Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,314
- 40,156
Kama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25 hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko mtaani, utapata wa kukuweka bize.
Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa. Usitegemee yakufuate hapo mezani
Chakarika.
Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa. Usitegemee yakufuate hapo mezani
Chakarika.