Kamati kuu CHADEMA, haijajadili Ubunge wa Aida Khenan

Baada ya kusikiliza kile kilichoitwa maamuzi ya kikao cha kamati kuu haya ndiyo nimejionea.

1.Wamevuliwa uanachama wa Chadema kwa sababu hawajatokea kuhojiwa na kamati kuu na siyo sababu ya ubunge wa viti maalum.!

2. Wameambiwa wanaweza kuandika barua ya kuomba radhi ili warejeshewe uanachama wao.!

3. Ndani ya siku 30 wanaweza kukata rufaa kwa kupinga hukumu ya kamati kuu kwenye baraza kuu la chadema.!

4. Chadema iliwaandikia barua mara mbili kuwabembeleza wafike kuhojiwa na kamati kuu pia kamati kuu ililazimika kubadili eneo la kuwahoji kutoka makao makuu ya chadema hadi kwenye hoteli ya kitalii ili kulinda usalama wao.!

Mtu ambaye ni msaliti unaweza kumbembeleza kwa kumwandikia barua mbili na hadi kuingia gharama za kukodi hoteli ili kumuhoji?

Ni vipi msaliti aruhusiwe kuandika barua ya kuomba radhi tu na atarudishiwa uanachama wake?

Mbona Zito Kabwe na Kitila Mkumbo wakati wanafukuzwa hawakupewa nafasi ya kuomba radhi na kurudishiwa uanachama wao?

Hapa kuna sinema inachezwa na ndani ya siku 30 tutaona matokeo yake, kama mtu alikuwa tayari kutengeneza igizo la kuangushwa na konyagi na kisha kusingizia wasiojulikana, hapa kuna mengi yanakuja.
Tundu linalotoa kinyesi ndicho ulichoandika
 
Mke wa Makamu Mwenyekiti Salum Mwalimu, Mke wa Naibu Katibu Bensom Kigaila, Mke wa Kada Maarufu aliekuwa anazunguka na Lissu Binamu bananga ane kala viti Maalum, Nusrat Hanje nae kapiganiwa

Mchezo wa viti maalum ilikuwa mchezo wa kupigana timing, safari hii Wanawake wa Kichaga kina Lucy Kihwelu wamepigwa Mtama
Umeishaaanza kunena kwa 'lugha' wakati suala na tatizo vyote havikuhusu, vyamhusu jirani.
 
Baada ya kusikiliza kile kilichoitwa maamuzi ya kikao cha kamati kuu haya ndiyo nimejionea.

1.Wamevuliwa uanachama wa Chadema kwa sababu hawajatokea kuhojiwa na kamati kuu na siyo sababu ya ubunge wa viti maalum.!

2. Wameambiwa wanaweza kuandika barua ya kuomba radhi ili warejeshewe uanachama wao.!

3. Ndani ya siku 30 wanaweza kukata rufaa kwa kupinga hukumu ya kamati kuu kwenye baraza kuu la chadema.!

4. Chadema iliwaandikia barua mara mbili kuwabembeleza wafike kuhojiwa na kamati kuu pia kamati kuu ililazimika kubadili eneo la kuwahoji kutoka makao makuu ya chadema hadi kwenye hoteli ya kitalii ili kulinda usalama wao.!

Mtu ambaye ni msaliti unaweza kumbembeleza kwa kumwandikia barua mbili na hadi kuingia gharama za kukodi hoteli ili kumuhoji?

Ni vipi msaliti aruhusiwe kuandika barua ya kuomba radhi tu na atarudishiwa uanachama wake?

Mbona Zito Kabwe na Kitila Mkumbo wakati wanafukuzwa hawakupewa nafasi ya kuomba radhi na kurudishiwa uanachama wao?

Hapa kuna sinema inachezwa na ndani ya siku 30 tutaona matokeo yake, kama mtu alikuwa tayari kutengeneza igizo la kuangushwa na konyagi na kisha kusingizia wasiojulikana, hapa kuna mengi yanakuja.
Cha msingi kina Halima sio wanachama wa CHADEMA tena. Wewe andika kurasa nyingi kama za ilani ya CCM ila hazisaidii kitu. CCM toka lini mkawapenda kina halima? Inafikirisha kwa kweli

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wa CDM na wanachama wake Wana swaga za kihuni Sana.

Wanawachukulia hatua Kali wabunge wa viti maalamu kwa sababu ya kutoutambua uchaguzi wa 28Oct2020 halafu wanamuacha Mbunge wao wa Nkasi Aendelee na Ubunge wake kwa bendera hiyohiyo ya CDM ambayo inasema haiutambui uchaguzi.

Ama kweli leo ndo nimeamini nyumbu ni nyumbu tu hata uitoe Serengeti na kuipeleka USA itabaki kuwa nyumbu tu.
Hizi likes zimetoka kwa mapopoma wenzio! Kwani lengo la huo mkutano ulikuwa ni kuwajadili kina mdee au huyo mbunge? Nikikuita wewe ni takataka, punguani tena mpumbavu nitakuwa nimekosea? Suala la Aida bado halijajadiliwa kwa taarifa yako! MATAGA akili zenu zinakaa kwenye vinena au?

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Hizi likes zimetoka kwa mapopoma wenzio! Kwani lengo la huo mkutano ulikuwa ni kuwajadili kina mdee au huyo mbunge? Nikikuita wewe ni takataka, punguani tena mpumbavu nitakuwa nimekosea? Suala la Aida bado halijajadiliwa kwa taarifa yako! MATAGA akili zenu zinakaa kwenye vinena au?

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Ila wewe mwanamke wewe Yani Hadi likes za wanaume unazionea wivu..
Punguza gubu siyo nzuri.
 
Leo Chadema imetoa uamuzi wa kuwapa wabunge wake 19 wa viti maalum nafasi ya kuomba msamaha ili waendelee kuwa wanachama.

Katika tamko lao, hawajakaripia wala kujitenga na mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenan.

Hapo awali, Chadema ilitoa amri kwa Aida Khenan kutokushiriki Bunge. Hata hivyo, Aida alihudhuria Bunge, akaapishwa sambamba na wabunge wengine.

Leo, ilikuwa ni fursa kwa Chadema kutoa kauli juu ya Ubunge wa Aida iwapo ingekuwa haiutambui. Ukimya wa Kamati Kuu ya Chadema, umetuma ujumbe rasmi kuwa Chadema imelegeza msimamo wake juu ya mbunge huyo.

Kwahiyo, mahesabu ya wabunge ya Chadema mpaka sasa ni 20 (mmoja anatambuliwa, 19 wamepewa nafasi ya kuomba msamaha)
Acha uchonganishi, ulitaka wamjadili ili iweje? Mtu amechaguliwa kihalali, ulitaka wamvue uanachama?
 
Kwa hiyo hao 19 wakiomba msamaha ndiyo wanaendelea na ubunge au wanaomba msamaha na kujitoa ubunge?
Msamaha umekaa kisiasa;
1. Wamesema wamefanya jinai. Tangu lini jinai ikaombwa msamaha kwenye chama.
2. Wamesema wanapinga utaratibu wa kuwaapisha nje ya jengo la Bunge. Iwapo hawavitaki viti, kuna haja gani kupinga utaratibu uliotumika kuwaapisha?
3. Wamesema "wameazimia" kuwavua uanachama. Wamewavua uongozi lakini uanachama wameazimia kuwavua.
 
Kama mwawapenda sana wachukueni, halafu kwa mbinu za ki Ndugai/Mwambe, muwape tena ubunge. Kelele zenu sasa basi.
 
Msamaha umekaa kisiasa;
1. Wamesema wamefanya jinai. Tangu lini jinai ikaombwa msamaha kwenye chama.
2. Wamesema wanapinga utaratibu wa kuwaapisha nje ya jengo la Bunge. Iwapo hawavitaki viti, kuna haja gani kupinga utaratibu uliotumika kuwaapisha?
3. Wamesema "wameazimia" kuwavua uanachama. Wamewavua uongozi lakini uanachama wameazimia kuwavua.
Kwa hiyo wangeapishwa ndani ya bunge kusingekuwa na pingamizi?
 
According to statement ya Mbowe, YES. Maana alichopinga ni kuapishwa kwenye "garage".
Inawezekan akapinga kuapishwa kwenye garage na kuongelea hilo kwa sababu ndilo lililotokea, na hata wangeapishwa bungeni angepinga pia

Kupinga kuapishwa garage hakumaanishi kukubali kuapishwa bungeni.
 
Very possible. However, kwenye communication strategy inatoa ujumbe tofauti. Kama hawazitambui nafasi, swala la walipoapishiwa halikutakiwa kuwaingiza gharama Chadema. They are going to pay lawyers to pursue a legal fight about it.
 
Back
Top Bottom