Kama wewe ni mwanamke mtu mzima, miaka 40-48 nakuhitaji

Kama wewe ni mwanamke mtu mzima, miaka 40-48 nakuhitaji

mume wangu umefuata nini huku kwenye nyumba ya siri? au nawe wataka kutangaza kama mwenzio hapa

hayaaa rudi home haraka toka huku
Natafuta dogo dogo make masharti yako ni mengi mno, dah kama ya mganga wa kienyeji? Lol!
 
Kama unamaisha mazuri na ya kueleweka sugarmamies wakazi gani? Funguka bro. Jipange
 
Naona unatafuta sugar mamy

Sitafuti sugar mammy jamani, nayamudu maisha yangu, Nahitaji mwanamke mwenye utulivu, aliefanya yote akaamua kutulia.
Kwa kifupi Nimechoka sana kusumbuliwa na watu wa rika la chini. Niko tayari kumlea na kumhudumia mradi maelewano yawepo, sitaki pasua kichwa alieshindikana.
 
Kama unamaisha mazuri na ya kueleweka sugarmamies wakazi gani? Funguka bro.ipange
Sielewi mliocoment mna umri gani ila katika Mapenzi kuna vingi anavyopitia mtu vinavyoweza kumchosha na kumfanya atamani vitu ambavyo hakuwazia mwanzo.
Nina marafiki zangu wenye mahusiano kama haya Niliowaona na kuridhika kuwa wanayafurahia mahusiano baina yao na wapenzi waliowazidi.
Nimeona wanawake wa umri huu wana hekima, busara na uzoefu unaoweza kukupa mtu hamu ya kuendelea kupenda na kumng'ang'ania mtu, sipendi kuelezea zaidi.
 
heeeeeeeeeeeee! mm tena huyo!!!!!!

wakati wewe ndo ulinipa mashiarti kibao leo umegeuza kibao kwangu jamani
hebu ondoka huku sipendelei wewe udhuru huku hakukufai kabisa
pls ondoka
Natafuta dogo dogo make masharti yako ni mengi mno, dah kama ya mganga wa kienyeji? Lol!
 
Back
Top Bottom