Kama we ni genius ingia hapa utoe jibu

Kama we ni genius ingia hapa utoe jibu

Nusu kamili zipo nne sawa na matikiti mawili...robo tatu ziko nne sawa na matikit mawili ukinyofoa robo kila moja ili zibaki nusu na zile robo nne zinazobaki ukiziunga unapata tikiti moja....hivyo yanakuwa MATIKITI matano(5)
 
MATIKIKTI 7 ( SABA) @ SEVEN @ SEPT @ سَبْعَةٌ @ ٧
 
kama unataka matikiti mazima yapo3 illa matikiti vipande yapo8
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom