Kama wewe ni nurse ungefanyaje?

Kama wewe ni nurse ungefanyaje?

Tarehe haifichiki rafiki... Ipo wazi kabisa!

Hebu niambie kigezo namba moja cha kuwa mchaga jamani!
Basi nitakuwa naijua ila najisahaulisha!!

Kigezo cha kwanza ;pale pindi uonapo pesa popote lazima akili iruke kidogo na uitamani kuipata
 
Basi nitakuwa naijua ila najisahaulisha!!

Kigezo cha kwanza ;pale pindi uonapo pesa popote lazima akili iruke kidogo na uitamani kuipata
Ewaaaaa
Unaijua kabisa, acha kujisahaulisha!!

Sasa huko ndo kuanza wizi rafiki!
 
Ewaaaaa
Unaijua kabisa, acha kujisahaulisha!!

Sasa huko ndo kuanza wizi rafiki!
Kweli naijua kabisa!!!

Kupenda pesa na kuijua si mwanzo wa wizi rafiki!!

Lazima ukiiona ushtuke na si kufanya umeizoea pesa! !
 
Ndio nimeshaanza kukufundisha hivyo rafiki!!!

Ila naona kabisa una baadhi ya sifa za kuwa Mchaga kamili.
Hahaha hahaha hahaha
Sasa nikiitamani hiyo hela, mimi ni mkulima naweza vipi kuipata?!

Labda sababu niko kwao, ila huku kwao mbona hawapo?!
 
Hahaha hahaha hahaha
Sasa nikiitamani hiyo hela, mimi ni mkulima naweza vipi kuipata?!

Labda sababu niko kwao, ila huku kwao mbona hawapo?!
Nami ni mkulima pia! ! Yan usiogope wewe anza tu kuitamani pesa...Kwa uchumi wetu ulivyo mkulima ndiye anapaswa kuwa tajiri ujue!!

Sijakuelewa "kwao mbona hawapo"!?
 
Nami ni mkulima pia! ! Yan usiogope wewe anza tu kuitamani pesa...Kwa uchumi wetu ulivyo mkulima ndiye anapaswa kuwa tajiri ujue!!

Sijakuelewa "kwao mbona hawapo"!?
Basi wacha nibananishe haya mahindi yakuwe mengi...

Huku kwao siwaoni wakuitwa wachaga kabisa, kwenye nalima hakuna hata mmoja!
 
Basi wacha nibananishe haya mahindi yakuwe mengi...

Huku kwao siwaoni wakuitwa wachaga kabisa, kwenye nalima hakuna hata mmoja!
Bananisha kadri uwezavyo!!

Kwani Wanakaaga sehemu moja hao! ?Wengine wametoka wapo mpaka Ntwara hukooo!!!
 
Inawezekana sana tu.

Mimi mwenyewe nikipewa huduma na nesi mzuri aliyevaa nguo fupi huwa naondoka hospitali nikiwa na nguvu mpya
Basi ni wewe!
Ila kama dawa ni kuchungulia huyo mgonjwa ako na maybe mke, mpenzi au mchumba!
Awachungulie hao apone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom