Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

Nitakukumbuka sana bro, ila lazima tulipe kisasi!

attachment.php
 
Attachments

  • Mawazo na lema_thumb[2].jpg
    Mawazo na lema_thumb[2].jpg
    33.1 KB · Views: 545
Hivi mlitaka Godbless(CDM ) aipongeze polisi kwa lipi
?Let's be sencerely kwy hili jambo la kikatili na kusikitisha

Mauaji yanatokea sehemu nyingi tu na tunaona wapo watu wamehukumiwa kwa mahuaji na wengine kunyongwa sasa kwani nini hili Jeshi linaanza kushutumiwa ? Tuliache lifanye kazi yake hata kama lipo chini ya serikali ya CCM si ndio demokrasia hiyo siku CDM ikiwa madarakani jeshi pia litaheshimu serikali yao kwa mujibu ya sheria.

Ukisoma vizuri anachosema LEMA ni kuamasisha vita hii ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu. Rwanda ilianza hivi kilichotokea wote tunajua hata huyo alianzisha nae familia yake alipata pigo

Naungana na wewe hili jambo la kikatili ila kauli ya Lema ni hatari sana
 
Sijui nani aliwahisema kuwa anashangaa pilice wakiuwa na kukamatwa.
 
Tunafahamu kuwa kuna mpango wa CCM kumuua LEMA, lakini MUNGU atazuia, mbinu yeyote ovu haitafanikiwa sasa!

Hakuna silaha yeyote iliyo kinyume na mpango wa MUNGU itakayofanikiwa tena! MAWAZO ndio wa MWISHO!

Tutalia na huyu MUNGU mpaka mwisho!
 
Pamoja na kwamba nimesikitishwa na kifo cha kikatili cha ndugu Mawazo lakini sikubaliani na hii tabia ya kupeana tuhuma. Wananchi wengi tunahisi huenda kifo cha mawazo kimesababishwa na mgogoro wa dhulma humo humo ndani ya CHADEMA; Wengine wanasema huenda ni migogoro binafsi kati yake na jamaa zake. CHADEMA mnasema kifo chake kimepelekewa na green guard kumvamia marehemu na wengine mnasema polisi ndio wamemuua. Sasa tushike lipi!?

Aidha, mbona kifo cha Chacha Wangwe hatukuona watu kuguswa hivi!? Wakati kilijaa giza zito na hadi leo haieleweki nini kimemuua Chacha Wangwe. Ndugu Lema kama unajua kuhusu Wangwe tugusie kidogo. Huenda ikatoa mwanga wa kujua kuhusu kifo cha Mawazo. Natazama kwa jicho la tatu tu.

RIP Mawazo

Nakuona unavyoifeel pipe huko unakotolea kinyesi!!! Laanakum
 
Natangaza, Hakuna KAMANDA wa CHADEMA atakayeuwawa tena kama MAWAZO, huyu ndio wa mwisho!

Mbinu zote ovu dhidi ya CHADEMA leo ndio Mwisho! Na damu ya ALPHONCE haijamwagika bure, itaenda na wengi, na muuaji atapatikana akiwa maiti siku si nyingi!
 
Sikutarajia na wala sitarajii kusikia au kusoma maoni ya busara sana kutoka kwa mtu kama Lema wa kaliba yake.

Ye mwenyewe Lema ni fundi wa kuhubiri dhana tata kama "msiogope" sasa kwa mahubiri ya aina hii sijui huwa anawalenga kina nani....ni wafuasi wake/wa Chadema tu, au ni yeyote atakayemsikia.

Iwapo Marehemu alitofautiana na mtu/watu iwe kisiasa au la....sasa je kufikia kushambuliwa kwake si ndio utekelezaji wa mahubiri yako ya usiogope/ uoga ni dhambi n.k. kana kwamba hakuna njia nyingine yoyote ya kutafuta suluhu?

Na kwa vyovyote anachomaanisha Lema kwa kauli zake ni ulipizaji kisasi au kutumia nguvu kwa kila jambo ii kupata ufumbuzi, na kichwani kwa huyu jamaa huwa hakuna fikira mbadala.

Binadamu yeyote mwenye utu hapendi kusikia mtu amepoteza maisha kwa sababu yoyote ile....tupo tunaoamini kuwa ukiuwa, ukiiba, ukidhulumu n.k. utawajibika tu kwalo siku moja hata baada ya maisha yako ya hapa duniani.

Inahitaji busara sana haswa kwa viongozi au kwa yeyote anayepata fursa ya kuongea hadharani au anayeamini kuwa anachoongea kinaithiri jamii.

Unavyoumia wewe leo ndivyo alivyoumia/anavyoumia yeyote anayempoteza jamaa yake kwa ajali, ugonjwa n.k.

Kutoiamini Polisi kwako isiwe ndio sababu ya kutamani kila mmoja atakayekusikiliza naye apoteze imani na Jeshi la Polisi....kuna wengi wamenufaika/wamenusurika kwa kazi za Polisi...ninayo mifano hai na naamini wapo wengi huko kwingine...labda tu hawakuwahi kuja mbele na kutoa ushuhuda...au labda tu wanaamini kuwa kupona kwao ni sehemu ya Polisi kutimiza tu wajibu wao.

Sababu yoyote iliyopelekea kifo cha Mtanzania huyu au mwingine yeyote iwe ni sababu ya kisiasa au la, bado inabaki kuwa ni uhalifu, iwapo imetekelezwa na mtu/watu kwa kudhamiria basi wahusika watapata wanachostahili hata kama watafanikiwa kukwepa mamlaka za duniani.

Kama ambavyo sijawahi kumsikia Lema akilaani Bodaboda kumshambulia mwenye Gari pale mwenzao anapogongwa, au jamii wanapomshambulia mzee kwa tuhuma za uchawi, au wenye imani zao potofu wanavyoshambulia wenye ulemavu wa ngozi n.k. Vivyo hivyo ni wakati wa wenye majukwaa ya kuongea kufikiria sana wanaongea nini.

Tusijenge jamii ya kudhani kuwa yule anayedhamiria kulipiza kisasi basi imeandikwa kuwa yeye ndiye atatoka mshindi na baraka zitakuwa juu yake.
 
Mimi siwezi kuwa mnafiki kusema nafurahishwa na mabandiko ya Godbless J Lema...huwa sipendezwi kabisa na njia yake anayotumia kutaka kutatua matatizo!

Lema anachofanya ni kuendelea kupandikiza chuki ambazo hazitomfikisha mtu popote na hakuna atakaye nufaika!Ikiwa Lema anawatuhumu polisi kutaka kumuuwa hivi anategemea polisi watafanyaje kazi naye? Sasa kweli polisi wakitoa taarifa mtaamini? Kwanini tusijengenye kuaminiana hata kidogo?

Hivi wanaosema jeshi la polisi lifanye uchunguzi na wahusika wapelekwe kwenye vyombo vya sheria ni polisi gani mnao wazungumzia ikiwa hamuwezi kuwaamini hata kidogo?
Najua Lema amemumizwa lakini muda mwingine apunguze mihemko maana kwenye ili bandiko amechanganya mambo sana kiasi kwamba mtu anaweza shindwa kuelewa lengo lake...!

Mimi nimesikitishwa sana na kifo cha Alphonce Mawazo maana kimsingi hakustahili kufanyiwa alicho fanyiwa na huu ni ukatili ambao unatakiwa uchukuliwe hatua kali sana za kisheria....!

Watu wanatakiwa kujua kuwa hakuna chama kinacho mtuma mtu kuuwa wauaji hawana kabila,chama hivyo kama ni wahusika lazima wachukuliwe hatua...!

