Basi nitakuwa naijua ila najisahaulisha!!Tarehe haifichiki rafiki... Ipo wazi kabisa!
Hebu niambie kigezo namba moja cha kuwa mchaga jamani!
EwaaaaaBasi nitakuwa naijua ila najisahaulisha!!
Kigezo cha kwanza ;pale pindi uonapo pesa popote lazima akili iruke kidogo na uitamani kuipata
Kweli naijua kabisa!!!Ewaaaaa
Unaijua kabisa, acha kujisahaulisha!!
Sasa huko ndo kuanza wizi rafiki!
Hahaha hahaha hahahaKweli naijua kabisa!!!
Kupenda pesa na kuijua si mwanzo wa wizi rafiki!!
Lazima ukiiona ushtuke na si kufanya umeizoea pesa! !
Ndio nimeshaanza kukufundisha hivyo rafiki!!!Hahaha hahaha hahaha
Naomba unifundishe basi rafiki
Hahaha hahaha hahahaNdio nimeshaanza kukufundisha hivyo rafiki!!!
Ila naona kabisa una baadhi ya sifa za kuwa Mchaga kamili.
Nami ni mkulima pia! ! Yan usiogope wewe anza tu kuitamani pesa...Kwa uchumi wetu ulivyo mkulima ndiye anapaswa kuwa tajiri ujue!!Hahaha hahaha hahaha
Sasa nikiitamani hiyo hela, mimi ni mkulima naweza vipi kuipata?!
Labda sababu niko kwao, ila huku kwao mbona hawapo?!
Basi wacha nibananishe haya mahindi yakuwe mengi...Nami ni mkulima pia! ! Yan usiogope wewe anza tu kuitamani pesa...Kwa uchumi wetu ulivyo mkulima ndiye anapaswa kuwa tajiri ujue!!
Sijakuelewa "kwao mbona hawapo"!?
Bananisha kadri uwezavyo!!Basi wacha nibananishe haya mahindi yakuwe mengi...
Huku kwao siwaoni wakuitwa wachaga kabisa, kwenye nalima hakuna hata mmoja!
Hahaha hahaha hahahaBananisha kadri uwezavyo!!
Kwani Wanakaaga sehemu moja hao! ?Wengine wametoka wapo mpaka Ntwara hukooo!!!
Problem solver[emoji122]Namwita huyo wa mbele! Tubadilishane tuu
Kama ndio dawa ya mgonjwa utafanyajeNamwita huyo wa mbele! Tubadilishane tuu
Haiwezekani ikawa dawa mkuuKama ndio dawa ya mgonjwa utafanyaje
Inawezekana sana tu.Haiwezekani ikawa dawa mkuu
Basi ni wewe!Inawezekana sana tu.
Mimi mwenyewe nikipewa huduma na nesi mzuri aliyevaa nguo fupi huwa naondoka hospitali nikiwa na nguvu mpya
Akili zetu sio sawa na za kwenu mkuuBasi ni wewe!
Ila kama dawa ni kuchungulia huyo mgonjwa ako na maybe mke, mpenzi au mchumba!
Awachungulie hao apone
Mnaziendekeza tuu, hakuna jipya hapo!Akili zetu sio sawa na za kwenu mkuu
Kwa mwendo huu wewe ungetuulia mgonjwa [emoji38]Mnaziendekeza tuu, hakuna jipya hapo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapanua aone vizur