Kamanda Halima Mdee kutikisa Bukoba Mjini leo

Ofisi zao zipo kwenye kontena la kusafirishia mizigo pale kibeta kandokando ya barabara kuu opposite na kwa Rwakatare m-Tiss wa chadema. Yaani ukiiona hata kama wewe ni mwanachama utaona aibu. Wanashinda vijana pale wanakunywa viroba vya EMPIRE kutoka uganda. Wapinzani wa kweli tanzania hawajazaliwa.

Ofisi za Cdm zipo mioyoni mwa watu sio majumba! Nahata hayo mnayojivunia yataludi 2015 yalipotoka mana tuliyajenga wote lazima tugawane mbao!.Hatahivyo hizo zenu sioni faidayoyote kwa mtanzania zaidiyakuwa kichaka chakutunzia Sembe nakuuzia,wakati huo mkiyatumia kupanga jinsi ya kutuibia rasilimal zetu
 
Hongera bawacha, hongera mdee. Kazi imerudi kwa bavicha, imelala tena dolo duh. Huyu mwenyekiti mpya wa bavicha kazimwa ghafla!
 
Mkuu vipi, mbona hakuna update wala picha?
 
Wadau,
Pamoja na sekeseke dhidi ya polisi aliyokutana nayo kamanda Mdee m/kiti wa BAWACHA tatifa na timu yake leo wanaendelea kutimua vumbi mkoani Kagera na sasa wako Bukoba mjini tiyari kuwasha moto katika viwanja vya Uhuru maarufu kama viwanja vya Mayunga.

Shamlashamla za kumpokea Mdee zimeanza mapema asubuhi,huku katika vijiwe mbalimbali watu wakitathimini na kupongeza uwezo wa CHADEMA wa kutengeneza wanasiasa wazuri.Hasa wakizingatia jinsi Mdee alivyoyatikisa magamba na polisi wake kote alikopita.

Wadau tutaendelea kuwajuza yanayoendelea na walioko karibu,karibu tuhudhulie kwa wingi.

"Shamlashamla"!!!!! Unatia Aibu!!!!
 
wanamsimika nani kama mbunge bukoba mjini? maana bk imedorola kwa ugomvi wa watu wawili!

Makamanda ambao wameishajitokeza ndani chama mpaka sasa ni wafuatao;

1.Gration Mkoba;Rais wa CWT taifa na rais wa TUCTA taifa.
2.Willfred M Lwakatare;Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CDM taifa
3.Jovitus Basheka;Mhadhiri SAUT tawi la BK
4.Valelian LUgarabam;Mkurugenzi na mmiliki wa radio vision ya mjini Bukoba;

Tuko vizuri kwa njia yoyote ile CCM HAWAWEZI KUTOBOA.
 
Wadau,
Pamoja na sekeseke dhidi ya polisi aliyokutana nayo kamanda Mdee m/kiti wa BAWACHA tatifa na timu yake leo wanaendelea kutimua vumbi mkoani Kagera na sasa wako Bukoba mjini tiyari kuwasha moto katika viwanja vya Uhuru maarufu kama viwanja vya Mayunga.

Shamlashamla za kumpokea Mdee zimeanza mapema asubuhi,huku katika vijiwe mbalimbali watu wakitathimini na kupongeza uwezo wa CHADEMA wa kutengeneza wanasiasa wazuri.Hasa wakizingatia jinsi Mdee alivyoyatikisa magamba na polisi wake kote alikopita.

Wadau tutaendelea kuwajuza yanayoendelea na walioko karibu,karibu tuhudhulie kwa wingi.

Zingatia lugha sanifu mkuu, tuitunze lugha yetu.
 
Hivi kule Bukoba,ofisi za CHADEMA mkoa wa kagera zipo sehemu gani? ndugu RWAMAIGI nasikia hawana ofisi wanakutana bar ni kweli?

Ndugu ofisi zipo,ukifika stand ya Bugabo kuelekea jengo la Rwabiz ulizia tu ofisi za CDM utaonesha .ni ofisi za kisasa kabisa na zimefunguliwa wakati wote.
 
Wewe ni mganga wa kienyeji? Stupidity is when you turn desires to reality.

Take this into record, hakika hazitazidi hapa! Mlianza vizuri mnamaliza vibaya na itakuwa aibu kwamba hata yale majimbo mliyokuwa mmechuka hamtayapata tena.
 
Makamanda ambao wameishajitokeza ndani chama mpaka sasa ni wafuatao;

1.Gration Mkoba;Rais wa CWT taifa na rais wa TUCTA taifa.
2.Willfred M Lwakatare;Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CDM taifa
3.Jovitus Basheka;Mhadhiri SAUT tawi la BK
4.Valelian LUgarabam;Mkurugenzi na mmiliki wa radio vision ya mjini Bukoba;

Tuko vizuri kwa njia yoyote ile CCM HAWAWEZI KUTOBOA.

Labda mmejipanga
 
Kwenye hiyo orodha yako naomba nikwambie hakuna wa kusimika na kidume Balozi Kagasheki. Namba 1 alikua mwalimu pale Kahororo secondary, 2.Huyo Lwakatare kachoka kwenye siasa ni kama ganda la muwa hana jipya. Alipewa jimbo miaka 5 awamu ya pili wahaya wakafagia takataka jimboni. 3. Huyo simjui lakini hana hadhi ya kusimika na Mwanadiplomasia wa kimataifa Kagasheki kwani kwa hesabu ya harakaharaka naye anaonekana ni mwalimu. 4. Huyo valerian alikua ni Diaspora(mbeba box) nimeishi naye sana pale bukoba baada ya kutoka marekani 2008. Alikua Rastafari baadae akanyoa kamba zake ila Bangi akawa anapuliza kama kawa. Hana ushawishi wowote pale town zaidi ya kuonekana kama mpulizaji tu. Ndg siasa za bk ziache kama zilivyo. Kupigana na Kagasheki inabidi uwe na bajeti ya kutosha sana. Yaani ili umchomoe pale huyo Mzee huna Budi kutenga Ruzuku ya Chadema ya miezi 6. Atleast 1b.

Hao walevi wako nakuomba ukawashauri walau wagombee udiwani waende kwenye halmashauri wakapange maendeleo ya Kata zao lakini jimbo sio Size yao kabisa.
 
Ndugu ofisi zipo,ukifika stand ya Bugabo kuelekea jengo la Rwabiz ulizia tu ofisi za CDM utaonesha .ni ofisi za kisasa kabisa na zimefunguliwa wakati wote.

We mpuuzi kabisa. Ile ni ofisi ya chama au ni ofisi binafsi? Au we ukipita pale ukaona Bendera ya chadema ndo unasema ni ofisi? Kama lwakatare ndivyo anawadanganya pole sana.

Mdogo wake lwakatare pale anapanga duka na ndani wanauza Pombe na viroba toka kitambo sana enzi za Cuf hadi leo. Pale lwakatare amekua akifanyia harakati zake toka miaka ya 2000 kipindi yupo cuf. Na sio ofsi rasmi bali ni ofisi binafsi na ni eneo la biashara la mdogo wake.

Ofisi za chadema zilikua hamgembe/kashabo wakati lwakatare yuko cuf. Njaa zilipo mkimbizia chadema akawa amefamisha na ofisi akapeleka kwake kibeta kwenye kontena....
 
KAGASHEKI NI MWEPESI KULIKO PAMBA ! ATANG'OLEWA KWA URAHISI KULIKO UNAVYODHANI , TUMEWAAMBIA WANA BUKOBA WALE HELA ZAKE , WALA HAKUNA SABABU YOYOTE YA KUMBAKISHA KAGASHEKi BUKOBA MJINI .
 
Hahahahaha umenifurahisha sana kwani umenikumbusha mbali sana. 2005 lwakatare ndiyo alikua anawadanganya wapiga kura wake eti kuleni pesa za kagasheki lakini kura mnipe mimi. Matokeo yake leo ni historia.... hahahahahahahahahahahahaha.
 
Kwenye hiyo orodha yako naomba nikwambie hakuna wa kusimika na kidume Balozi Kagasheki. Namba 1 alikua mwalimu pale Kahororo secondary, 2.Huyo Lwakatare kachoka kwenye siasa ni kama ganda la muwa hana jipya. Alipewa jimbo miaka 5 awamu ya pili wahaya wakafagia takataka jimboni. 3. Huyo simjui lakini hana hadhi ya kusimika na Mwanadiplomasia wa kimataifa Kagasheki kwani kwa hesabu ya harakaharaka naye anaonekana ni mwalimu. 4. Huyo valerian alikua ni Diaspora(mbeba box) nimeishi naye sana pale bukoba baada ya kutoka marekani 2008. Alikua Rastafari baadae akanyoa kamba zake ila Bangi akawa anapuliza kama kawa. Hana ushawishi wowote pale town zaidi ya kuonekana kama mpulizaji tu. Ndg siasa za bk ziache kama zilivyo. Kupigana na Kagasheki inabidi uwe na bajeti ya kutosha sana. Yaani ili umchomoe pale huyo Mzee huna Budi kutenga Ruzuku ya Chadema ya miezi 6. Atleast 1b.

Hao walevi wako nakuomba ukawashauri walau wagombee udiwani waende kwenye halmashauri wakapange maendeleo ya Kata zao lakini jimbo sio Size yao kabisa.

Mkuu unamwongelea Kagasheki yupi? Kama wa 2005 sawa lakini kama ni huyu wa leo mwepesi kuliko kawaida.Kama sheria ingekuwa inaruhusu mtu apigiwe kura ya ndiyo na hapana hata hiyo ingemshinda tu.

UMEJARIBU KUONESHA kuwa wengi wa waliotajwa ni walimu hoja yako hapo nini? Nakuakikishia kuwa kielimu kati ya wote Kagasheki hakuna hata mmoja anayemsogelea labda kidogo Valeliani.Hata uko kuwa kibarua kwenye ofisi za ubalozi wa TZ huko uswizi na yeye kujiita balozi ilikuwa ni kwa kujuana tu na familia za WAKUBWA,lakini jamaa kichwani mweupe kabisa.
 
We mpuuzi kabisa. Ile ni ofisi ya chama au ni ofisi binafsi? Au we ukipita pale ukaona Bendera ya chadema ndo unasema ni ofisi? Kama lwakatare ndivyo anawadanganya pole sana.

Mdogo wake lwakatare pale anapanga duka na ndani wanauza Pombe na viroba toka kitambo sana enzi za Cuf hadi leo. Pale lwakatare amekua akifanyia harakati zake toka miaka ya 2000 kipindi yupo cuf. Na sio ofsi rasmi bali ni ofisi binafsi na ni eneo la biashara la mdogo wake.

Ofisi za chadema zilikua hamgembe/kashabo wakati lwakatare yuko cuf. Njaa zilipo mkimbizia chadema akawa amefamisha na ofisi akapeleka kwake kibeta kwenye kontena....

Mkuu,
Mbona umepaniki sana? Umeisha enda kuuliza? Make mi nimekwambia nenda kaulize.Ni kweli inawezekana una historia nzuri na eneo hilo japo si kwa biashara ya viroba lakini si lazima kilichokuwa jana kiwe leo.KWA TAALIFA YAKO ZILE SASA NI OFISI ZA CDM HAYO MENGINE NI YA KWAKO.
 
Ndugu ofisi zipo,ukifika stand ya Bugabo kuelekea jengo la Rwabiz ulizia tu ofisi za CDM utaonesha .ni ofisi za kisasa kabisa na zimefunguliwa wakati wote.

Una wazimu wewe.Pale siyo ofisi za CDM ni jengo alilokuwa akilitumia Lwakatare katika harakati za siasa lakini hivi sasa ni maduka ya watu wengine na hivi sasa kuna saloon ya kike.nilipita hapo mwezi jana tu.

CHADEMA hili suala la ofisi linatuangusha sana mkubwa,tazama CUF wana ofisi yao pale uswahilini kwa nini chadema?
 
B1K6ipuIYAAq_3P.jpg

Kitaeleweka tu...

B1K341zCMAA_TJx.jpg
 
Bukoba ni wasomi, hawawezi.kukubali kuburuzwa na vilaza chadema
 
Back
Top Bottom