Kamanda Freeman Mbowe kusimamia changisho la M4C leo serena hotel...

Status
Not open for further replies.
Subiri sasa hao pro-ccm wengine wanakula mchana lakini pia jioni kwenye uji na tambi wapo pia. waje waanze kumwaga ***** wao hapo
 
haukulazimishwa kuchangia ilikuwa ni hiari yako sasa hayo yote yametoka wapi?wewe unadhania hicho ni chama cha ushirika hadi usomewe mapato na matumizi au SACCOS?Nafikiri we ni GAMBA MVAA GWANDA HAWEZI KUULIZA HUO UPUUZI kwani kuna mambo mengi ambayo yanahitaji hela kukiendesha na kukiimarisha chama.Je unajua bei ya lita moja ya diesel au petrol?sasa unadhania uhamasishaji wa chama maeneo mbalimbali ya NCHI watu wanaendaga kwa miguu,wanakula mawe au wanalala juu ya miti?
 
tulisikia Lema yupo Uingereza na Germany,karudi lini,anyway hiyo ni habari nzuri
 
Peopleeeeeeeeee's kwa kweli nawatakia mema sana viongozi na wanachama wa CDM, kwa mikakati yao endelevu ya kuleta mabadiriko ya kweli kwa Watz ambao kila kukicha ni afadhali ya jana, chini ya uongozi wa CCM, asilimia kubwa ya watanzania wanaishi kama digi digi, hawana uhakika na kesho yao , kinachopatikana leo chote kinaisha leo hii na wengine hawana ukakika na kesho yao, maisha yamekuwa magumu kuliko kawaida, migomo kila sehemu japo wengine tunaogopa kupelekwa mabwepande kwa kuwa tuko chini ya uongozi wa ki-Dictator,CCm inatia kichefuchefu kabisa, leo nitahakikisha kipindi hiki hakipiti bila kukifuatilia, shame on u ccm,
 
Baada ya Lema kukosa posho ameamua kubuni mradi wa kuwarubuni watanzania na Movement 4 Chaga. Watanzania tuamke, hao ni wezi watupu.
 
Baada ya Lema kukosa posho ameamua kubuni mradi wa kuwarubuni watanzania na Movement 4 Chaga. Watanzania tuamke, hao ni wezi watupu.

Usiwe na siasa za ukabila/ubaguzi ndugu,sidhani kama wana CDM wa Kilombero na maeneo mengine walioipokea M4C kwa maelfu ni wachagga tu,watu wanahitaji mabadiliko
 
only83
Acha kupotosha lengo la harambee hiyo. Tunajua kuwa harambee hiyo inahusu kuandaa mapokezi ya ULIMBOKA ikiwa ni pamoja na kuchangia utengenezaji wa kanda yenye upotoshaji kuwa Serikali ndiyo iliyohusika na Utekaji.

Huwezi kuubadilisha ukweli kuwa ikulu inahusika na Ulimboka. Mnasemaje kuhusu Mahalu?
 
Last edited by a moderator:
Msikose kuangalia vuguvugu la mabadiliko kupitia Star Tv leo saa tatu usiku. Lengo ni kuchagisha 5 bil.

M4C Dar es salaam, We have the power. 5 Bil inawezekana
plz henry,kama chama tizameni uwezekano wa kuwa na chadema tv' na chadema fm radio,kwanza mtazarisha ajira kwa vjana pili mtatupasha habari kwa uhakika pia ni kitu kinachowezekana coz vjana wengi wa chadema ni wasomi na dunia sana inaelekea ktk digital na hapo M4c itakuwa rahisi kuelekea 2015 tusiogope 2naweza,jioni nitatizama pamoja na familia yangu.
 
Hii imekaa njema, 5 bil ni silaha tosha kwa magamba na washirika+vibaraka wake. Viva CHADEMA...

Tulianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU.
 
plz henry,kama chama tizameni uwezekano wa kuwa na chadema tv' na chadema fm radio,kwanza mtazarisha ajira kwa vjana pili mtatupasha habari kwa uhakika pia ni kitu kinachowezekana coz vjana wengi wa chadema ni wasomi na dunia sana inaelekea ktk digital na hapo M4c itakuwa rahisi kuelekea 2015 tusiogope 2naweza,jioni nitatizama pamoja na familia yangu.
Mkuu, hapo nilipoBOLD sahau kabisa hicho kitu! Serikali ya CCM hawawezi kuruhusu hicho kitu hata siku moja.
So usione kama CDM hawataki hicho kitu ila wanajua au walishajua kuwa hicho kitu ni vigumu kutokea kwenye
serikali hii ya wachumia tumbo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom