Kuna njia 2 tu za ku-prove ukweli, moja kwa aliyesema kuthibitisha ama kwa alityesemwa kuleta ushahidi wa ukweli kupinga ule uongo wa awali...sasa wa Chadema Iyela watuletee hapa ushahidiulivyo mjinga habari kama hii unaileta bila ushahidi wa picha.
Nasikia Mtela ameishapita huko sasa ulitegemea nini
Watu wameisha jitambua,
Ukali wa viroba hautakaa milele vichwani mwa makamanda, taratibu wanaanza kujitambua
ACHA KUTUMIKA, WATANZANIA WA LEO C WALE 2005 NA 2015.HUU NI WAKATI WA DIGITAL ,YAANI CHADEMA NI DIGITAL NA MACCM NI ANALOGIA.MWISHO YA YOTE UTAPATA Aibu.Ingawa zilipigwa 'promosheni' za muda mrefu huko kata ya Iyela jijini Mbeya kuwa kutakuwa na mkutano wa kamanda wa anga, bwana Mbowe..!!
Lakini leo ilikuwa ni aibu kubwa kwa Mbowe kwani alionekana kuhutubia miti huku watu wengi wakionekana kuendelea na shughuli zao kama hakuna kinacho endelea.
Kamanda wa anga kwa kujikaza na aibu hiyo, aliendelea tu kuhutubia miti huku watu wakiwa wachache, pia sura yake haikuwa yenye furaha kabisa kutokana na mwitikio mdogo wa watu kwenye mkutano wake, aidha, ilikuwa ni fedhea kubwa kwa bwana Mbowe.
Baada ya kumaliza kupiga makelele yake jukwaani alielekea ofisi ya kata ya Iyela huku msafara wake ukiwa umetawaliwa na watoto wa shule ya msingi ambao hawakuwa wanajua chochote.
Pole kamanda wa anga.
Kuna njia 2 tu za ku-prove ukweli, moja kwa aliyesema kuthibitisha ama kwa alityesemwa kuleta ushahidi wa ukweli kupinga ule uongo wa awali...sasa wa Chadema Iyela watuletee hapa ushahidi
Kuna njia 2 tu za ku-prove ukweli, moja kwa aliyesema kuthibitisha ama kwa alityesemwa kuleta ushahidi wa ukweli kupinga ule uongo wa awali...sasa wa Chadema Iyela watuletee hapa ushahidi
Mh. MP, thread aina hii siyo saizi yako, waachie hao vijana wanaohangaikia buku seven ndo washughulike nazo. Mtu km wewe unapowashabikia halafu baadae ushahidi ukaletwa na thread kuonekana ni ya uzushi, itakushushia heshima ya uheshimiwa wako bure. Wewe ni mtu wa kujadili hoja, siyo vioja au udaku.
Sitashangaa baadae ukija na apology, maana ndo zako kukimbiiliia uomba misamaha sasa hv hatutauacha tutakuchapa bakora ujifunze! wi gita nyoni!Nasikia Mtela ameishapita huko sasa ulitegemea nini
Watu wameisha jitambua,
Ukali wa viroba hautakaa milele vichwani mwa makamanda, taratibu wanaanza kujitambua
Watu wengine mnachekesha sana hapo juu umeweka thread ya kumsifia Mwigulu kuwa ulimpa kura yako 2010 na ukamwahidi 2015 kisha unakuja na hadaa zako kuwa ulikuwa kwenye mkutano wa Mbowe mbeya huoni kuwa ukiwa mwongo usiwe msahaulifu? Hata kama ndiyo wale vijana wa ccm mliopewa jukumu la kujibu utumbo kwenye mitandao ya jamii, basi unahitaji mafunzo zaidi. Make threads zako zinakuanika kwamba wewe ni mwongo mkubwa na huwezi kuaminika tena humu mtandaoni km una ujasiri basi weka picha za kutengeneza toka kwa Mwigulu. Kama wewe ni mpiga kura halali wa singida basi utakuwa unaishi huko na km umehama basi utakuwa na mapenzi makubwa kusaga nauli kwenda kumpigia mtukana matusi ya nguoni mwigulu. Na utueleze sasa sababu zilizokufikisha mbeya walau uongo wako uwe na mashiko.Ingawa zilipigwa 'promosheni' za muda mrefu huko kata ya Iyela jijini Mbeya kuwa kutakuwa na mkutano wa kamanda wa anga, bwana Mbowe..!!
Lakini leo ilikuwa ni aibu kubwa kwa Mbowe kwani alionekana kuhutubia miti huku watu wengi wakionekana kuendelea na shughuli zao kama hakuna kinacho endelea.
Kamanda wa anga kwa kujikaza na aibu hiyo, aliendelea tu kuhutubia miti huku watu wakiwa wachache, pia sura yake haikuwa yenye furaha kabisa kutokana na mwitikio mdogo wa watu kwenye mkutano wake, aidha, ilikuwa ni fedhea kubwa kwa bwana Mbowe.
Baada ya kumaliza kupiga makelele yake jukwaani alielekea ofisi ya kata ya Iyela huku msafara wake ukiwa umetawaliwa na watoto wa shule ya msingi ambao hawakuwa wanajua chochote.
Pole kamanda wa anga.
Wewe una kichwa kigumu kweli, hivi kuna sehemu mhe. MP ametetea kuwa huu uzi ni wa kweli? sasa kihere here chako kinatoka wapi?
Mhe. Kigwangwala amesema kuhusu 'uthibitisho', sasa wewe na pua lako unaandika nini?
Kweli Mtela na Shonza ni majembe, yani wameua kabisa u-CHADEMA huko Mbeya.
Naskia idadi kubwa waliohudhuria walikuwa wamegonga viroba