Kamati Kuu CCM na Uongozi mpya, habari mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati Kuu CCM na Uongozi mpya, habari mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lokissa, Apr 10, 2011.

 1. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Katibu MKuu Wislon MUkama, Naibu wake Kinana,Katibu Itikadi na Uenezi Nape Mnauye na Katibu fedha na Uchumi ni Zakhia Meghi.

  Haya kazi ipo hapo sijui ndio wamejenga au kujibomoa zaidi????????
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,184
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  chama kimepona
   
 3. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,299
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  ni heri ya hili kuliko lile. bado wengine humo wanatakiwa nao wajiondoe wenyewe
   
 4. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,748
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hivi wazanzibar awawezi kuongoza nafasi kama hizi
   
 5. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kwa mtazamo wangu naona wamejibomoa zaidi
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,676
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  :yield:
  Nnape naona anaendelea kupoozwa na Mkulu baada ya kufanyiwa mbaya na Makamba....tuone je movie ya Nnape na Makamba ndio imeanza??

  Cha kwanza, mapandikizi ya Makamba ndani ya CCM yakae tayari maana mkuki unakuja na hapo ndipo mechi tamu inapoanza
   
 7. M

  Mabuya Member

  #7
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 19, 2008
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  anatakiwa wajivue gamba na mawaziri pia Ngeleja,Mwinyi,Sophia Simba..... watoke
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,449
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  yaani kama ni substitution basi hapa kocha kakosea.
   
 9. kure11

  kure11 Senior Member

  #9
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh sisemi:tape:
   
 10. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kaangalie hali Zanzibar kisha ndo utajua kama wanastahili au la!
   
 11. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 7,546
  Likes Received: 1,530
  Trophy Points: 280
  Yah! Endapo mafisadi wote nao wataenguliwa kwenye chama chao..la sivyo ni yale yale..sawa na kuchange housing afu simu bado mbovu.
   
 12. inols

  inols JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndugu watazamaji na wasikilizaji naona Kocha kaamua kufanya super sub ngoja tuone kama watarudisha magoli waliyofungwa na CHADEMA katika dakika hizi chache zilizobaki, kwa kweli wanatia huruma hii timu ya Chukua Chako Mapema 'CCM'.
   
 13. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 7,700
  Likes Received: 1,311
  Trophy Points: 280
  Tulitarajia Mwanamama safari hii. Haki sawa kwa wote.
   
 14. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,802
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ckubali, wameniacha! Ckubali
   
 15. t

  tumwe273us Member

  #15
  Apr 11, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijaona jipya kwa ccm hasa hy katibu mkuu huy mpya.Wilson mkama.bado sn hasa nikikumbuka alipokuwa katibu wizara ya afya kipindi cha mgomo wa madaktari.let wish to see changes.
   
 16. L

  Losemo Senior Member

  #16
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I think kuna matumaini kidoooogo. that is if wataendelea mbele kidogo na kuwatimua mafisadi hata kwenye ujumbe wa NEC. Let the mafisadi goooo. ndio chama kitatakata
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Haya bwana,

  Nadhani JK anahitji mtu wa kumweleza directly kama Makamba alivyoelezwa na Shy-Rose kuwa alikuwa ndo tatizo kubwa ndani ya CCM.

  Hawa hawawezi kitu kwa sababu tatizo lenyewe halijapata ufumbuzi. JK is the biggest liability kwa CCM!!
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Kwa nini JK anapenda sana kumbeba mama mkwe Zakhia Meghi?
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Mkuu hujui kwamba kutojua udhaifu wako ni injia ya kuelekewa kwenye umauti? Ni bahati mbaya sana kwamba JK anatafuta mchawi uvunguni wakati mchawi mwenyewe ni yeye. Naona jaribio la kuvua gamba limeishia kulikomaza na kuwa gamba gumu kama la kobe.

  Nitakuwa mtu wa mwisho kuaminishwa kuwa CCM inaweza kufufuka tena!
   
 20. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,011
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145

  kwa Nape - probably Yes. Mukama na Kinana...hata kwa kuwaona tu they don't share same ideology and way of thinking and executing oilicies. Kinana is too inteligent to be an assistant to Mukama.

  Zakia...???!!!!!!!!!!
   
Loading...