Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,919
- 7,771
Kweli huyo"mungu" wa dar "ambaliki"!Wewe jamaa nakuamini sanaa mungu akubaliki sana
Kweli huyo"mungu" wa dar "ambaliki"!Wewe jamaa nakuamini sanaa mungu akubaliki sana
Ndo wameambiwa wakiwafunga Chadema ndo viwanda vitakuja?
Wamchafue mbowe au chadema it's now too late. Mbegu ya kufungua ufahamu wa wabongo ilishapandwa na wala haitakauka kamwe. Itakua na kukua mpk wakati wa ukombozi wa Bwana wa mabwana utakapofika kwa Musa kutumwa kutoka kwenye jumba la mfalme. Na huyo Musa ninamwona ktk ulimwengu wa rohoSirro anatumika vibaya...Hii inaonyesha dhahiri Jeshi letu la Polis linavyo kosa weledi. hapo ni dhahiri Sirro anatumika kumchafuwa Mbowe.
Sirro Umeshindwa kumpigia Mbowe simu? au kumwandikia barua? umeshindwa kuwasiliana na Ofisi ya Bunge? au ofisi yake kule Hali..??
je kama Mbowe yupo nnje ya nnch au yupo busy hakuweza hajakuona kwenye TV ukimtaka aripoti kwako?
je watuhumiwa wengine ndivyo mnavyo waitaga polis?
pia napata ukakasi baada ya Mbowe kujisalimisha nini kitatokea....maana Club wanayo singizia ilisha fungwa....usumbufu atakao fanyiwa mbowe pamoja na udhalilishaji hii itaonyesha kabisa Visasi vinalipwa Wazi.
Kikubwa na kinacho nisikitisha kwa sasa ni wanaume wengi sana kuwa na tabia za wanawake sijui hali hii inaashiria nini katika taifa hili la viwanda. Mh. Rais anawatu kweli wanaosaidiana naye kufanikisha hili kweli??sijui!!!Akitoka mafichoni itajulikana.lakini mpaka sasa baada ya kuzima simu na kujificha ,amekiri kosa
Issue ni procedure. Halafu sahihisha kidhungu au una PhD nini?unajua mambo mengine ya nchi hii hayana logic MTU anaitwa kituo cha polisi anakwepa. Kama MTU huna kosa kuna haja gani kukwepa kwepa mpaka uonekane kwenye video unavutwa vutwa ndo uonekane jasiri. It is so shame kwa wapinzan.
unajua mambo mengine ya nchi hii hayana logic MTU anaitwa kituo cha polisi anakwepa. Kama MTU huna kosa kuna haja gani kukwepa kwepa mpaka uonekane kwenye video unavutwa vutwa ndo uonekane jasiri. It is so shame kwa wapinzan.
Kikubwa na kinacho nisikitisha kwa sasa ni wanaume wengi sana kuwa na tabia za wanawake sijui hali hii inaashiria nini katika taifa hili la viwanda. Mh. Rais anawatu kweli wanaosaidiana naye kufanikisha hili kweli??sijui!!! Kwa sahuri fuatilien matukio pande zote ili mtoshe kwenye hoja ukiwa shabiki wa habari za upande mmoja halafu unataka kujenga hoja za kijamii basi kwa hakika huna sifa za kujenga hoja za kijamii bali unasifa za utetezi wa upamde wako.Ni kweli,ila mwisho ya yote ni baada ya kamanda kutoka mafichoni.Najua utahamisha goal tena
Na kuna lile sakata la hoteli yake ile nyingine ya kule kwao Moshi kule (Machame) nasikia na yenyewe inaliwa hesabu lakini hadi kilimo chake cha umwagiliaji nacho kimepigwa stop; Anyway ndio style yetu ya kuondoa umasikini hiyo. Mdogo mdogo tutafika tu.Bilicanas ilishavunjwa sasa wanaenda kumuulizia nini??
Na kuna lile sakata la hoteli yake ile nyingine ya kule kwao Moshi kule (Machame) nasikia na yenyewe inaliwa hesabu lakini hadi kilimo chake cha umwagiliaji nacho kimepigwa stop; Anyway ndio style yetu ya kuondoa umasikini hiyo. Mdogo mdogo tutafika tu.
Unaelewa maana sahihi ya kujificha? kwanin asiende polisi mwenyewe kama hana hatia? Maana sahihi ya kujificha lazima utafutwe so kubali kataa Mbowe alijificha.Kikubwa na kinacho nisikitisha kwa sasa ni wanaume wengi sana kuwa na tabia za wanawake sijui hali hii inaashiria nini katika taifa hili la viwanda. Mh. Rais anawatu kweli wanaosaidiana naye kufanikisha hili kweli??sijui!!! Kwa sahuri fuatilien matukio pande zote ili mtoshe kwenye hoja ukiwa shabiki wa habari za upande mmoja halafu unataka kujenga hoja za kijamii basi kwa hakika huna sifa za kujenga hoja za kijamii bali unasifa za utetezi wa upamde wako.
Swali: unaweza kutusaidia ni wapi mbowe alipo jificha??
Wanataka kumpiga search kiulaini.Kunatumika nguvu kubwa ya maneno na matendo kuhusu kutaka kumkamata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe. Mbowe alipotajwa na Makonda na kuitwa Central Police,alikosoa uhalali wa kutajwa na kuitwa kwake kule Dodoma. Hakwenda.
Akataka utaratibu wa kisheria ufuatwe. Utaratibu wenyewe ni mwepesi tu,ni kuandika wito wa kumwita kwake na kumfikishia. Basi. Wapi pagumu katika utaratibu huo? Mambo ya kumwita mtanzania kupitia runinga na kumwaga mikwara ya kutosha na kutisha si madogo.
Hakuna anayepinga mtanzania au mgeni yeyote kukamatwa au kuitwa na kuhojiwa. Kila mmoja wetu anatamani utaratibu ufuate. Kwanini media itumike hadi kufunika utaratibu? Kwani,kuna ajenda gani dhidi ya Mbowe wa CHADEMA? Kadiri mikwara inavyozidi ndivyo inference ya kwamba hakuna jema inavyopata mshiko.
Mwafaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Unaelewa maana sahihi ya kujificha? kwanin asiende polisi mwenyewe kama hana hatia? Maana sahihi ya kujificha lazima utafutwe so kubali kataa Mbowe alijificha.
Tayari kanyakwa
Bavicha mpaka mnyooke...Kunatumika nguvu kubwa ya maneno na matendo kuhusu kutaka kumkamata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe. Mbowe alipotajwa na Makonda na kuitwa Central Police,alikosoa uhalali wa kutajwa na kuitwa kwake kule Dodoma. Hakwenda.
Akataka utaratibu wa kisheria ufuatwe. Utaratibu wenyewe ni mwepesi tu,ni kuandika wito wa kumwita kwake na kumfikishia. Basi. Wapi pagumu katika utaratibu huo? Mambo ya kumwita mtanzania kupitia runinga na kumwaga mikwara ya kutosha na kutisha si madogo.
Hakuna anayepinga mtanzania au mgeni yeyote kukamatwa au kuitwa na kuhojiwa. Kila mmoja wetu anatamani utaratibu ufuate. Kwanini media itumike hadi kufunika utaratibu? Kwani,kuna ajenda gani dhidi ya Mbowe wa CHADEMA? Kadiri mikwara inavyozidi ndivyo inference ya kwamba hakuna jema inavyopata mshiko.
Mwafaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Wakati Watanzania wakijiuliza ya Afande Siro pia wanajiuliza ni kwa nini Mbowe ajifiche ili taratibu za kumkamata zigonge mwamba. Yaani hauko popote si ofisini wala nyumbani wala kanisani na simu umezima hizo taratibu za summons zitafanyaje kazi?Kunatumika nguvu kubwa ya maneno na matendo kuhusu kutaka kumkamata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe. Mbowe alipotajwa na Makonda na kuitwa Central Police,alikosoa uhalali wa kutajwa na kuitwa kwake kule Dodoma. Hakwenda.
Akataka utaratibu wa kisheria ufuatwe. Utaratibu wenyewe ni mwepesi tu,ni kuandika wito wa kumwita kwake na kumfikishia. Basi. Wapi pagumu katika utaratibu huo? Mambo ya kumwita mtanzania kupitia runinga na kumwaga mikwara ya kutosha na kutisha si madogo.
Hakuna anayepinga mtanzania au mgeni yeyote kukamatwa au kuitwa na kuhojiwa. Kila mmoja wetu anatamani utaratibu ufuate. Kwanini media itumike hadi kufunika utaratibu? Kwani,kuna ajenda gani dhidi ya Mbowe wa CHADEMA? Kadiri mikwara inavyozidi ndivyo inference ya kwamba hakuna jema inavyopata mshiko.
Mwafaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hujui kitu mkuu wewe ni shabiki tuu!! Na mbeambea , hebu fuatilia taarifa vyema kwa pamde zote then tumia akili yako ndogo hiyohiyo ku balance mzani kwanza na pia tafuta ujue tafsiri halisi ya kujificha halafu uje utuamni kama mbnowe alitimiza vigezo vya kujificha huko ,inaonekana shule nalo ni tatizo kwako sio!!Unaelewa maana sahihi ya kujificha? kwanin asiende polisi mwenyewe kama hana hatia? Maana sahihi ya kujificha lazima utafutwe so kubali kataa Mbowe alijificha.