Na Mimi Niko Na Nyie Please, Nimesoma Education Lakn Ualimu Noma, Bora Kujiajili
Mimi nina NGO inahusu mambo ya afya, mnaonaje tuungane halafu tuombe ruzuku USAID au Global Fund ili kukabiliana na changamoto mbalimbali.
Kila la heri, ila inabidi mpigane sana maana hizo hela za USAID huwa hazitoki kienyeji. Halafu kingine jitahidi hata kama mnapata roho ya kifisadi angalau 70% ya hiyo hela ifanye kazi iliyokusudiwa.