Kama wewe ni nurse ungefanyaje?

Kama wewe ni nurse ungefanyaje?

Hahaha hahaha hahaha
Umaenipata too late sana rafiki....

Habari za mazoezi lakini
Hahah ndio nimetoka kukimbia muda si mrefu!!!

Hujui tu jinsi gani nilivyokutafuta bila mafanikio,nadhani tulikuwa tunapishana labda! !

Nikakumiss!!
 
Hongera kwa mazoezi, kama kweli lakini!!!

Sijakuona siku nyingi nikajua unafuturu kwa wenzetu eti!!
Tulikuwa tunapishana humu tuu rafiki..

Nilikumiss pia rafiki
 
Hahaha au unahisi bado niko kwa bed!??

Mh!!kufuturu nilishakuahidi mwisho ilikuwa wiki ileee na sitaenda tena! !!

Ikawa kila nikiangalia humu naona alama kwamba ulipita maeneo
 
Hahaha au unahisi bado niko kwa bed!??

Mh!!kufuturu nilishakuahidi mwisho ilikuwa wiki ileee na sitaenda tena! !!

Ikawa kila nikiangalia humu naona alama kwamba ulipita maeneo
Hahaha hahaha hahaha
Wewe utakuwa kwa bed tuu aki...

Kama uliweza kuacha hongera sana jamanii!

Ukiona alama wewe niguse bega nitageuka rafiki!
Si unajua tunatakiwa tuende kasi tuanze kukopeshana zile M.6
 
Hahaha basi nitakuwa naleta ushahidi wa kapicha maana huniamini!!

Asante sana aisee!!Mwezio kweli nimeaacha vingi tu ipo siku utaamini..

nilikushika Bega hukugeuka ujue!!

Hahah Soon tutafika huko! !Au tufungue ka Sacco ketu kadogo!??

Huu Mwezi wa sita kwenye birthday yako nina bonge la zawadi ujue!!
 
Hapo kwenye ushahidi ndo pazuri sana rafiki..
Kwa kweli kama umeweza kuacha vingi nakupongeza sana rafiki!

Naomba tukianzisha ka Sacco niwe natunza hela mie! Mie mvumilivu sana ujue!!

Samahani maybe sikusikia ulivyonigusa bega jamani!! Uwe unanipiga na kibao kabisa ukiona sigeuki!!

Zawadi napokea kwa moyo mmoja, kuanzia tarehe 1 June!
 
Hawa ndio wale wakifikishwa hospitali manesi nao wanawafanyia mapuuza. Yani anaumwa pressure anapewa vidonge vya kutibu kaswende. Hapo ndipo tunasema NGOMA DROO.
 
Hapo kwenye ushahidi ndo pazuri sana rafiki..
Kwa kweli kama umeweza kuacha vingi nakupongeza sana rafiki!

Naomba tukianzisha ka Sacco niwe natunza hela mie! Mie mvumilivu sana ujue!!

Samahani maybe sikusikia ulivyonigusa bega jamani!! Uwe unanipiga na kibao kabisa ukiona sigeuki!!

Zawadi napokea kwa moyo mmoja, kuanzia tarehe 1 June!
Naanza kuandaa folder sasa.

Mh wewe ni mchaga rafiki! ? Ila usijali utatunza tu hizo pesa

Mwisho wa kupokea zawadi ni June ngapi??
 
Hahaha hahaha hahaha...
Yaani mecheka rafiki, kwani mchaga tuu apenda hela jamani?!
Nitatunza mimi ila namba ya siri uwe nayo wewe!!

Mwezi wote wa June napokea zawadi, wale atakaocheleweshewa salary mpaka July mwanzoni pia nitapokea zawadi!
 
Sisi Wachaga tunaipenda pesa..Ila hapo kwenye namba ya siri umenifurahisha zaidi!!!

Sasa sìsi tusio na uelewa wa hata hilo neno" Salary"mwisho wetu kutoa zawadi lini? ??
 
Sisi Wachaga tunaipenda pesa..Ila hapo kwenye namba ya siri umenifurahisha zaidi!!!

Sasa sìsi tusio na uelewa wa hata hilo neno" Salary"mwisho wetu kutoa zawadi lini? ??
Hahaha hahaha hahaha
Kumbe we mchaga jamani, huwa napenda sana mnavyoitafuta hela!

Rafiki ujue una utani mwingi eeeh, nyie mwisho wa mwezi wa sita sio mbaya!
 
Hahaha mwanzo sikuwa Mchaga nimebadili kabila juzi tu hapa! !

Sio utani rafiki au sisi ni wale special case enhe!?

Hivi wewe ni June 6 ama 7???
 
Itabidi na mie nibadili rafiki, ili twende sawa!

Ni June rafiki!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom