Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,044
- 110,584
Ohhhh.....🤔Baada ya kutoka JKT. Sio leo wala kesho mkuu.
Kuna kipindi fulani inabidi tukipitie kwanza humu jukwaanj
Basi sawa mkuu...🍻
Ohhhh.....🤔Baada ya kutoka JKT. Sio leo wala kesho mkuu.
Kuna kipindi fulani inabidi tukipitie kwanza humu jukwaanj
😁😁 Weye uje tuu, unataka ya 2009 au ya 2016 nikutajie ..alf nimeisahau ile I'd yako ya zamani hebu nitajie kwanza😅😅 huu muandiko sio wa joined Thursday akiiii
😅 akili mnemba effects
ilokua active twent fo seven👌😅😁😁 Weye uje tuu, unataka ya 2009 au ya 2016 nikutajie ..
Ebo!😂
hata mie hiyo nimeisahahu baada ya kutoka likizo ya mda mrefu😁😁.ilokua active twent fo seven👌😅
looooh 😅hata mie hiyo nimeisahahu baada ya kutoka likizo ya mda mrefu😁😁.
Likizo zetu za milimani kule zinaondoa na kumbukumbu. Nikawakumbuka wakuu wangu, ila soon tunarudi mlimani nitarudi official December
Fungua tuyajenge.alooooo hii kali😅😅😅
😅😅Sijapata point ya kunifanya nimtag
Labla mnipe sababu
ipo wazi bwana labda kama unataka nifungue moyo ndo kitu siweziFungua tuyajenge.
Moyo huwa haufunguki In Public.ipo wazi bwana labda kama unataka nifungue moyo ndo kitu siwezi
Bhana mdogo wangu anaogopa hiyo Avatar yako labda😅Moyo huwa haufunguki In Public.
naona una mpango wa kunipiga stroke ndo ufurahi,,Moyo huwa haufunguki In Public.
😁🤣naona una mpango wa kunipiga stroke ndo ufurahi,,
avatar plus jina vyote vinatisha😅😅😅Bhana mdogo wangu anaogopa hiyo Avatar yako labda😅
Gudubaii🏃♀️🏃♀️avatar plus jina vyote vinatisha😅😅😅
where to😅😅😅Gudubaii🏃♀️🏃♀️
Naahidi kukupenda mpaka mwisho wa dahari.naona una mpango wa kunipiga stroke ndo ufurahi,,
khaaaa,Naahidi kukupenda mpaka mwisho wa dahari.
Huyo kwenye date itabidi uje nae,Bhana mdogo wangu anaogopa hiyo Avatar yako labda😅