Kamanda Sirro, kuna ajenda gani dhidi ya Mbowe?

Vipi na yale makampuni ya mafuta yaliyoandikwa yanaingiza unga kwenye kuagiza mafuta? vituo vyao vimefungiwa?
Kama wanaingiza unga kwa kutumia meli,je hao na kina Manji na Wema aliyekamatwa na msokoto mmoja kwa matumizi,wapi hatari?
Na zile kumbi za starehe vp wamelipoti au kwa mbowe k ndio kiko kikubwa na kwa mbaaaaaali na mwona kasimu anapingana na ule utaratibu Wa madereva anapinga watu kutangazwa na vyombo vya habari
 
Kunatumika nguvu kubwa ya maneno na matendo kuhusu kutaka kumkamata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe. Mbowe alipotajwa na Makonda na kuitwa Central Police,alikosoa uhalali wa kutajwa na kuitwa kwake kule Dodoma. Hakwenda.

Akataka utaratibu wa kisheria ufuatwe. Utaratibu wenyewe ni mwepesi tu,ni kuandika wito wa kumwita kwake na kumfikishia. Basi. Wapi pagumu katika utaratibu huo? Mambo ya kumwita mtanzania kupitia runinga na kumwaga mikwara ya kutosha na kutisha si madogo.

Hakuna anayepinga mtanzania au mgeni yeyote kukamatwa au kuitwa na kuhojiwa. Kila mmoja wetu anatamani utaratibu ufuate. Kwanini media itumike hadi kufunika utaratibu? Kwani,kuna ajenda gani dhidi ya Mbowe wa CHADEMA? Kadiri mikwara inavyozidi ndivyo inference ya kwamba hakuna jema inavyopata mshiko.

Mwafaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Pengine kuna nia mbaya/ovu nyuma yake, kwamba kwanza tengeneza sintofahamu ya kutosha kupitia media ili akifika/fikishwa kituoni majibu ya mkemia mkuu yawe tayari kuthibitisha kuwa ni chanya (bila kujali alikunywa kiroba, valium, heroin, bangi nk)! Mwisho wake sauti itasikika mpaka mwisho wa dunia kuwa kumbe "kaka Mbowe teja"!!! Mpaka aje kujisafisha na uchaguzi 2020 utakuwa ulishapita kitambooooo!
 
Uko sahihi kabisa,ndiyo sababu sioni sababu Sirro kukazania hilo wakati haliko mikononi mwake tena.Kama hataki kwenda jina apeleke kwa Siang'a,ninachojua Siang'a anawajua watu wanaojihusisha na madawa.
 
Akitoka mafichoni itajulikana.lakini mpaka sasa baada ya kuzima simu na kujificha ,amekiri kosa
Mahakama ya Lumumba. Si ajabu hilo.

Kama kuna kosa inashindikana nini kumwandikia hilo kosa akahojiwe nalo kwa utaratibu wa kisheria?

Ebu mshauri Makonda aende akahojiwe bungeni kwa Azimio la bungee
 
Kunatumika nguvu kubwa ya maneno na matendo kuhusu kutaka kumkamata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe. Mbowe alipotajwa na Makonda na kuitwa Central Police,alikosoa uhalali wa kutajwa na kuitwa kwake kule Dodoma. Hakwenda.

Akataka utaratibu wa kisheria ufuatwe. Utaratibu wenyewe ni mwepesi tu,ni kuandika wito wa kumwita kwake na kumfikishia. Basi. Wapi pagumu katika utaratibu huo? Mambo ya kumwita mtanzania kupitia runinga na kumwaga mikwara ya kutosha na kutisha si madogo.

Hakuna anayepinga mtanzania au mgeni yeyote kukamatwa au kuitwa na kuhojiwa. Kila mmoja wetu anatamani utaratibu ufuate. Kwanini media itumike hadi kufunika utaratibu? Kwani,kuna ajenda gani dhidi ya Mbowe wa CHADEMA? Kadiri mikwara inavyozidi ndivyo inference ya kwamba hakuna jema inavyopata mshiko.

Mwafaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Faida za kua na kiongozi wa juu kabisa mwenye akili nzuri zinaonekana bayana.
 
Napenda Kusema Waandishi Wa Habari Na Watangazaji Wa Redio Za Nchii Hii Wamekosa Weredi Na Vilaza Ambao Wanasabisha Haya Matatizo Yote.

Mimi Binafsi Mtu Akiniambia Kazi Yake Ni Uandishi Wa Habari Au Mtangazaji Wa Radio Huwa Kipimo Cha Heshima Kwake Kinashuka Ghafla.

Kuna Rafiki Yangu Mmoja Aliniambia Nisishangae Sababu Waliofeli Wengi Mashuleni Hizo Na Polisi Ndiko Kazi Zao.

Kichwani Hawako Active Kabisa Wanashindwa Kuhoji Mtu Na Kumfanya Kuwa Accountable Na Anayoyatamka, Ila Wao Wanachukua Mzimamzima Na Kupeleka Hewani Moja Kwa Moja.
 
Kunatumika nguvu kubwa ya maneno na matendo kuhusu kutaka kumkamata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe. Mbowe alipotajwa na Makonda na kuitwa Central Police,alikosoa uhalali wa kutajwa na kuitwa kwake kule Dodoma. Hakwenda.

Akataka utaratibu wa kisheria ufuatwe. Utaratibu wenyewe ni mwepesi tu,ni kuandika wito wa kumwita kwake na kumfikishia. Basi. Wapi pagumu katika utaratibu huo? Mambo ya kumwita mtanzania kupitia runinga na kumwaga mikwara ya kutosha na kutisha si madogo.

Hakuna anayepinga mtanzania au mgeni yeyote kukamatwa au kuitwa na kuhojiwa. Kila mmoja wetu anatamani utaratibu ufuate. Kwanini media itumike hadi kufunika utaratibu? Kwani,kuna ajenda gani dhidi ya Mbowe wa CHADEMA? Kadiri mikwara inavyozidi ndivyo inference ya kwamba hakuna jema inavyopata mshiko.

Mwafaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
asante mkuu mzee tupatupa, kimsingi sterling wa movie alilengwa mbowe, sema baadaye scene ikangiliwa na upepo wapiga picha wakatawanyika. Sasa director roho inamuuma sana kwani movie iliyiotumia pesa mingi sterling hajafaaa....
 
Kapotea njia na hata Kama kutafuta cheo ndio iko hivi..... Duuuuu hiii inchi balaaa U IGP inatafutwa kwa nguvu.... Ogopa tumbo..... Shikamooo Tumboooo.
 
Alipokamatwa Tundu Lissu bungeni na kuletwa Dar kama bonge la jambazi and then akanyimwa dhamana and then siku 2 baadae jina la Mbowe kutajwa nikaanza ku connect dots kwamba kuna kitu; isije ikawa walengwa wakubwa walikua 2 tu; boss wa Yanga na wa Bilcanas; ni NDOTO zangu tu lakini, sijui kama ni kweli au LAA
 
Jeshi la polisi nalo pia lipo kwenye siasa
Mwanzo ilikuwa kiasi lakini tangu aingie
Huyu jamaa asie na hekima jeshi la Polisi nalo walivyo wapumbavu
Wameingia kwenye siasa na huyu dikteta uchwara
 
Alipokamatwa Tundu Lissu bungeni na kuletwa Dar na bonge la jambazi and then akanyimwa dhamana and then siku 2 baadae jina la Mbowe kutajwa nikaanza ku connect dots kwamba kuna kitu; isije ikawa walengwa wakubwa walikua 2 tu; boss wa Yanga na wa Bilcanas; ni NDOTO zangu tu lakini, sijui kama ni kweli au LAA

Bilicanas ilishavunjwa sasa wanaenda kumuulizia nini??
 
Back
Top Bottom