Kamanda Siro akiwa na askari wa kutuliza ghasia (FFU)

The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,448
2,000
IMG-20171212-WA0008.jpg
 

mlimilwa

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,248
2,000
Nakumbuka kulikua na sijui ukweli au tete ,kua kuna yule alieibiwa panga.

Akicheka nao saana hawa wadogo kuna siku atakuta wamemuibia nyalaka muhimu.

Watoto hawa wanatakiwa wakati mwingine wakikuona wapite mbali na sio kukukimbilia.
 

Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
10,610
2,000
Dah! Nataman wakuu wa majeshi haya wangekuwa jwtz - Davis mwamunyange, polisi IGP sirro, na operation congo brigadia Mwakibolwa..

Hakika yasingetokea yanayotokea sasa, mm kama raia mkakamavu niliyepitia mafunzo ya kijeshi nautambua umuhimu wa hawa jamaa kwenye kuongoza hizi idara
Kwakweli huko Kongo wanao pambana kwa masaa 13 bila msaada ilitakiwa wawasiliane na dar es salaam wapate usaidizi pasipo kupitia UN pengine roho baadhi zingeokolewa. Kwenye hili UN ilitakiwa kupewa taarifa tu na ku comply na yaliyo jiri huku ikikubali kuwa ni mipango yake. Binafsi nalilaumu jeshi letu la kwa kuruhusu hayo yatokee, masaa 13!!!.......ni mengi sana wakati mapigano yapo nchi ya jirani tu. Sasa tungetegemea nini kama majeshi yangekuwa bara jingine?????. Tusije kugeuka na kuwa na jeshi la la wacheza ndomboro kama la kongo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom