Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
ok,lets pray to God,tukiwa serious tutafanikiwa mkuu
Wazo lako ni zuri,
Wazo lako ni zuri,
GraduateView attachment 163025
Haya wakuu
Mimi nina NGO inahusu mambo ya afya, mnaonaje tuungane halafu tuombe ruzuku USAID au Global Fund ili kukabiliana na changamoto mbalimbali.

inabidi tuandike mradi unaohusu kuzuia maambukizi ya ukimwi kwa mabaamedi kwa kutoa elimu ya ukimwi na kuwapatia kondomu