Kamanda Kenyela:Aliejeruhiwa haijulikani amejeruhiwa na nini huenda ikawa Jiwe ,Risasi etc.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
....Akihojiwa kwa njia ya simu kamanda Kenyela amesema kijana aliejeruhiwa amejeruhiwa kwa subject Matter..huenda ikawa Jiwe,Risas au bomu la machozi...
Na mjeruhiwa yupo hoi wodini.
Amesema Police walitumia hekima sana la sivyo Mauaji yangekuwa Makubwa.


Source:Radio One
 
wanaunda tume lini na zitakuwa tume ngapi na budget yao kwa siku ni kiasi gani na watatumia siku ngapi? maana najua ndicho kitu wanachokitaka tumeiundwe..
 
Akihojiwa kwa njia
ya simu kamanda Kenyela amesema kijana aliejeruhiwa amejeruhiwa kwa
subject Matter..huenda ikawa Jiwe,Risas au bomu la machozi...

Amesema Police walitumia hekima sana la sivyo Mauaji yangekuwa Makubwa.

Source:Radio One

dalili za mvua..........! raia wanapowakataa wenye jukumu la kusimamia usalama wao!
 
Yale yale..kitu chenye ncha kali toka juu,haya ya 'kitu ncha kali' ni somo ktk chuo ccp
 
Angekuwa mtoto wa kigogo, au tycoon fulani au wa Kamanda mwenyewe ndio mngesikia "full story".
Ee Mungu inusuru nchi hii na raia wake toka mikononi mwa shetani na wafanyakazi wake.
 
haya mabo ya kupigwa na kitu kizito mie siyapendi!!
kwanini sio kitu chepesi? loh! ngoja nimpeleke mdogo wangu CCP akahonge milioni huko..
 
Yale yale..kitu chenye ncha kali toka juu,haya ya 'kitu ncha kali' ni somo ktk chuo ccp
DALLAI LAMA huwezi amini kamanda kalisema hilo "kitu chenye ncha kali" nimecheka ingawa nilikuwa peke yangu.
Yaani polisi hawajui hata kudanganya, iwenye utetezi wa morogoro, arusha, iringa ama mbarali uwe sawa...kwa nini polisi wasikidhibiti hicho kitu chenye ncha kali kisije siku moja kikampiga mkuu wa nchi akiwa jukwaani....

Sipendi polisi kuitwa Jeshi la Police (Police Force) maana jina tu linawafanya kufikiria kimaguvu maguvu tuu bila kutumia akili...
 
Last edited by a moderator:
Wanasheria msaidie aliyeumizwa POLISI wamlipe FIDIA - hivi kulala wodini mchezo???? anapoteza muda - anaugulia maumivu - ndugu zake wanasumbuka ........... anapoteza kipato chake ..........oh! my God mambo ni mengi ........ JAMANI HAWA POLISI WANAJIFANYA NCHI NI YAO ........... WASHINDWE NA WALEGEEEEEEEE
 
Wanasheria msaidie aliyeumizwa POLISI wamlipe FIDIA - hivi kulala wodini mchezo???? anapoteza muda - anaugulia maumivu - ndugu zake wanasumbuka ........... anapoteza kipato chake ..........oh! my God mambo ni mengi ........ JAMANI HAWA POLISI WANAJIFANYA NCHI NI YAO ........... WASHINDWE NA WALEGEEEEEEEE


Hii philosopy ya police ifike mahali ionekane imepitwa na wakati,kwani hata kama lengo lao jeshi ni kuepusha impact kubwa itakayotokana na reaction ya wanandugu au wananchi ni bora iwe hivo ili ije ipatikane suruhu ya kudumu kwamba katika hali yoyote ile ya kutuliza ghasia mwananchi/raia asipigwe risasi.
Kumpiga risasi binadamu ni unyama wa hali ya juu sana hasusani asiye na hatia.
Inauma sana....ivi vitendo.
 
Kaaa usikie tu watakwambia bomu lililushwa kutoka kwa wananchi,au alipigwa na kitu kilichorushwa utasikia kwa kingereza kinaitwa 'Flying Object' WAKATI POLISI NDIO WALIKUWA WANARUSHA RISASI NA MABOMU.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom