Haaa!? Umetisha sana. Ukiendelea na moyo huo utakuwa mbeba viatu wa Kiongozi wa Malaika Mbinguni.tii sheria bila shurti! nachukiaga napoonaga watu wanafanya makosa alafu wanabaki kulialia waonewe huruma
Unajua kitu ambacho watu wanashindwa elewa ni kua ukiongea kero yoyote unaokena unapinga ufalme uliopo...hv ni kwa sheria gani umepaki nje ya barabara hata pavement zake hujazigusa faini laki2 sasa ukigonga yale mawe so ndo watataifisha gari kabisa...hii sheria haipo wazi na ya kionevuHaaa!? Umetisha sana. Ukiendelea na moyo huo utakuwa mbeba viatu wa Kiongozi wa Malaika Mbinguni.
Wapi huko!?Nmeingia kwe kasherehe ka ndugu yangu nikaacha kamkweche kangu nje parking ya ukumbi mbali na Barabara.
Wamekuja vijana wa TANROAD hawasikii la muadhini wala nini, wanasema nimepaki kwenye hifadhi ya barabara faini laki 200, jamani tuoneane huruma, kweli kwa uchumi huu hii fedha ni ya kutafuta mwezi nzima.
Sheria zipi? Sikatai ila zisiwe sheria za kuumizana maana badala ya kufundisha zinaleta chuki tu kati ya wananchi na haya mashirika.
Naomba waliangalie hili na kutupa mwelekezo badala ya kutengenezeana mazingira ya kuumizana.
Ungesema baiskeli ungehurumiwa, ukitamka una gari, nyumba na fedha UNACHUKIWA BALAA..ONLY IN TZAh ah Mungu akuongezee moyo huo huo ndugu yangu karma itakapokugeukia....Mark my word
Najiuliza sana kuwa awamu hii viongoziSheria ni zetu na Barabara ni zetu pia.
Vyote ni vya kwetu, tusianzishe ili kukomoana.
Wewe utoe laki 2 kirahisi rahisi tu? Unaitoa fungu gani?
Hebu Tanroads kuweni na akili, faini hata ingekua elfu 20 inatosha.
Mnazidi kuichonganisha serikali kwa wananchi jamani. Mnajenga chuki nyie mlopewa mamlaka tumieni mamlaka yenu vizuri
Halafu kwann nasema Imekaa kiuonevu yaani wao ndo wanakupangia sehem wanayosema umeingilia b arabara...mita 60 sio mchezo unayejihisi upo safe jiandae kuumiaSheria ni zetu na Barabara ni zetu pia.
Vyote ni vya kwetu, tusianzishe ili kukomoana.
Wewe utoe laki 2 kirahisi rahisi tu? Unaitoa fungu gani?
Hebu Tanroads kuweni na akili, faini hata ingekua elfu 20 inatosha.
Mnazidi kuichonganisha serikali kwa wananchi jamani. Mnajenga chuki nyie mlopewa mamlaka tumieni mamlaka yenu vizuri
Si walishakawatazwa hao wamerudi tena?Nmeingia kwe kasherehe ka ndugu yangu nikaacha kamkweche kangu nje parking ya ukumbi mbali na Barabara.