Kamati kuu CHADEMA, haijajadili Ubunge wa Aida Khenan

Hatimaye maamuzi rasmi ya Baraza la Wanawake yametenguliwa na kikao kilichojaa Wanaume.

Historia ya kupigania haki za Mwanamke inafungua ukurasa mpya...
 
You can't be serious, your flow is delirious
Your ailment superior to viruses and bacteria
You contaminate the area, from Dar to Nigeria
Toxic carrier who knows no barrier
Jamaa unajua sayansi, Unafanya kazi duka la dawa, au maabara ya kupima maleria?!
 
Very possible. However, kwenye communication strategy inatoa ujumbe tofauti. Kama hawazitambui nafasi, swala la walipoapishiwa halikutakiwa kuwaingiza gharama Chadema. They are going to pay lawyers to pursue a legal fight about it.
Communication ni janga la taifa kwa viongozi wote, si kwamba nawatetea hawa, nataja fact tu.

Walitakiwa kupinga kiujumla na kama kuna dramatic effect ya kuhusu garage, isi overshadow the principal objection, ya kupinga ubunge kwa ajili ya kupinga uchaguzi.

Otherwise watu wanaweza ku confuse au ku obfuscate kwamba kinachopingwa ni kuapishwa kwenye gereji, na kama wangeapishwa bungeni kusingekuwa na pingamizi.

In politics, you do not give your opponent even a slight chance to obfuscate, let alone a genuine opportunity to misunderstand.
 
"How to Keep A Man And Get Married: Even as a 26th Wife"
To know, to speak or write in English, does not make you illiterate or literate! You will not appear to be wise before anybody, just because you can formulate a sentence in English! Kuke itondo kita maringititi asee iva eefo! Even that is a language, but will benefit only those that understands it! So next time discus the topic, and stop boasting in English, which you are still struggling with!
 
You are not illiterate because you do not understand English.

You are illiterate because you cannot read with comprehension and follow arguments logically.

That bullshit about English is just your inferiority complex speaking.
 
Is this abusive language your superiority complex mindset?! Did you make any sensible argument that I need to read logically?!
 
Communication ni janga la taifa kwa viongozi wote, si kwamba nawatetea hawa, nataja fact tu.

Walitakiwa kupinga kiujumla na kama kuna dramatic effect ya kuhusu garage, isi overshadow the principal objection, ya kupinga ubunge kwa ajili ya kupinga uchaguzi.

Otherwise watu wanaweza ku confuse au ku obfuscate kwamba kinachopingwa ni kuapishwa kwenye gereji, na kama wangeapishwa bungeni kusingekuwa na pingamizi.

In politics, you do not give your opponent even a slight chance to obfuscate, let alone a genuine opportunity to misunderstand.
Exactly
 
Mkuu umeongea logic Sana na sidhani Kama Hawa nyumbu wa ufipa watakuelewa.

Ni Rais Sana kuwa kiongozi wa CDM maana Ina wanachama na Wapambe wengi ambao hawaijui siasa Bali bendera fuata upepo tu.

Ilichokifanya leo kamati kuu ni sawa na Mke Aliemnunia mme wake halafu akamwambia nakupa nafasi ya kuniomba msamaha ili uendelee kuwa mme Wangu.

Hii ndo CDM ninayoijua Mimi
Hahahaha.....naona vibwengu wa Lumumba mnabaďilishana mawazo
 
Leo CHADEMA imetoa uamuzi wa kuwapa wabunge wake 19 wa viti maalum nafasi ya kuomba msamaha ili waendelee kuwa wanachama.

Katika tamko lao, hawajakaripia wala kujitenga na Mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenan.

Hapo awali, CHADEMA ilitoa amri kwa Aida Khenan kutokushiriki Bunge. Hata hivyo, Aida alihudhuria Bunge, akaapishwa sambamba na Wabunge wengine.

Leo, ilikuwa ni fursa kwa CHADEMA kutoa kauli juu ya Ubunge wa Aida iwapo ingekuwa haiutambui. Ukimya wa Kamati Kuu ya CHADEMA, umetuma ujumbe rasmi kuwa CHADEMA imelegeza msimamo wake juu ya Mbunge huyo.

Kwahiyo, mahesabu ya Wabunge ya CHADEMA mpaka sasa ni 20 (mmoja anatambuliwa, 19 wamepewa nafasi ya kuomba msamaha)
Marcopolo OG hajawahi kua mpuuzi kama wewe
 
Leo, ilikuwa ni fursa kwa CHADEMA kutoa kauli juu ya Ubunge wa Aida iwapo ingekuwa haiutambui. Ukimya wa Kamati Kuu ya CHADEMA, umetuma ujumbe rasmi kuwa CHADEMA imelegeza msimamo wake juu ya Mbunge huyo.
Hapo ndipo itakua kwamba chadema ni wasanii,wanapambana na kivuli Chao
Walitakiwa wamfukuze na huyo Aida
 
Back
Top Bottom