Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

EU... acheni uongo, na waangalizi washatua Bongo kutoka EU tayari...wapeleke USHOGA HUKOOOO athens, sio EU...

Tatizo magazeti ya CCM wanaandika KIINGEZERA TO THINK PEOPLE WILL BELIEVE THEIR LIES...!!!!

CCM, even you CHANGE ANY LANGUAGE, TO LIE PUBLIC, AS YOU USUALLY DO LIES.... KIFO KIPO PALE PALE....

CCM ONGEENI LUGHA ZOTE, hata msali kwa lugha zote KIFO KIPO PALE PALE..

EU hata waseme nn, basi wasingetuma waangalizi wao ambao wako tayari nchini....

As well, SIO EU wanapiga kura... ni WATANZANIA... CCM mnabugi sanaaaaa

Haya, andikeni KICHINA sasa...!!!

Kuchinjwa kuko pale palee... !!!
 
Ikiwa ni siku tulivu kabisa mhe. Ngoyai anatarajiwa kuwasili mjini Singida mishale ya saa sita akitokea mkoani Dodoma ampapo atafanya mkutano wa kihistoria kwenye viwanja vya peoples kuanzia saa 10 jioni. Maandalizi yamekamilika mji mzima ni shamra shamra kuashiria uwepo wa kiongozi mkubwa.
……………………………………………………………………………………

Nimeshapiga kambi hapa uwanjani kwa ajili ya kuwaletea updates kwa kila kitakachokuwa kinajiri.

…………………………………………………………………………………

Stay tunes for updates and photos

______________________________________________

Mods tafadhali usiunganishe uzi huu

Singida mjini au?
 
EU wanataka kutuchagulia kiongozi?tell them to go to hell.LOWASA ni chaguo letu.ni raisi wetu.Mungu mbariki sana mh.Lowasa.
 
Mgombea Urais kupitia UKAWA Edward Lowassa ameingia Manyoni asubuhi kwa kishindo kikubwa na kulakiwa na umati mkubwa wa watu uliokuwa unaimba Rais..Rais..Rais muda wote wa mkutano.

Lowassa aliuambia umati huo wa watu kwamba analifahamu tatizo kubwa la maji katika wilaya ya Manyoni na amewahakikishia wakazi wa wilaya hiyo kwamba atahakikisha wananchi watapata maji ya uhakika mara tu atakapoingia IKULU.

Lowassa aliwaambia wananchi wajitokeze kwa maelfu siku ya kupiga kura ili ushindi wake uwe wa uhakika ambapo umati huo ulijibu kwamba watalala vituoni usiku wa kuamkia siku ya kura.

Pichani chini:Umati uliomlaki Lowassa Manyoni
12003995_892211230861011_3828660544159273829_n.jpg

12009826_892211434194324_6427034648326584194_n.jpg
 
Hatufanyi uchaguzi wa rais wa EU... Na je wao wanapochaguana huko wanasikiliza na kutii maoni yenu...??
Huyu huyu wanayemuogopa ndo mwenyewe... Anatufaa huyu huyu!!
Wanayempenda au kumtaka ataifanya nchi yetu kuwa shamba la bibi

Ni hivi huwezi kumtegemea mwizi wako ndo akuchagulie mlinzi wa rasili mali zako.... Fungukeni akili!!
Hao EU sijui nani ni wezi tu wa rasilimali zetu hivo hatuwezi kuwasilikiliza...
Hapa tunataka raisi atakayeifanya nchi yetu isiwe tena tegemezi wao...!! Hatutafuti kibaraka wa EU...ebo!!
 
Hata KENYA walionywa juu ya Uhuru Kenyatta lakini wakenya wakampa kura ,Sisi nasi tuko pamoja na LOWASSA bila

kujali mataifa yanayotufanya kuwa shamba la bibi yanasemaje

Mimi kwa hasira pamoja na familia yangu kura Ukawa kutokana na huo ujinga wa EU.
 
Mgombea Urais kupitia UKAWA Edward Lowassa ameingia Manyoni asubuhi kwa kishindo kikubwa na kulakiwa na umati mkubwa wa watu uliokuwa unaimba Rais..Rais..Rais muda wote wa mkutano.

Lowassa aliuambia umati huo wa watu kwamba analifahamu tatizo kubwa la maji katika wilaya ya Manyoni na amewahakikishia wakazi wa wilaya hiyo kwamba atahakikisha wananchi watapata maji ya uhakika mara tu atakapoingia IKULU.

Lowassa aliwaambia wananchi wajitokeze kwa maelfu siku ya kupiga kura ili ushindi wake uwe wa uhakika ambapo umati huo ulijibu kwamba watalala vituoni usiku wa kuamkia siku ya kura.

Pichani chini:Umati uliomlaki Lowassa Manyoni
12003995_892211230861011_3828660544159273829_n.jpg

12009826_892211434194324_6427034648326584194_n.jpg

Safiii Molemo...!!

#Molemo... kwnn siku hizi KITENGO CHA HABARI CHA CHADEMA, UKAWA MMEKUWA HAMFANYI KAZI YENU VIZURI HASA HAPA JF...?

Watu wanawalalamikia kila siku, kila muda...ww, #Tumaini Makene, mmekuaje..?

KITENGO CHA HABARI CHADEMA/UKAWA kina UZEMBE SIKU HIZI ZA UCHAGUZI SANAA SANAAA... kwnn, na siku hizi ndio muhimu sana kwenu kuonyesha MIKUTANO YA KAMPENI ZA RAIS NA WABUNGE WA UKAWA...

HASA Rais wa ukawa.. updates haziji kabisa huku...

Kuna nn kitengo hicho...? mbona mwanzoni mlikuwa VERY ACTIVE...

Tunaomba mbadilike... watu wanawaamini sana sanaaaaa...!!!

✌✌✌✌✌ daima..
 
Back
Top Bottom