Kamanda Halima Mdee kutikisa Bukoba Mjini leo

Kamanda Halima Mdee kutikisa Bukoba Mjini leo

HISTORIA YA KURA ZA URAIS TANZANIA 1995 - 2010
Mwaka 1995 jumla ya kura za wapinzani zilikuwa 2,486,323, sawa na asilimia 38.17. Uchaguzi uliofuata wa mwaka 2000 wapinzani walipata jumla ya kura 2,309,123, sawa na asilimia 28.26 na kupungua zaidi mwaka 2005 walipopata kura 2,241,525 (sawa na asilimia 19.72. Mwaka 2010, upinzani ulipata kura 3,121,136. Ingawa kwa asilimia, kura hizo zilikuwa asilimia 37.16 pungufu ya asilimia za uchaguzi wa 1995, idadi ya kura za wapinzani ilikuwa kubwa kwa tofauti ya zaidi ya kura 700,000.

Kwa trend hiyo mwaka 2015 upinzani watashuka tena kwa takribani asilimia 13 au 11 kutokana na vurugu zilizosheheni katika chama cha Chadema na CUF. Zitto Kabwe na kundi lake na Hamad Rashid na kundile wote hawa watasababisha negative performance ktk matokeo ya ubunge na urais.

MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

UMETIA AIBU sana !
 
Ningetamani uwepo MDAHALO WA WENYEVITI WA WANAWAKE WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA' Hasahasa.. HALIMA MDEE vs SOPHIA SIMBA tuwapime na kutathmini uwezo na utayari wao wa kuwasaidia wakinamama wa Tanzania

sofia simba hatakubali hata umpe ml 100 kichuguu na mlima
 
Ningetamani uwepo MDAHALO WA WENYEVITI WA WANAWAKE WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA' Hasahasa.. HALIMA MDEE vs SOPHIA SIMBA tuwapime na kutathmini uwezo na utayari wao wa kuwasaidia wakinamama wa Tanzania

CCM walishapiga marufuku viongozi wao kufanya midahalo!
 
Mdee anayapandisha pressure sana maccm, nasikia Tibaijuka yupo hoii hajielewi

Ziara ya Mdee Bukoba, majibu yake tutayaona 2015. Na kwenye uchaguzi wa serikari ya mtaa Dec.

Yale mama ya maccm huwa hayana ziara eh!

Go on Mdee with ur time

Hujawajua watanzania wewe subiri uone balot box!
 
historia ya kura za urais tanzania 1995 - 2010
mwaka 1995 jumla ya kura za wapinzani zilikuwa 2,486,323, sawa na asilimia 38.17. Uchaguzi uliofuata wa mwaka 2000 wapinzani walipata jumla ya kura 2,309,123, sawa na asilimia 28.26 na kupungua zaidi mwaka 2005 walipopata kura 2,241,525 (sawa na asilimia 19.72. Mwaka 2010, upinzani ulipata kura 3,121,136. Ingawa kwa asilimia, kura hizo zilikuwa asilimia 37.16 pungufu ya asilimia za uchaguzi wa 1995, idadi ya kura za wapinzani ilikuwa kubwa kwa tofauti ya zaidi ya kura 700,000.

Kwa trend hiyo mwaka 2015 upinzani watashuka tena kwa takribani asilimia 13 au 11 kutokana na vurugu zilizosheheni katika chama cha chadema na cuf. Zitto kabwe na kundi lake na hamad rashid na kundile wote hawa watasababisha negative performance ktk matokeo ya ubunge na urais.

Mwenye macho haambiwi tazama! Kidumu chama cha mapinduzi

kachukue buku 7 yako kwa nape mkono upate kwenda kinywani
 
Huyu mama atachika mwenyewe! Watoto mtawapata halafu uchaguzi 2015 CCM ushindi 71 na UKAWA 29. Amini ama usiamini hayo ndo matokeo yenu.

CCM kwa ramli hamjambo! ndo maana mauaji ya albino hayakomi, bado mnaamini kwenye giza!
 
