Elections 2015 Kamanda Mawazo: Tumepigwa tena, mwenzetu anaweza kufa wakati wowote!

Arusha sombetini chadema wakatana mapanga tena wakifikiria wanamkatakata mwanaccm

Hii ni baada ya maandamano ya ccm wakitokea kwenye mkutano wao ngusero kupita maeneo ya kibo ulipokuwa unaendelea mkutano wa chadema poleni peoples
 
Mwanamama muongo na mnafki wa kuungaunga maneno na kupindisha ukweli naona upo na unajitahidi kupika mboyoyo."NYIE FANYENI FUJO ZENU LAKINI SIKU CHADEMA WAKIAMUA 'MTATAGA',KWANI KWA ARUSHA MMESHAVUMILIWA VYA KUTOSHA".
 
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.Niko na makamanda central na tayari kapewa pf3 .Mi nimebaki ili kufungua jarada lakini ocd anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.Kinacho niuma no ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jarada kwanza,kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la ccm huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO name wao kukaa kimya.Tumekabidhi mapanga,nyundo,nondo name silaha zingine tulizoshambuliwa nazo

hivi chadema.lini mtaacha utoto? yani vurugu mmeandaa wenyewe ili muonekane mnaonewa...? acheni.ujinga wenu
 
hizo vurugu ni kamanda mawazo na wahuni wenzake wameziandaa makusudi kujipigia promo....! polisi mkamateni mawazo mara moja hizo vurugu ni yeye mwenyewe amezipanga...
 
Mlirusha bomu mkasema CHADEMA wamejilipua wenyewe,hizi ni propaganda za kipumbavu sana,Kamanda Mawazo kasharipoti na huu upuuzi wa CCM kumwaga damu na kuja na propaganda za kipuuzi haujaanza leo,mnaanza kuzoea sasa na kuona watu wote ni wajinga wenu na nyie ndio werevu!!!
 
chadema wamekatana mapanga kwa amri ya mawazo aliyekuwa anaongoza genge lake la wahuni
 
Kwahiyo wana CHADEMA hawamjui kamanda wao MAWAZO? Hata waliomuua Dr. Mvungi tulitaka kuaminishwa kuwa ni wana CHADEMA. Hii mbinu ya kijasusi haina nafasi tena katika miaka hii ya kiutandawazi na teknolojia ya habari.
 
Mwanamama muongo na mnafki wa kuungaunga maneno na kupindisha ukweli naona upo na unajitahidi kupika mboyoyo."NYIE FANYENI FUJO ZENU LAKINI SIKU CHADEMA WAKIAMUA 'MTATAGA',KWANI KWA ARUSHA MMESHAVUMILIWA VYA KUTOSHA".

Uliza waliyokuwepo au muulize Mawazo na lema maana walishiriki tukio hilo
 
Arusha sombetini chadema wakatana mapanga tena wakifikiria wanamkatakata mwanaccm

Hii ni baada ya maandamano ya ccm wakitokea kwenye mkutano wao ngusero kupita maeneo ya kibo ulipokuwa unaendelea mkutano wa chadema poleni peoples

Hii thread haipaswi kuwepo ni hira tupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom