Kamanda Mohammed Mpinga wa jeshi la Polisi Tanzania

Kuhusu kuvuja kwa taarifa za HUKUMU YA SUGU kuandikwa hotelini kwa ushirikiano wa Hakimu , RC na RPC , ndio jambo kubwa lililomuondoa Mpinga Mbeya , niliweka hili jambo humu mapema sana lakini Likafutwa haraka sana , hatubahatishi sana , kuna wakati niliweka pia kuhusu Lipumba kutimuliwa cuf pia wakubwa wakafuta haraka sana ! sasa kiko wapi ?
Duh
 
Aliondolewa kwa kustaafu au kuhamishwa??
 
Kwanza Mpinga hakustahili kuwa uraiani alitakiwa kufungwa jela , hata hivyo bado naamini kuna siku atafungwa tu , kuhusu kuondolewa ama kustaafu sifahamu bali ninachokifahamu ilikuwa lazima aondoke mbeya kwa kushindwa kuficha siri ya unyama dhidi ya Sugu kama alivyotumwa kutoka juu
 
Duh! Mkuu umeongea kimafumbo sana kuhusu siri ya huyu mkuu,naanza kupata mwanga kidogo,kwanza njoo pm
 
Kwanza Mpinga hakustahili kuwa uraiani alitakiwa kufungwa jela , hata hivyo bado naamini kuna siku atafungwa tu , kuhusu kuondolewa ama kustaafu sifahamu bali ninachokifahamu ilikuwa lazima aondoke mbeya kwa kushindwa kuficha siri ya unyama dhidi ya Sugu kama alivyotumwa kutoka juu
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom