Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,871
- 29,057
Ni Mnyiramba huyuNinachojua ni Mchaga, baaasi. Paka na panya
Ni Mnyiramba huyuNinachojua ni Mchaga, baaasi. Paka na panya
Mnyiramba purempinga ni mpare
Yupo makao makuu.Mbona tunachanganyana .?mara yupo dar. Mara yupo tanga. Mara kastaafu. Ukweli ni upi????
Hapa hatubishani tunaeleweshana amestaafu lini??Kamanda Mpinga alistaafu. Aliyekuambia yuko makao makuu amekupoteza.
Kuna vijana wanatuambia kuwa kastaafuyuko anasoma magazeti makao makuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hataki shidaNi afande akipewa amri anaitika ndio na kupiga salute lakini anachanganya na zake
Nenda Makao Makuu ya Jeshi la Polisi utapata ufafanuzi zaidi.Hapa hatubishani tunaeleweshana amestaafu lini??
Kamanda Mpinga alistaafu. Aliyekuambia yuko makao makuu amekupoteza.
Kila IGP huingia na mtandao wake, itakuwa alikuwa haivi na boss wakeNa sijawahi kujua kwanini mlimtoa Mpinga kwenye usalama barabarani.
Pay back zake ndiyo hizi za kina Mwigulu Nchemba kufukuzwa uwaziri.
Nitaendelea kukutunzia heshima na utu wako japokuwa wewe ni Punguwani.Bila shaka Wewe ni Mkewe Mkuu.
Nitaendelea kukutunzia heshima na utu wako japokuwa wewe ni Punguwani.