Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,491
- 40,508
Tuko huru tangu 61Zunguka mitaani bila direction uambiwe gaidi
Shule mnafungua Lin!!!?zunguka zunguka uwe bize
Uko na mwenzako hapo?Wamekusikia.
Mnatakiwa mfurahie maishaMbona kama unatufokea
Hivyo viungo havikuwekwa kama pambo mkuuKatika maisha kila mtu ana vipaumbele vyake. Kama wewe umeona kuwa na mpenzi ndio jambo la muhimu ni sawa hakuna anaetakiwa kukupangia. Ila watu watakushangaa kwanini unaona kuwa mtu mwingine kutokuwa na mpenzi ni jambo la ajabu.
Kupanga ni kuchagua. Kila mtu afanye anachotaka wakati naotaka.
Kwa nini mkuuUnafikiri kila mtu anawaza ngono tu kama unavyoweza wewe???
Kuwaza waza mapenzi ndio shida na matatizo ,
Unatakiwa ufurahie maishaTusifundishane namna ya kuishi tafadhali.