Kamata kamata ya Mateja Dar asubuhi ya leo

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,499
86,037
Wapendwa nimeona niwa-alert kwa wale wanaopenda kugonga gahawa asubuhi asubuhi,
Nilikua manyanya pale, Vijana wote wapiga debe na hata wale waliokuwa wanapata gahawa ili kusubiri Usafiri au kuvuta pumzi kidogo wamekamatwa na ukizingatia leo ni Ijumaa ina maana kutoka huko ni Jumatatu.

Hata hivyo, binafsi sijaona umuhimu wa kuwakamata hawa wanaotumia Madawa ya kulevya huku ukiwaacha Wauzaji. Kwanini wasingekamata wauzaji ili hawa vijana wakose madawa? Sijui
 
Wote wakamatwe, watumiaji na wauzaji madawa. Ila polisi wasiitumie hiyo ishu kama dili ya kupatia hela manake Mkulo bado hajawatemeshea cheche (mshahara) leo tar 24.
 
Uko sahihi kabisa, kukurupuka ni jadi yetu, halafu wakiwekwa rumande wanaenda kupata government hospitality at the expence of the tax payer.
 
Yeah, umkamate kuwe na mantiki, ni kweli wanakera sana ila umeeandaje mpango wa kuwakamta au tuseme unawakamata ili iweje wakati source hujaidhibiti?? Naona kama maigizo flani hivi
 
Hii wanamfurahisha nani kama wanatokajumatatu
hiyo picha wampe kanumba atengeneze -kamatakamata ya mateja
 
Wapendwa nimeona niwa-alert kwa wale wanaopenda kugonga gahawa asubuhi asubuhi,
Nilikua manyanya pale, Vijana wote wapiga debe na hata wale waliokuwa wanapata gahawa ili kusubiri Usafiri au kuvuta pumzi kidogo wamekamatwa na ukizingatia leo ni Ijumaa ina maana kutoka huko ni Jumatatu.

Hata hivyo, binafsi sijaona umuhimu wa kuwakamata hawa wanaotumia Madawa ya kulevya huku ukiwaacha Wauzaji. Kwanini wasingekamata wauzaji ili hawa vijana wakose madawa? Sijui

Wakiwa mahabusu wataitia sana hasara serikali matumizi kwa mahabusu mmoja si chini ya 2500 kwa siku
 
Wapendwa nimeona niwa-alert kwa wale wanaopenda kugonga gahawa asubuhi asubuhi,
Nilikua manyanya pale, Vijana wote wapiga debe na hata wale waliokuwa wanapata gahawa ili kusubiri Usafiri au kuvuta pumzi kidogo wamekamatwa na ukizingatia leo ni Ijumaa ina maana kutoka huko ni Jumatatu.

Hata hivyo, binafsi sijaona umuhimu wa kuwakamata hawa wanaotumia Madawa ya kulevya huku ukiwaacha Wauzaji. Kwanini wasingekamata wauzaji ili hawa vijana wakose madawa? Sijui

Ukitaka uwakamate hao sio asubuhi maana wanakuwa bado hawajapata, hao kuanzia mchana ni kuokota tu kama kuku wa kisasa!!!!!
 
Wote wakamatwe, watumiaji na wauzaji madawa. Ila polisi wasiitumie hiyo ishu kama dili ya kupatia hela manake Mkulo bado hajawatemeshea cheche (mshahara) leo tar 24.
Kama kweli Mkiulo hajawalipa basi huo ni mradi wa kujipatia senti za kujiskuma hadi wapate mshahara
 
Kama nia ni kupiga vita Matumizi ya madawa ya kulevya, Basi wapo wrong kwa sababu waliostahili kuwakama kwanza ni wauzaji ambao wanawajua kwa majina na maeneo wanayofanyika hizo biashara.
 
yes, otherwise ni kuwaonelea tu
 
Kama nia ni kupiga vita Matumizi ya madawa ya kulevya, Basi wapo wrong kwa sababu waliostahili kuwakama kwanza ni wauzaji ambao wanawajua kwa majina na maeneo wanayofanyika hizo biashara.

Actually hawa sio wakosaji hata kidogo, bali ni wagonjwa. Hii sio issue ya polisi bali ni issue ya Muhimbili more so idara ya magonjwa ya akili.

Kama polosi wanajinvolve kwenye hili basi mahali pa kuwapeleka ni kwenye counselling na sio mahabusu.
 
wakikaa ndani sana wauzaji huenda kuwawekea dhamana sababu biashara haziendi ishatokea sana Arusha mapusha ndo huwadhamini mateja
 
Wote wakamatwe, watumiaji na wauzaji madawa. Ila polisi wasiitumie hiyo ishu kama dili ya kupatia hela manake Mkulo bado hajawatemeshea cheche (mshahara) leo tar 24.
Ndugu yangu ume2mia source gani? Polisi wote wamepata mishahara tangu tarehe 17 ijumaa ya wiki iliyopita...
 
He heee, tunazipa ufa kwa kutumia big-gee!!!!!! hao wanastahili kupelekwa Rehab, na sio ya lupangoni.
 
Wapendwa nimeona niwa-alert kwa wale wanaopenda kugonga gahawa asubuhi asubuhi,
Nilikua manyanya pale, Vijana wote wapiga debe na hata wale waliokuwa wanapata gahawa ili kusubiri Usafiri au kuvuta pumzi kidogo wamekamatwa na ukizingatia leo ni Ijumaa ina maana kutoka huko ni Jumatatu.

Hata hivyo, binafsi sijaona umuhimu wa kuwakamata hawa wanaotumia Madawa ya kulevya huku ukiwaacha Wauzaji. Kwanini wasingekamata wauzaji ili hawa vijana wakose madawa? Sijui

Nimekusoma mkuu. Siku zote ukiwa huna kitu mfukoni ndio utapata tabueye kaka sana maishani. Muuzaji yeye kalala. Kazi kwako mtumiaji.
 
eti kisa maimatha kaibiwa taa za nyumban kwake sasa msako ndo umeanzia kwa manyanya pale ukizubaa wamekukwapua pale utaenda kujielezea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom