PostGE2025 Kama ya Chande ilivyofeli ndivyo hii Tume mpya itafeli

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama ambavyo tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025 ilivyofeli nayo hii tume mpya itafeli kwa sababu uongo lazime ufeli sehemu ambapo ukweli unajulikana.

Tunajua ukweli kwamba mambo yote haya kama maandamano yamesababishwa na wahuni kuwa madarakani kwahiyo chochote mtakachokifanya kitafeli kwa sababu kwa yale mauaji na maovu yote kama utekaji Nk mmelaaniwa.

Uzuri ni kwamba mwisho wa siku waovu watasabambarika na kuanguka kwa sababu Mungu anaipenda nchi hii.

Mwishowe kama mnataka kuiua CHADEMA hamtaweza kwa sababu CHADEMA ni mpango wa Mungu na inalindwa na Mungu.
Amefika mwisho, kinachofuata ni anguko kuu.
IMG-20260519-WA0000.jpg
 
relax gentleman hakuna haja ya kuweweseka, watafikiwa tu viongozi wako na mkono wa sheria 🐒
Hii serikali haina uwezo huo kwa sababu kwanza imelaaniwa kwa hiyo haitafanikiwa kwa hila zake pia kuwagusa wapinzani unatafuta ugomvi na nchi zenye nguvu na Mungu kwa hiyo kwa hali yoyote kidiplomasia na kiMungu hamuwezi kufanikiwa na haya yote ni kuelekea anguko la serikali hii haramu.
 
uataanguaka mwenyewe tu gentleman tena kwasababu ya ulofa wako nonsense tu
Mimi siwezi kuanguka kwa sababu sina laaana ya kuuawa watu,kulawiti na kuteka watu,ufisadi Nk.ni suala la muda tu kama ambavyo utawala wa Magufuli ulivyoanguka.
 
Kama ambavyo tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025 ilivyofeli nayo hii tume mpya itafeli kwa sababu uongo lazime ufeli sehemu ambapo ukweli unajulikana.

Tunajua ukweli kwamba mambo yote haya kama maandamano yamesababishwa na wahuni kuwa madarakani kwahiyo chochote mtakachokifanya kitafeli kwa sababu kwa yale mauaji na maovu yote kama utekaji Nk mmelaaniwa.

Uzuri ni kwamba mwisho wa siku waovu watasabambarika na kuanguka kwa sababu Mungu anaipenda nchi hii.

Mwishowe kama mnataka kuiua CHADEMA hamtaweza kwa sababu CHADEMA ni mpango wa Mungu na inalindwa na Mungu.
Nia Yao ni kuwayumbisha chadema, kupiga hela na kuficha dhambi zao
 
Hii serikali haina uwezo huo kwa sababu kwanza imelaaniwa kwa hiyo haitafanikiwa kwa hila zake pia kuwagusa wapinzani unatafuta ugomvi na nchi zenye nguvu na Mungu kwa hiyo kwa hali yoyote kidiplomasia na kiMungu hamuwezi kufanikiwa na haya yote ni kuelekea anguko la serikali hii haramu.
tuliza mihemko na kuweweseka kindezi hivyo gentleman na ramli zako nonsense :pedroP:
 
Mimi siwezi kuanguka kwa sababu sina laaana ya kuuawa watu,kulawiti na kuteka watu,ufisadi Nk.ni suala la muda tu kama ambavyo utawala wa Magufuli ulivyoanguka.
baki na ushirikina wako useless basi huko kwenu na sio kumbwelambwela nonsense jukwaani
 
Sasa mimi ninaushirikina gani, siui watu siteki watu Nk hayo mambo mliyofanya yamewapa laana na hamtaki kutubu kama wewe ni mmoja wapo katubu ili usianguke pamoja na huu utawala uliolaaniwa.
 
Nawaonea huruma hao wazee wakitoa report yao vijana wataenda nao sambasamba bora wajitoe tu kuliko kudharirika bure hapo baadae..
 
Back
Top Bottom