Elections 2015 Kamanda Mawazo: Tumepigwa tena, mwenzetu anaweza kufa wakati wowote!

"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.Niko na makamanda central na tayari kapewa pf3 .Mi nimebaki ili kufungua jarada lakini ocd anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.Kinacho niuma no ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jarada kwanza,kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la ccm huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO name wao kukaa kimya.Tumekabidhi mapanga,nyundo,nondo name silaha zingine tulizoshambuliwa nazo

Hizo ni story za kutafuta umaarufu Huyo mawazo wamtake wanini? wekeni picha vinginevyo ni ulaghai tu
 
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.Niko na makamanda central na tayari kapewa pf3 .Mi nimebaki ili kufungua jarada lakini ocd anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.Kinacho niuma no ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jarada kwanza,kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la ccm huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO name wao kukaa kimya.Tumekabidhi mapanga,nyundo,nondo name silaha zingine tulizoshambuliwa nazo

Poleni makamanda. Kwani kuna la kuuliza? Hao jamaa njaa tu inawaendesha. Na maccm wanatumia hela ya serikali kuhujumu nchi kwa umwagaji damu.

2015 wajiandae kuingia shimoni kama Sadam Husein kuanzia huyo mkubwa wao.
 
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.Niko na makamanda central na tayari kapewa pf3 .Mi nimebaki ili kufungua jarada lakini ocd anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.Kinacho niuma no ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jarada kwanza,kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la ccm huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO name wao kukaa kimya.Tumekabidhi mapanga,nyundo,nondo name silaha zingine tulizoshambuliwa nazo
Mie hizi story kutoka Arusha sipendi kusikia, nakuja Arusha, Ni kwanini hamuyauwi hayo maccm?

Nakuja nakuja M4C Pamoja
 
Poleni majembe yangu..you are the grain of wheat, u have to die (suffocate) ili mbegu (mawazo) yenu yaote!
 
Wanachadema arusha mmebweteka sana kamateni hao mb.wa wa c.c.yem mfanye kazi ina tosha sasa!.
 
udiwani pekee ndiow atu wakatane mapanga
ingekuwa ni kampeni za ubunge na urais itakuwaje?
kuna watu wanadhani wana hati miliki na uongozi
Polen sana kamanda ,kitaeleweka tu.
 
Watashina nanyi ila hawatawashinda maana MUNGU yu pamoja nanyi ili awaokoe wakati shida zenu. Wana ARUSHA msife moyo pambaneni hiyo damu haimwagiki bure italipwa kupitia CHADEMA.
 
Acha uchochezi wee mjinga,

Unawachochea watu wauane wakati wewe umejificha kwenye keyboard..

mpumbafu wewe,unafurahia hivyo vitendo vya kihuni wanavyofanya hao janjawidi wanaitumwa na mwigulu???? siku zenu zina hesabika na siku cdm uvumilivu ukitutoka nakuapia wewe kicheche hii nchi mtaikimbia,msidhani hatuwezi kushika mapanga!!!! ichezeeni amani lakn siku hiyo magamba hamtasalia hapa tz!
 
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.Niko na makamanda central na tayari kapewa pf3 .Mi nimebaki ili kufungua jarada lakini ocd anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.Kinacho niuma no ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jarada kwanza,kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la ccm huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO name wao kukaa kimya.Tumekabidhi mapanga,nyundo,nondo name silaha zingine tulizoshambuliwa nazo
Khaa!! Mipumbavu kama hii iache ife tu. Inapigana mapanga wakati Slaa na Kinana wanagongeshiana glass za wine. Wacha ife ipungue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom