zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Akihojiwa kwa njia
ya simu kamanda Kenyela amesema kijana aliejeruhiwa amejeruhiwa kwa
subject Matter..huenda ikawa Jiwe,Risas au bomu la machozi...
Amesema Police walitumia hekima sana la sivyo Mauaji yangekuwa Makubwa.
Source:Radio One
mauaji yangekuwa makubwa? sasa yamekuwa madogo? kwani wangapi wamekufa?
DALLAI LAMA huwezi amini kamanda kalisema hilo "kitu chenye ncha kali" nimecheka ingawa nilikuwa peke yangu.Yale yale..kitu chenye ncha kali toka juu,haya ya 'kitu ncha kali' ni somo ktk chuo ccp
Subject matter
Subject matter
wanaunda tume lini na zitakuwa tume ngapi na budget yao kwa siku ni kiasi gani na watatumia siku ngapi? maana najua ndicho kitu wanachokitaka tumeiundwe..
Wanasheria msaidie aliyeumizwa POLISI wamlipe FIDIA - hivi kulala wodini mchezo???? anapoteza muda - anaugulia maumivu - ndugu zake wanasumbuka ........... anapoteza kipato chake ..........oh! my God mambo ni mengi ........ JAMANI HAWA POLISI WANAJIFANYA NCHI NI YAO ........... WASHINDWE NA WALEGEEEEEEEE
Hivi hakuna tofauti ya mtu aliyepigwa jiwe au risasi?