Kama wewe mbabe chagua hapa

Kama wewe mbabe chagua hapa

joanah kwani mbinu za ubabe huwa zinaanzia wapi, aliyekut*ngoza kwa mara ya kwanza alianzia wapi au ilitokea tu mkakutana mkafahamiana basi alianzaje hapo ndio kuna utofauti watu hawalingani

Yeye alikuwa ananiona kila siku ...ilikuwa rahisi kwake
 
joanah kukuona kunatumika ubabe, unaambiwa uje mlimani city kama uko dar kuna zawadi yako ukachukue popote pale au nakuita kwa njia yoyote ile kwa kutumia ubabe wa kubembeleza au vyvyote vile au naweza nikashindwa yote sawa tu

Dah!halafu hapo kwenye zawadi sijui umejuaje manake ndio ugonjwa wangu

Yani mtu akinambia ana zawadi yangu niende sehemu fulani nichukue lazima niende

Japo ni kwa mtu nayefahamiana nae
 
Kwani F ndo mwisho mkuu au list itaendelea kwa maana mmmmh
Efratha255 Kuna namba ambayo unaijua ila haiko hapo, kwa leo tupo kwenye namba hizo hapo. ahtuwezi kuweka flat screen hapo ipo kwenye group lingine ambalo tutaliweka wiki ijayo
 
Kwangu mm A na C.. Always wembamba wanatishaga kwenye 18.. watamu balaa.. wepesi kuruka viuno kama feni.. A na C..
 
Back
Top Bottom