananchi, chama chako kikikuvua uanachama na Ubunge wako ndo unaishia hapo. Je Kama kweli CDM hawautambui uchaguzi huo uliompa kura Bi Aidan mbona wameshindwa kumvua uanachama ili akose sifa ya kuwa Mbunge hata Kama wananchi wa Nkasi wamempitisha..

Kama ni hivyo Basi hata hao wanawake waachwe kwamaana na wao wapo pale Bungeni kwasababu ya katiba ya nchi ndo inawataka wawe pale chama chao ni kama daraja tu.
 
Mkuu hilo la kusema chadema ilimuonya Aida kushiriki bungeni unaweza kuweka hapa hilo tamko rasmi la chama au unaweza kusema ni kiongozi gani wa Chadema alitoa hayo maelekezo kwa Aida? Au na wewe unafuata hearsay za mtandaoni?
Sikikiza tamko la Chadema la kutokutambua matokeo na kuitisha maandamano yasjyo na kikomo nchi nzima.
 
Ndugu Mataga, huyo mbunge wa Nkasi aliteuliwa na Chadema kwenda Bungeni? Au kwa upeo wako unawalinganisha hao Covid 19 waliosema KM kapeleka majina yao NEC na huyu Mbunge wa Nkasi? Hakika wewe ni nyumbu kweli kweli kama ulivyojiita
Yes, amedhaminiwa na Chadema
 
Baada ya kusikiliza kile kilichoitwa maamuzi ya kikao cha kamati kuu haya ndiyo nimejionea.

1.Wamevuliwa uanachama wa Chadema kwa sababu hawajatokea kuhojiwa na kamati kuu na siyo sababu ya ubunge wa viti maalum.!

2. Wameambiwa wanaweza kuandika barua ya kuomba radhi ili warejeshewe uanachama wao.!

3. Ndani ya siku 30 wanaweza kukata rufaa kwa kupinga hukumu ya kamati kuu kwenye baraza kuu la chadema.!

4. Chadema iliwaandikia barua mara mbili kuwabembeleza wafike kuhojiwa na kamati kuu pia kamati kuu ililazimika kubadili eneo la kuwahoji kutoka makao makuu ya chadema hadi kwenye hoteli ya kitalii ili kulinda usalama wao.!

Mtu ambaye ni msaliti unaweza kumbembeleza kwa kumwandikia barua mbili na hadi kuingia gharama za kukodi hoteli ili kumuhoji?

Ni vipi msaliti aruhusiwe kuandika barua ya kuomba radhi tu na atarudishiwa uanachama wake?

Mbona Zito Kabwe na Kitila Mkumbo wakati wanafukuzwa hawakupewa nafasi ya kuomba radhi na kurudishiwa uanachama wao?

Hapa kuna sinema inachezwa na ndani ya siku 30 tutaona matokeo yake, kama mtu alikuwa tayari kutengeneza igizo la kuangushwa na konyagi na kisha kusingizia wasiojulikana, hapa kuna mengi yanakuja.
Unao uhakika huu ya Zitto na Mkumbo au unasema nawe usikike! Weka ushahidi, hata hivyo kila kosa huwa na adhabu yake kwa mtuhumiwa husika.
 
Viongozi wa CDM na wanachama wake Wana swaga za kihuni Sana.

Wanawachukulia hatua Kali wabunge wa viti maalamu kwa sababu ya kutoutambua uchaguzi wa 28Oct2020 halafu wanamuacha Mbunge wao wa Nkasi Aendelee na Ubunge wake kwa bendera hiyohiyo ya CDM ambayo inasema haiutambui uchaguzi.

Ama kweli leo ndo nimeamini nyumbu ni nyumbu tu hata uitoe Serengeti na kuipeleka USA itabaki kuwa nyumbu tu.
Wanaonyesha kuwa sitaki-nataka...
 
Baada ya kusikiliza kile kilichoitwa maamuzi ya kikao cha kamati kuu haya ndiyo nimejionea.

1.Wamevuliwa uanachama wa Chadema kwa sababu hawajatokea kuhojiwa na kamati kuu na siyo sababu ya ubunge wa viti maalum.!

2. Wameambiwa wanaweza kuandika barua ya kuomba radhi ili warejeshewe uanachama wao.!

3. Ndani ya siku 30 wanaweza kukata rufaa kwa kupinga hukumu ya kamati kuu kwenye baraza kuu la chadema.!

4. Chadema iliwaandikia barua mara mbili kuwabembeleza wafike kuhojiwa na kamati kuu pia kamati kuu ililazimika kubadili eneo la kuwahoji kutoka makao makuu ya chadema hadi kwenye hoteli ya kitalii ili kulinda usalama wao.!

Mtu ambaye ni msaliti unaweza kumbembeleza kwa kumwandikia barua mbili na hadi kuingia gharama za kukodi hoteli ili kumuhoji?

Ni vipi msaliti aruhusiwe kuandika barua ya kuomba radhi tu na atarudishiwa uanachama wake?

Mbona Zito Kabwe na Kitila Mkumbo wakati wanafukuzwa hawakupewa nafasi ya kuomba radhi na kurudishiwa uanachama wao?

Hapa kuna sinema inachezwa na ndani ya siku 30 tutaona matokeo yake, kama mtu alikuwa tayari kutengeneza igizo la kuangushwa na konyagi na kisha kusingizia wasiojulikana, hapa kuna mengi yanakuja.
Ujinga wako ndiyo mtaji wako! Suala la kuomba msamaha au kukata rufaa limo ndani ya katiba, siyo lazima uambiwe!
 
Yes, amedhaminiwa na Chadema
Huyo amechaguliwa na wananchi, ila wao wamesingizia mamlaka ya Chadema imepitisha majina yao, hiyo ikapelekea kamati kukaa kwa haraka kuliweka sawa jambo hilo mana lilianza kuwachanganya wanachama wote wa CDM. Swala la mbunge wa Nkasi halina haraka sana lakini pia litashughulikiwa.
 
Back
Top Bottom