kbmk
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 776
- 158
Mie simo asilie mtu tu CCM ilikua ipigwe kuleeee lkn wakapigwa watu ngoaja tuone tutakao jaaliwa kufika 2015.
baada ya kuju a hilo 2015 ni ama zao ama za wananchi period hatuwezi kuachia nchi michwa wajaze matumbo yao na wana wao, wake zao koo zao tunapitwa kimaendeleo hata nchi zilizokuwa vitani kwa uroho wa MACCM