Kamanda Siro akiwa na askari wa kutuliza ghasia (FFU)

Askari wote kinachowaokoa ni hizo bunduki zao
Ukiwatoa hawana la maanaa
 
Kwakweli huko Kongo wanao pambana kwa masaa 13 bila msaada ilitakiwa wawasiliane na dar es salaam wapate usaidizi pasipo kupitia UN pengine roho baadhi zingeokolewa. Kwenye hili UN ilitakiwa kupewa taarifa tu na ku comply na yaliyo jiri huku ikikubali kuwa ni mipango yake. Binafsi nalilaumu jeshi letu la kwa kuruhusu hayo yatokee, masaa 13!!!.......ni mengi sana wakati mapigano yapo nchi ya jirani tu. Sasa tungetegemea nini kama majeshi yangekuwa bara jingine?????. Tusije kugeuka na kuwa na jeshi la la wacheza ndomboro kama la kongo.
Mm na ww hatujui kwamba tatzo lilikuwa wapi? Yawezekana waasi walichafua anga kias cha ndege kushindwa kupita.
 
Hawa warembo watazuia fujo kweli? Ukiwatekenya tu silaha si zitafyatuka!
 
Hivi kwanini mwanamke akiwa katikauniform huwa anazidimvuto?

Uniform yoyote, ya mwanajeshi, ya nesi etc.
Kaka hasa hapo kwenye ness dah huwa wananikosha sana yan upaja wa nyuma na tumistari flani hivi amazing ulim nnje lazma uchukue namba aise
 
Kaka hasa hapo kwenye ness dah huwa wananikosha sana yan upaja wa nyuma na tumistari flani hivi amazing ulim nnje lazma uchukue namba aise
Hahaha,

Ukitaka kulakila kitu, utakula mpaka sumu halafu hata nesi wako ashindwe kukuponya.
 
Hivi kwa nn chadema tukiandamana hatuletewi hawa watupige mabomu?
Mbowe tangaza maandamano mimi nitakuwa mbele kule nitekwe mateka na mabinti hao under arrest
 
Back
Top Bottom