Kiukweli sijaona hata bandiko lililo sawa kulielewa,,,hivi hapakua na mtu yyt kwenye tukio zima ama mwanzo wa tukio atuambie sielewi.......naona kama vile hili tukio limefichwa eti kutekwa ,,,how ...wapi,,,,saa ngapi,,,,kukaa kimya kama unajua story nzima ni unafiki,,,,leteni habari kamili,,,bado sielewi nini chanzo cha haya yote,,,,katekwaaaa yaani alikua peke yake ama iweje awe na mkutano atekwe na waafuasi wengine waangalie tu ,,,,,jamaniiii kuna kitu kimejificha hebu fungukeni mtupe ukweli wa habari...KATORO GEITA naamini kuna watu waliomo humu ina maana hamjishughulishi kujua ukweli wa jambo ama kuna kitu mnakificha ,,,,,,,SIWAELEWI
Tunaomba kujua mazingira vizuri ya kuuawa huyu kamanda, taarifa ziko sahihi ila namna alivyouawa ndiyo hatujui. Je alitekwa?? Na alikuwa peke yake?? Muda gani??? Maeneo gani??? Hapa wahalifu lazima wapatikane tu na sheria ichukue mkondo wake.