Kamanda wa anga pole bwana, ndio siasa hiyo.

Kamanda wa anga pole bwana, ndio siasa hiyo.


Mh. MP, thread aina hii siyo saizi yako, waachie hao vijana wanaohangaikia buku seven ndo washughulike nazo. Mtu km wewe unapowashabikia halafu baadae ushahidi ukaletwa na thread kuonekana ni ya uzushi, itakushushia heshima ya uheshimiwa wako bure. Wewe ni mtu wa kujadili hoja, siyo vioja au udaku.
Mkuu punguza ukali kwa huyu Msaidizi wa Prezdaa kule Tokyo, inawezekana na yeye hajui alifanyalo ni ushabiki wake tu wa kitoto ndo umemsukuma kujadili UDAKU badala ya kujikita kwenye Post zinazohitaji wachambuzi mahiri. Ila hizi za uso ulizompatia nafikiri zitamrudisha kwenye mstari
 
Dah nape ana kaz,7! Naona unachukua buku saba kiulain, na kwa taarifa yko ccm hawana chao iyela...! CHADEMA YATOSHA, CCM INATUPOTOSHA NA TUMESHAICHOKA...!
 
Na Jana SHONZA amekiri mwenyewe kwenye Jukwaa la Magamba huku Kaloleni kuwa MIFISADI humu nchini imo ndani ya CCM
 
Kweli Mtela na Shonza ni majembe, yani wameua kabisa u-CHADEMA huko Mbeya.

hao walivyokuwa cdm walikuwa butu kutokana na kutumika, naona sasa hivi vijana wa UVCCM hawatumiwi tena, zaidi ya hao wawili. ila ungeweka hizo picha za miti tuone, maana kumbuka mada kama hizi ili uaminike weka picha la sivyo itaonekanana yaleyale buku 7 kazini.
 
we mbea na mzushi mm nilikuwepo watu shazi mbona mnapenda kula hela za nape bure njaa itawaua mwaka huu badala ya kutengeneza barabara na kununua madawati mmekalia cdm mboye slaa kwani na nyinyi ni wapinzani?

Ndivyo walivyo hawa njaa kali... Hawajali chochote matumbo yao yakiwa empty.
 
Kuna njia 2 tu za ku-prove ukweli, moja kwa aliyesema kuthibitisha ama kwa alityesemwa kuleta ushahidi wa ukweli kupinga ule uongo wa awali...sasa wa Chadema Iyela watuletee hapa ushahidi
Pimbi ndio wanatafuta ushahidi. Kwani aliyeleta ameshindwa nini kuleta ushahidi. Halafu mtu kama wewe kujiingiza kwenye mjadala kama huu unautia mashaka uwezo wako wakufikiri.

Mbona akina Mwigulu, Mtela Shonza etc hatuwapi pole? Wanafanya wajibu wao, waacheni wengine na majukumu yao.
 
Kuna njia 2 tu za ku-prove ukweli, moja kwa aliyesema kuthibitisha ama kwa alityesemwa kuleta ushahidi wa ukweli kupinga ule uongo wa awali...sasa wa Chadema Iyela watuletee hapa ushahidi

Huo Mkutano wa Mbowe kata ya Iyela ,kila kilichoendelea kimewekwa hapahapa , nyomi ya kufa mtu ! Hata wewe ukiitafuta utaipata , huyu mleta uzi huu amelenga POSHO tu , hakuna ukweli , inasemekana Lumumba hawaangalii ukweli , unalipwa kwa chochote ulichopost hata kama cha uongo .
 
Baada ya kujiridhisha bila shaka yoyote kwamba Ndugu HAMY - D umeleta habari ya uongo kwenye jukwaa hili , basi kuanzia leo na hasa muda huu , NIMEKUDHARAU RASMI ama kuliko ulivyowahi kudharauliwa tangu Uzaliwe ! Na AIBU KUU IWE JUU YA KICHWA CHAKO ! SHAME ON YOU !
 
Back
Top Bottom