Kama wewe ni nurse ungefanyaje?

Kama wewe ni nurse ungefanyaje?

Napendekeza manesi na madaktari wote wa kike wawe wanavaa kiheshima ili kuepusha hayo yote.
Wanavaa kwa heshima sana tuu!
Shida ni watu kama wewe apo, siku zote kitu ambacho ukifanyiwa hutaweza kuvumilia kamwe usimfanyie mwingine!
 
Hahaha hahaha
Na joto hilo wanaficha nini eti!
Unapomtamani fikiria kwamba nae ana mtu wake, na mkeo pia wanamtamani hivyo hivyo
Mavazi ndio huchangia haya mambo mkuu
Ukivaa kistaha wanaume tutaishia kusema kimoyomoyo "huyu dada ni mzuri", ila ukivaa kama huyo hapo kwenye picha tamaa zetu huamka papo hapo!
 
Mavazi ndio huchangia haya mambo mkuu
Ukivaa kistaha wanaume tutaishia kusema kimoyomoyo "huyu dada ni mzuri", ila ukivaa kama huyo hapo kwenye picha tamaa zetu huamka papo hapo!
Acha tamaa!
Hiyo ni picha tuu ila kiuhalisia hakuna nurse anayevaa fupi kama hiyo!
 
Acha tamaa!
Hiyo ni picha tuu ila kiuhalisia hakuna nurse anayevaa fupi kama hiyo!
Aisee! Kuna ambao wanaacha mapaja yao nje huku yakiwa yanametameta mpaka unawaza kusahau kilichokupeleka hospitali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom