Kamati Kuu (CCM) yawaonya wataka urais

Kamati Kuu (CCM) yawaonya wataka urais

Jazia majina yanayokosekana
Majina ya wajumbe wa kamati kuu ya CCM ni:

  1. JakayaKikwete – Mwenyekiti
  2. PhilipMangula – Makamu Mwenyekiti – Bara
  3. – Makamu Mwenyekiti- Zanzibar
  4. Abdulrahaman Kinana - Katibu mkuu
  5. Nchemba – Mwigulu – Naibu katibu mkuu –Bara
  6. – Naibu katibumkuu Zanzibar
  7. RaisShein - Rais wa Zanzibaranayetokana na CCM
  8. Nape - Katibu wa Itikadi naUenezi
  9. MamaMeghji - Katibu wa Uchumi na Fedha
  10. MamaMigiro - Katibu wa Siasa na Uhusianowa kimataifa
  11. – Katibu waorganizesheni
  12. MamaMakinda – Spika wa Bunge
  13. PanduKificho - Spika wa baraza laWawakilishi
  14. PindiChana
  15. AdamKimbisa
  16. WilliamLukuvi
  17. Dk.Emmanuel Nchimbi
  18. JerrySlaa
  19. Prof.Anna Tibaijuka
  20. StephenWassira
  21. ShamsiVuai Nahodha
  22. Dk.Hussein Mwinyi
  23. Prof.Makame Mbarawa Mnyaa
  24. Dk.Salim Ahmed Salim
  25. Dk.Maua Daftari
  26. SamiaSuluhu Hassan
  27. HadijaH. Aboud
  28. MamaSophia Simba - Mwenyekiti Jumuia ya Wanawake
  29. Sadifa Juma – Mwenyekiti Jumuia ya Vijana
  30. Bulembo - Mwenyekiti Jumuia ya wazazi
  31. -Mwenyekitiwa kamati ya Wabunge wa CCM Muungano
  32. -Katibu wakamati ya wabunge wa CCM – Muungano
  33. -Mwenyekiti wa kamati ya wabunge wa CCM – Baraza laWawakilishi
  34. – Katibu wawabunge wa CCM baraza la wawakilishi.
 
Tangu kuumbwa kwa dunia,haijawah kutokea miez 6 kabla ya uchaguzi ccm hawajajua nan mgombea uraisi...ni ishara tosha hali ni mbaya na ni dola inayoenda kuanguka.
CCM ipo kwenye mstari wa kifo .
 
....maanadiko yasema ili Tanzania iendelee kimaendeleo lazima ccm igawanyike.
 
Back
Top Bottom