Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,580
Dah! Maswali mengine marahisi sana lakini magumu! Nikulambe au unilambe? Labda sijakuelewa!
Hahhhahhha akulambee weweeee kataa mwayaaaa
Dah! Maswali mengine marahisi sana lakini magumu! Nikulambe au unilambe? Labda sijakuelewa!
size yetu wamechakaa na engine mbovu kuliko wakubwa wa miaka hiyo!Kwanini aliyekuzidi umri?
Hahhhahhha akulambee weweeee kataa mwayaaaa
size yetu wamechakaa na engine mbovu kuliko wakubwa wa miaka hiyo!
Haya, huyu anapishana na kauli mbiu..''MICHEPUO NOMA BAKI NJIA KUU''
Yesu Rudi Basiiiii
Yesu Rudi Basiiiii
bwana aje baada ya huyu kupata raha mbona unawivu wewe
Hahahahahaha. haya bwana.bwana aje baada ya huyu kupata raha mbona unawivu wewe
mzinzi mkubwa wewe, kumbuka kuna ngoma!
dah ilibaki kidogo tu!
Kweli mzinzi huyo, kama
mkewe kakataa kumpa vitu anavyohitaji basi ujui vitu hivyo ni vya ki
sodoma na gomora, ogopa kimbia dhambi!
Mimi ni kijana wa miaka 35, Nimejiajiri, na nayamudu maisha yangu.
Kipato changu ni cha wastani na nashukuru maisha yangu si mabaya.
Natafuta mwanamke mwenye umri huo, mwenye moyo mpweke anaehitaji faraja na upendo.
Sitapenda kujua kama ameolewa au lah lakini nachojali ni furaha tutakayoshare tukiwa wawili.
Awe na appetite ya kufanya mapenzi na asiwe muoga wa kuniambia anachohitaji nimtimizie chumbani au ambacho anatamani tujaribu.
Nataka mtu anaetamani to have fun na Mwanaume.
Napenda kutoka out, Kuogelea, Sinema tukiwa wawili na mengine tutazungumza baada ya kuonana.
Ambae yuko interested ani PM.
??????????????? Aisee
??????????????? Aisee
Mkuu vipi ?!....ongea ....au tayari ushapata brein konkasheni?lol
Wakati wengine
wanaona kero kila siku kubugia madonge ya ARV....wengine wanautafuta
UKIMWI kwa nguvu....