Ukisoma maelezo ya kamanda wa polisi wa Geita anasema mtumiwa mmoja ameshakamatwa na bila shaka huyo mtuhumiwa mmoja atasaidia kufahamu ukweli!

Mungu awape faraja ndugu wa marehemu!
Ndugu utakuwa unaliwa vibaya sana huko nyuma!! polisi tz hawawezi kuaminika abadan Lema yuko sahihi! Waliomuua aliyekuwa mwenyekiti wa kata ya usa river jimbo la arumeru mashariki walitoroka mbele ya makumi ya polisi mahakamani na mpaka leo hawajapatika! polisi polisi polisi wa tanzania! wamejaa damu si mikononi mwao tu! bali mpaka matumboni mwao.
 
Inauma sana, yani watu wanaamua kutoa uhai wa mtu hivihivi jamani!!!!!!.

Naomba police wafanye kaziyao vizuri ilikuwakamata wauwaji na kuwafikisha kwenye sheria.
 
Sikutarajia na wala sitarajii kusikia au kusoma maoni ya busara sana kutoka kwa mtu kama Lema wa kaliba yake.

Ye mwenyewe Lema ni fundi wa kuhubiri dhana tata kama "msiogope" sasa kwa mahubiri ya aina hii sijui huwa anawalenga kina nani....ni wafuasi wake/wa Chadema tu, au ni yeyote atakayemsikia.

Iwapo Marehemu alitofautiana na mtu/watu iwe kisiasa au la....sasa je kufikia kushambuliwa kwake si ndio utekelezaji wa mahubiri yako ya usiogope/ uoga ni dhambi n.k. kana kwamba hakuna njia nyingine yoyote ya kutafuta suluhu?

Na kwa vyovyote anachomaanisha Lema kwa kauli zake ni ulipizaji kisasi au kutumia nguvu kwa kila jambo ii kupata ufumbuzi, na kichwani kwa huyu jamaa huwa hakuna fikira mbadala.

Binadamu yeyote mwenye utu hapendi kusikia mtu amepoteza maisha kwa sababu yoyote ile....tupo tunaoamini kuwa ukiuwa, ukiiba, ukidhulumu n.k. utawajibika tu kwalo siku moja hata baada ya maisha yako ya hapa duniani.

Inahitaji busara sana haswa kwa viongozi au kwa yeyote anayepata fursa ya kuongea hadharani au anayeamini kuwa anachoongea kinaithiri jamii.

Unavyoumia wewe leo ndivyo alivyoumia/anavyoumia yeyote anayempoteza jamaa yake kwa ajali, ugonjwa n.k.

Kutoiamini Polisi kwako isiwe ndio sababu ya kutamani kila mmoja atakayekusikiliza naye apoteze imani na Jeshi la Polisi....kuna wengi wamenufaika/wamenusurika kwa kazi za Polisi...ninayo mifano hai na naamini wapo wengi huko kwingine...labda tu hawakuwahi kuja mbele na kutoa ushuhuda...au labda tu wanaamini kuwa kupona kwao ni sehemu ya Polisi kutimiza tu wajibu wao.

Sababu yoyote iliyopelekea kifo cha Mtanzania huyu au mwingine yeyote iwe ni sababu ya kisiasa au la, bado inabaki kuwa ni uhalifu, iwapo imetekelezwa na mtu/watu kwa kudhamiria basi wahusika watapata wanachostahili hata kama watafanikiwa kukwepa mamlaka za duniani.

Kama ambavyo sijawahi kumsikia Lema akilaani Bodaboda kumshambulia mwenye Gari pale mwenzao anapogongwa, au jamii wanapomshambulia mzee kwa tuhuma za uchawi, au wenye imani zao potofu wanavyoshambulia wenye ulemavu wa ngozi n.k. Vivyo hivyo ni wakati wa wenye majukwaa ya kuongea kufikiria sana wanaongea nini.

Tusijenge jamii ya kudhani kuwa yule anayedhamiria kulipiza kisasi basi imeandikwa kuwa yeye ndiye atatoka mshindi na baraka zitakuwa juu yake.

Ukibwia pilipili nyingi lazima uwashwe huko chini!!
 
Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi

Bw. Lema taarifa za awali za kuuawa Mawazo tulizisoma wote humu humu Jf kabla hazijatangazwa na ITV taarifa ya habari saa mbili usiku.(14/11) Baada ya kuzisoma nilisubiri pengine zingetangazwa mapema na channel ten taarifa yao ya habari saa moja jioni lakini hazikutangazwa.ndio tukazipata wazi Itv na kutuonyesha na kuwasikia mashuhuda waliokuwa nje ya hospitali ya Geita na pengine ndio waliompeleka pale kwa juhudi zao. Walisema wazi kuwa walivamiwa na green guards kwa mashoka na nondo na kwa kuwa wao hawakuwa wamejiandaa kwa mapambano wakazidiwa nguvu. Kwa akili ya kawaida tu utaona alielengwa kuuliwa hapa alikuwa Mawazo.Hawajasema kuna risasi iliyosikika pale. Polisi wasingepoteza muda kwa kutumia mapanga,mashoka na nondo. Mafunzo yao huhusisha matumizi ya bunduki na risasi.Wala kwa Mwangosi hizo silaha za jadi hazikutumika. Kwa vyovyote vile hata kama polisi hawakumpenda sana Mawazo wana uwezo wa kumweka ndani wakati wowote,kumfungulia kesi nyingi wawezavyo na hata kumchapa risasi katika mazingira tatanishi na hawatakuwa na haja ya kukodi makundi yanayojua kutumia silaha za jadi kumshughulikia wasiempenda.Haya haya ndio yanayokupata wewe hapo Arusha na viongozi wengine wa kisiasa wa chadema. Polisi haiwamiliki hawa vijana wa makundi ya ulinzi wa mikutano ya vyama vya siasa kama green guards,red guards,blue guards n.k. wala hawalipwi mishahara na jeshi la polisi. Shuhuda alisema wazi walivamiwa na kucharangwa na green guards hawajatamka polisi wala silaha kupigwa pale.Mkutano uliokuwa ukiendeshwa katani ulikuwa kumnadi mgombea udiwani na katika jimbo hilo hilo aligombea ubunge Mawazo pale ila hakushinda. Suala la kifo cha kamanda Mawazo ni la uhasama wa kisiasa zaidi na ni wazi amefuatiliwa kwa muda mrefu na adhabu iliwekwa kumtoa uhai.Suala la kujiuliza hapa ni vipi uwepo mkusanyiko mkubwa (mkutano)kwenye kata usiwe na ulinzi wa polisi wenye silaha?Hivi hawa walinzi wa mikutano ya vyama kama hawa green guards huwepo hata kwenye kata au wanakuwepo makao makuu ya wilaya kusambazwa maeneo inakofanyika mikutano ya chama chao?Viongozi wa vyama vya siasa haswa wapinzani kama bado mnaitaka siasa jilindeni sana mtaisha au tukubali kurudia chama kimoja kuitunza amani ya nchi pia roho za vijana na wapendwa wetu. Kusubiri upelelezi wa polisi kwa chama hicho na kutegemea haki itendeke ni njozi zile zile za Mwangosi. Mawazo nilimfahamu sana na kwa uwezo,uelewa,ushawishi na uthubutu wake. R.I.P. KAMANDA ALPHONCE MAWAZO.
 
Mr.Mak uwe unafuatilia habari kwa makini kutoka vyanzo mbalimbali kabla hujachangia hoja. au umeamua kujitoa ufahamu kama wafanyavyo wengine?
 
Lema anaposema Mfumo wa Jeshi sijui kama unamuelewa??
Green Guard wanafunzwa na nani???
Wanaripoti wapi??
Nani anawalipa??
 
Back
Top Bottom