Halima Mdee anazidi kuwaonyesha wanawake wenzake njia mm naamini ukiwaelimisha wanawake 100 ni sawa umewaelimisha wanawake 1000 Halima tunakuombea MUNGU akulinde na kukuongoza daima ccm watajificha chooni kwa aibu
 
Chadema wapo karibu sana kuishinda ccm,hii ni nchi yetu sote......mkituibia safari hii....basi nasi tutaanza kuwaibia

Mwenyekiti Freeman Mbowe alishasema pale Mwanza kwamba kuendelea kulalamika kuibiwa kura ni uzaifu mkubwa,safari hii hatuibiwi kura sisi labda wao ndio wataibiwa! na wakiiba tunakulanao sahani moja mtaani
 
historia ya kura za urais tanzania 1995 - 2010
mwaka 1995 jumla ya kura za wapinzani zilikuwa 2,486,323, sawa na asilimia 38.17. Uchaguzi uliofuata wa mwaka 2000 wapinzani walipata jumla ya kura 2,309,123, sawa na asilimia 28.26 na kupungua zaidi mwaka 2005 walipopata kura 2,241,525 (sawa na asilimia 19.72. Mwaka 2010, upinzani ulipata kura 3,121,136. Ingawa kwa asilimia, kura hizo zilikuwa asilimia 37.16 pungufu ya asilimia za uchaguzi wa 1995, idadi ya kura za wapinzani ilikuwa kubwa kwa tofauti ya zaidi ya kura 700,000.

Kwa trend hiyo mwaka 2015 upinzani watashuka tena kwa takribani asilimia 13 au 11 kutokana na vurugu zilizosheheni katika chama cha chadema na cuf. Zitto kabwe na kundi lake na hamad rashid na kundile wote hawa watasababisha negative performance ktk matokeo ya ubunge na urais.

Mwenye macho haambiwi tazama! Kidumu chama cha mapinduzi
hizi hesabu za kuchakachua peleka msalani tupa kabisa kule lumumba.. Sasa hivi habari ya mujini ni ukawa 2015. Kwisha habari yenyu.
 
Huyu mama atachika mwenyewe! Watoto mtawapata halafu uchaguzi 2015 CCM ushindi 71 na UKAWA 29. Amini ama usiamini hayo ndo matokeo yenu.
Kama 2010 hizo asilimia hazikufika, 2015 zitafika? au ili mradi umeandika?
 
Ndio mulivyojipanga na wachina wenu muonyeni mwenyekiti wenu ataisia mitaroni na kuchomekwa majiti watanzania sio wale wa kale

CHADEMA Haihitaji kujipanga

Mdee mwenyewe kaingia na msafara wa harrier na ist! mmechoka vibaya maskini!
 
Kama 2010 hizo asilimia hazikufika, 2015 zitafika? au ili mradi umeandika?

Take this into record, hakika hazitazidi hapa! Mlianza vizuri mnamaliza vibaya na itakuwa aibu kwamba hata yale majimbo mliyokuwa mmechuka hamtayapata tena.
 
Sie wenyewe tunapenda njia zetu mzijue ili mjifunze kutowahadaa umma. Sisi ni watekelezaji ndo maana wananchi hutupigia kura nyingi za kishindo. Hapa Kagera chini ya REA tumepeleka UMEME hadi ngazi ya kitongoji sasa wewe Chedema utawaambia nini wahaya wakuelewe?

NGUVU YA CCM NDO UIMARA WA NCHI!
CCM mna mapato gani ya kupeleka umeme? Sema serikali kupitia kodi wanazokusanya toka kwa watu hata wasiokuwa CCM
 
Sie wenyewe tunapenda njia zetu mzijue ili mjifunze kutowahadaa umma. Sisi ni watekelezaji ndo maana wananchi hutupigia kura nyingi za kishindo. Hapa Kagera chini ya REA tumepeleka UMEME hadi ngazi ya kitongoji sasa wewe Chedema utawaambia nini wahaya wakuelewe?

NGUVU YA CCM NDO UIMARA WA NCHI!
Hizo hadaa za kutumia kodi zetu na kusema TUME------- hatudanganyyiki poleni mijizi!!
 
Hivi kule Bukoba,ofisi za CHADEMA mkoa wa kagera zipo sehemu gani? ndugu RWAMAIGI nasikia hawana ofisi wanakutana bar ni kweli?

Ofisi zao zipo kwenye kontena la kusafirishia mizigo pale kibeta kandokando ya barabara kuu opposite na kwa Rwakatare m-Tiss wa chadema. Yaani ukiiona hata kama wewe ni mwanachama utaona aibu. Wanashinda vijana pale wanakunywa viroba vya EMPIRE kutoka uganda. Wapinzani wa kweli tanzania hawajazaliwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom