Kamanda wa anga pole bwana, ndio siasa hiyo.

Kamanda wa anga pole bwana, ndio siasa hiyo.

majungu@unafiki-chuki binafsi.roho mbaya zitakuuwa.
 
Mbona Arusha hamtupatii picha za mikutano ya Lema? Na nyie cdm tupieni picha kama mbowe kahutubia miti au watu?
 
ina maana jamaa kapigwa mswaki?? au ndio hii move mpya ya kuifanya JF kuwa unreliable source ya info kwa kuleta mafamba?

Huu mkakati unataka kufanikiwa aisee!
Siku hizi watu hawaogopi kuleta uongo kama huu! zamani dk chache ukweli umejulikana thread inapotea na onyo juu!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema chama chake kinaunga mkono rasimu ya Katiba mpya iliyotolewa na Jaji Joseph Warioba.

Mwenyekiti huyo alikuwa akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi wa jiji la Mbeya katika mkutano wa kumnadi mgombea udiwani wa kata ya Iyela kwa tiketi ya Chadema Charles Nkelwa.

Kiongozi huyo wa upinzani bungeni amesema sababu kubwa ya kuunga mkono rasimu hiyo ni kwamba mambo mengi yaliyoorodheshwai na chama hicho yamekubaliwa.

Mbowe amesema jambo kubwa lililofanyiwa kazi ni kurejeshwa kwa serikali ya Tanganyika.Mbowe amesema amesikitika kuona baadhi ya wanaCCM wakiipinga serikali ya Tanganyika na kung'ang'ania serikali mbili na kudai watu hao ni wanafiki wanaopaswa kupuuzwa na wananchi.

Kauli ya Mbowe imekuja wakati ambapo mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Dr Kitila Mkumbo alinukuliwa kusema rasimu mpya ya Katiba iliyotolewa na Warioba ni bora mara mia mbili akilinganisha na katiba ya sasa.

Mara baada ya mkutano huo maelfu ya watu walitanda barabarani kumsindikiza kiongozi huyo anayependwa sana jijini Mbeya.

Source:Mwananchi Jumatatu
HII NDIYO BIGGER PICTURE
 
Ingawa zilipigwa 'promosheni' za muda mrefu huko kata ya Iyela jijini Mbeya kuwa kutakuwa na mkutano wa kamanda wa anga, bwana Mbowe..!!

Lakini leo ilikuwa ni aibu kubwa kwa Mbowe kwani alionekana kuhutubia miti huku watu wengi wakionekana kuendelea na shughuli zao kama hakuna kinacho endelea.

Kamanda wa anga kwa kujikaza na aibu hiyo, aliendelea tu kuhutubia miti huku watu wakiwa wachache, pia sura yake haikuwa yenye furaha kabisa kutokana na mwitikio mdogo wa watu kwenye mkutano wake, aidha, ilikuwa ni fedhea kubwa kwa bwana Mbowe.

Baada ya kumaliza kupiga makelele yake jukwaani alielekea ofisi ya kata ya Iyela huku msafara wake ukiwa umetawaliwa na watoto wa shule ya msingi ambao hawakuwa wanajua chochote.

Pole kamanda wa anga.

Mbona hii habari ya uongo! Haitakiwi kuendelea tena kuwepo! Magazeti ya leo yameiripoti pamoja na picha maelfu wakisukuma gari ya Mbowe!
 
Hao watoto wa shule za msingi walikuwa wanaenda shule Jumapili???
Watu wengine hata akili za funza kula kinyesi hawana itakuwa akili ya mende kujificha gizani?
Ta fa ka ri
 
HAMY-D Nafikiri buku saba za Lumumba ulichukua isivyo halali jana,warudishie manake hapa nimekutana na Gazeti la Mwananchi la leo tayari limekuumbua.Magamba mna kazi nzito sana kuelekea 2015 na sipati picha pale uchaguzi wa 2015 utakaporudiwa kati ya wagombea wawili yaani CHADEMA VS CCM!!
 
Kuna njia 2 tu za ku-prove ukweli, moja kwa aliyesema kuthibitisha ama kwa alityesemwa kuleta ushahidi wa ukweli kupinga ule uongo wa awali...sasa wa Chadema Iyela watuletee hapa ushahidi
Umepotoka sana. wewe uko bungeni. hivi ukileta hoja bungeni ambayo ina utata, spika huwa anakuambiaje? Ni wajibu wa spika kuleta ushahidi?
 
Hao watoto wa shule za msingi walikuwa wanaenda shule Jumapili???
Watu wengine hata akili za funza kula kinyesi hawana itakuwa akili ya mende kujificha gizani?
Ta fa ka ri

Wewe kweli utakuwa unatumia kichwa kufugua tu nywele ila ubongo wako haushughulishi. Hivi kusema mtoto wa shule ya msingi ni lazima awe na full uniform, kama akiwa ameshindia na bukta au sketi ya shule yake ya msingi anakuwa sio mwanafunzi wa shule ya msingi?

Ishu ni ndogo tu, MBEYA WAMEWACHOKA.
 
Afu utakuta libinti kama hili li hamy-d bado halijala ban
 
Afadhari LAKINI kwa sababu watu wengi waliimpuuza MBOWE ILA MLETA MADA ALIKAA AKAMSIKILIZA HADI MKUTANO UKAISHA! Na kwa jinsi nnavowajua magamba,kama KAMANDA angalikosa watu, picha zingalijaa humu!Kutokuweka picha kunamuonesha mleta mada alivyoshikwa na kihoro! Pole sana HAMY-D!
 
Khaa!! hili wazo? Habari? au ndoto?? weka picha basi za Mheshimiwa Mbowe tukioni
 
Nasikia Mtela ameishapita huko sasa ulitegemea nini
Watu wameisha jitambua,

Ukali wa viroba hautakaa milele vichwani mwa makamanda, taratibu wanaanza kujitambua

So ccm ikianguka eneo hilo tumlaumu Mtela Mwampamba kama mtakavyomlaumu Nchemba na ushindi wa chadema arusha??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Akiri zako hazikutoshi, km ulidhani post hii itayafurahisha magamba umenoa. huwezi kuweka post hii usiweke ushahidi wa picha. Please go back to school.
 
Kelele za magamba ya CCM hazina maana yoyote kwa wananchi wa Mbeya mjini.
Kata ya Iyela inakwenda CHADEMA iwe isiwe.
Wananchi kwa sasa wanasubiri siku ifike, Diwani wao mtarajiwa wa CHADEMA atangazwe mshindi.

CHADEMA yatosha!!!
 
Back
Top Bottom