Kamanda Freeman Mbowe kusimamia changisho la M4C leo serena hotel...

Status
Not open for further replies.
M4C ni mpango wa kuwaibia wananchi wa Tanzania.
Hiyo nyekundu hapo juu ni msisitizo kuwa umesahau kwa makusudi kuwa wizi unaofanywa na mafisadi wa ccm kwa njia ya wawekezaji feki huuoni. Kaa hivyo hivyo. Nina hakika baada ya 2015 utafaidika na matunda ya Mpango wa M4C. Hapo ndipo utakosa la kusema. VIVA MC4. DOWN MAGAMBA
 
Go Go Go Chadema! 4 sure half of my salary ni naichangia M4c kama nilivyotuma kwa Arusha m.pesa kama kawaida.
 
Arusha Mambo itarusha matangazo ya moja kwa moja ya tukio la M4C Dar litakalokuwa linafanyikia katika Hotel ya Serena kuanzia Saa Mbili Usiku saa za Afrika ya Mashariki, matangazo hayo licha ya kuwasaidia wanaokaa nje ya Tanzania kufuatilia yatakayokuwa yanajiri pia yatawanufaisha Watanzania wote ambao kutokana na maeneo waliyopo hawapati matangazo ya Star TV

Ili kusikiliza bonyeza hapa:
http://tunein.com/tuner/?StationId=158711&

Redio ikifunguka usiache ku
LIKE

na kutuma maoni yako kwa
info@arushamambo.com
 
only83
Acha kupotosha lengo la harambee hiyo. Tunajua kuwa harambee hiyo inahusu kuandaa mapokezi ya ULIMBOKA ikiwa ni pamoja na kuchangia utengenezaji wa kanda yenye upotoshaji kuwa Serikali ndiyo iliyohusika na Utekaji.
Watu wa aina yako ndio walioifikisha nchi hii katika dimbwi la umaskini uliokithiri. Wewe ni mmojawapo wa waliolishwa limbwata la chama cha mafisadi (ccm). Endelea kulalama, M4C inakuja na haina tena wa kuizuia. Kajinyonge tu.
 
Mimi ninegependa sana kuwauliza viongozi wa Chadema swali hili.. Kwa nini vikao kama hivi visifanyike baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhan? kuna tatizo gani kama Harambee hii itafanyika baada ya Ramadhan?..
 
Mimi ninegependa sana kuwauliza viongozi wa Chadema swali hili.. Kwa nini vikao kama hivi visifanyike baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhan? kuna tatizo gani kama Harambee hii itafanyika baada ya Ramadhan?..
Kuna tatizo gani vikifanyika ndani ya ramadhani...
 
only83
Acha kupotosha lengo la harambee hiyo. Tunajua kuwa harambee hiyo inahusu kuandaa mapokezi ya ULIMBOKA ikiwa ni pamoja na kuchangia utengenezaji wa kanda yenye upotoshaji kuwa Serikali ndiyo iliyohusika na Utekaji.

Kama mada hiyo itakuwepo itakuwa vizuri pia, kwani wewe usingependa CD ya kuelezea jinsi walivyo mtesa Dr Ulimboka.
 
Uzuri tunakujua weye hata ubadili majina kila siku na kujiita madivi....akili zako za masaburini hazibadiliki hata siku moja !! Njaa zako ndiyo zinakuponza baba zima unakubali kuolewa na mafisadi kisa tupesa twa kukuwezesha kubwia madudu...


Yaani film ndo ziratibiwe na Wanaharakati, SAID KUBENEA na REGINARLD MENGI? nini kimejificha nyuma ya pazia? kwa nini wale waliokuwa wakiizushia Serikali kuwa ndiyo imehusika ndiyo hao hao wanaoandaa film hiyo na mapokezi ya Ulimboka? Watanzania wenzangu nadhani tuna jambo la kujifunza hapa. CDM si chama cha Siasa, Hellen Kijo Bisima siyo mkurugenzi wa Kutuo cha haki za binadamu, Ananilea Nkya siyo Mwenyekiti wa TAWLA. Hao ni hatari sana kwa mshikamano, amani na utulivu wa Taifa letu. Lazima tujifunge vibwebwe kuhakikisha hatuliingizi taifa katika machafuko kwa sababu tu ya uchu wa madaraka, wivu wa kishenzi na Ukabila ulioota mizizi. 2015 bila ZITTO, CDM ifie mbali huko.
 
Nendeni mkatoe michango yenu, siyo muishie kubwabwaja tu humu. Na tuone mnachangia live kutoka serena hotel.
 
Wadanganyeni wale wanaowachangia fedha kwa ajili ya kushibisha matumbo yenu bwana. Matumizi mabaya ya fedha za chama, Ukabila na sera kandamizi ndiyo moyo walio nao?

Ni kweli ,lkn za kwako zimewekwa uswisi bila wewe kujua kuwa unadanganywa na watawala kuwa nchi ni maskini kumbe mafisadi yamekatiwa cha juu kutokana na maliasili zetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom